MPINA ATUA NATUHUMA NZITO/AWATAJA MWIGULU NA BASHE/ADAI WANANUFAISHA WAFANYABIASHARA/HAWANA MAMLAKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 29

  • @nestor384
    @nestor384 7 місяців тому +3

    Huyu mwamba hajawahi kuropoka when he utters he mean something, Bashe alipiga makelele bunge utadhani anaongea maana kumbe wizi mkubwa wa mabilioni..
    Unahitajika kuwa smart sana kumuelewa Mpina na kubaini ulipo wizi mkubwa wa waziri.
    God bless you Mpina youa re the great You are on the mountain top Smartest than any!
    Go Go Go.. God will protect you and the sky will help you🙏💪🏿

  • @ErastoMaridadi
    @ErastoMaridadi 7 місяців тому +6

    Huyu kijana anafaa kuwa kiongozi mkuu wa taifa hili,simnafiki na anauchungu na nchi hii

  • @ErastoMaridadi
    @ErastoMaridadi 7 місяців тому +5

    Nyerere hakuwa mjinga kutenganisha uongozi na biashara,tamaa ya Mali hawa mawaziri wanauwa watanzania kwa magonjwa kama kansa nk

  • @ErastoMaridadi
    @ErastoMaridadi 7 місяців тому +6

    Mama watoto wako wamekuchafua fanya maamuzi magumu,kwa tabia hizi chafu mnaenda kukiua chama chenu,hawa mawaziri wapelekwe mahakamani kwa uhujumu uchumi,hawa ni zao la mafisadi

  • @gasperaroni5751
    @gasperaroni5751 7 місяців тому +1

    Tatizo la ccm yangu hii ni kulindana tu wakuu wa mikoa wakiwa wakali wanaambiwa waache viongozi kumbe hao ndio wana uchungu na nchi

  • @ErastoMaridadi
    @ErastoMaridadi 7 місяців тому +2

    Hawa vijana ni watoto wa mafisadi papa

  • @User255tv
    @User255tv 7 місяців тому +1

    Salvation shall come from the hills, the man shall rise and save the people at their hour of need.

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd 7 місяців тому +3

    Tunahitaji watu kama hawa.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 7 місяців тому

    Ushahidi huu unatosha kabisa wahusika kuwajibika ama kuwajibishwa na mamlaka iliyowateua kwasababu wao sio kila kitu,watu wenye uwezo wapo hata nje ya mfumo sasa kama bunge haliiwajibìshi serikali ya chama chake tutajua kama ni bunge la wananchi au mali ya serikali. Jambo haliwezi kutungiwa sheria,halàfu Wazirì,Bodi ya sukari,na mohamed enterprises kuikañyaga kwa tàmaa ya rushwa na udisàdi,hii haikubaliki kabisa...hata barua yake kwa viwanda ni mbaya sana! Hili halifai kulikalia kimya ni kashfa mbaya kwa serikali kujipinga yenyewe!

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 7 місяців тому

    Mama wateule wake wanamuangusha sana .

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 7 місяців тому +1

    Mhe.Waziri wa kilimo itabidi ayachukue yote aliyoyatoa Mhe.Mpina kama Angalizo Tunangojea majibu kutoka VIONGOZI wetu

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 7 місяців тому +2

    Mpina rais wangu ajaye

  • @PatrickBatenga
    @PatrickBatenga 7 місяців тому +2

    Ada ya mja kunena, ungwana ni vitendo, acha tusubiri tuone

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 7 місяців тому

    Wananchi tunatamani kuona kesi hii ya uhujumu ikirindima mahakamani na sio kesi za wezi wa kuku tu kila mara wakati wexi wa mabilioni wakinyamaziwa wale viyoyozi tu maofisini.

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 6 місяців тому

    ANC inakuja

  • @philchiputa2425
    @philchiputa2425 7 місяців тому +2

    Tunahitaji wabunge wengi wa aina hii ili kuikomboa nchi.

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 6 місяців тому

    Kama tanesco na majenereta hujuma ya umeme

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 6 місяців тому

    Hakuna mtu asiyejua kuwa hii serikali imejaa wezi,mafisadi,wala rushwa na wabadhitifu wa mali ya umma.Tena wanaachwa waifisidi nchi bila kuchukuliwa hatua yoyote.wanaiba waziwazi.

  • @MelchizedekHango
    @MelchizedekHango 7 місяців тому +1

    Hakuna mtu atakusikiliza hata huyo Mic, sorry Speaker 😂

  • @nixonjohnson4908
    @nixonjohnson4908 7 місяців тому +1

    Mpina hakuwahi kuongea uongo

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 7 місяців тому +2

    Mpina jitenge nao njoo cdm, achana na majambazi

  • @egfridmkoba4767
    @egfridmkoba4767 7 місяців тому

    Chama chetu cha CCM bado ni imara. Lakini watu kama hawa wasibezwe. Wakiondoka hawa wakaenda kwingineko mwaka 2030 yaweza kuwa zaidi ya Afrika Kusini ilivyokuwa mwaka huu. Kuna mambo yanakera na yanatakiwa kufanyiwa kazi, vinginevyo imani ya wengi itabadilika!

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 6 місяців тому

    Hatuna nchi tena

  • @musakihama7205
    @musakihama7205 7 місяців тому

    Nyie huwa mnachelewa wapi.

  • @egbertmachumu8552
    @egbertmachumu8552 7 місяців тому +3

    Wajiuzuru na washitakiwe ili wawe mfano kama watakutwa na makosa hayo.

    • @nixonjohnson4908
      @nixonjohnson4908 7 місяців тому +1

      Mama samia ona hili

    • @christophershuma623
      @christophershuma623 7 місяців тому +1

      Wazo la profesa lingezingatiwa wakulima wadogowadogo wa miwa wasingepata hasara kiasi hicho.mkulima wa miwa kubadilisha kilimo cha miwa kuwa cha mpunga maoka.
      Misamaha ya kodi inaumiza mno.
      Mbunge mpina nakupongeza kwa ujasiri wa kutoka kifua mbele🌶🌶

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 6 місяців тому

      Makonda kashasema mahakama zetu hazitendi haki zinahongeka.