YANAO SABABISHA NDOA KUHARIBIKA HARAKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 6

  • @husseinalwahaibi9619
    @husseinalwahaibi9619 2 роки тому +5

    Sheikh samahanni, lkn hilo suala la kumtundikia mke talaka ni jambo zito, madhara yake ni makubwa. Ni vyema waume tukatumia busara zaidi ktk kuwazuia wake zetu kutenda makosa au kwenda sehemu zenye matatizo kama hizo. Tukumbuke, tunaambiwa kuwa wanawake ni kama mifupa ya mbavu, huwezi kuinyoosha ikanyooka utaivunja, inahitaji upole na hikma kuweza kumuweka katika mstari. Samahani sheikh, nimeona nitoa concern yangu ktk hilo. Wallahu A'alam

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 2 роки тому

    Asalamu Aleykum Mimi shekhe na furahiya mawaidha ni mazuri Allah kubariki

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 2 роки тому +2

    Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 2 роки тому

    Aaah, sheikh, tumia ganda la limau.

  • @husseinalimazera3456
    @husseinalimazera3456 2 роки тому +1

    Amiin thumma amiin 🤲🤲🤲

  • @neemamushi3980
    @neemamushi3980 2 роки тому

    Asalam alykum shehe, nimeuliza swali nipo wasap tafadhali naomba majibu bin idhini Allah