КОМЕНТАРІ •

  • @farajamsigwa4002
    @farajamsigwa4002 3 місяці тому +3

    Mimi binafsi nafurahii tuuuu kukusikiliza hata matangazo yangekua dakika 50 alafu dakika 5 unasimulia sina shidooooo kabisa be blessed sister vero❤

  • @ChristinaAloyce-pp6vj
    @ChristinaAloyce-pp6vj 3 місяці тому +9

    Matangazo nimasharti yakipindi ndo wadhamin wakipindi ukikereka usisikilize.

    • @RebecaMackenzi
      @RebecaMackenzi 3 місяці тому +1

      Ukituambia hivyo unatukosea sana kwasababu hao wadhamini wamepata wengi kwasababu ya sisi tunaosikiliza kuwa wengi. Wanatakiwa watujali pia wateja wao

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 3 місяці тому +7

    Yaaani dada vero sikuhizi nasikiliza simulizi zako ni sababu ya mazoea tu ningekushauri ubadilishe kiwe kipindi cha matangazo miaka ya nyuma haukuwa hivi ina maana matangazo hayakuwepo au? Matangazo ni ya muhimu ndio ila si kwa kiwango hiki, sisi pia ni wa muhimu sana kwako bila sisi ni bora ukae nyumbani sababu hakutakuwepo mtu wa kukusikiliza labda nyumbani na familia yako, this is too much

    • @DixonCassian-ey2ll
      @DixonCassian-ey2ll 3 місяці тому +1

      Mh, polepole dada, japo umeongea ni kwl, ila lugha uliotumia ni harsh!

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 3 місяці тому

      @@DixonCassian-ey2ll anaboa bwana

    • @khorima
      @khorima 3 місяці тому

      Wanafanyia hivi makusudi Kwa sababu Wana wasikilizaji wengi. Sio sahihi Wala sio sawa. Ni ulimbukeni flani. Sasa subiri watu wachefukwe kidogo kidogo kama hivi tuanze kukichukia hiki kipindi tuone wasikilizaji watakavyopotea na kipindi kitakufa .aana ma sponsor hawataoa pesa kama hakuna a😊udience....

    • @khorima
      @khorima 3 місяці тому

      Hajaomhea lugha harsh...wanatuchukuliaje Kwa mfano wanatuona hatuna akili sio eeh?

  • @siyangasamson7963
    @siyangasamson7963 3 місяці тому +4

    Ha ha ha huyo ndo Vero anakufundisha hadi kikombe ni nini, kikombe cha chai hichi mara nyingi tunanywea chai ama uji vinakua vya udongo ingawa kuna vingine vya plastic ambavyo mara nyingi hutumiwa na watoto, yeeees naongelea kikombe siyo glass no ni kikombe kinakua kama kina mkono hivi yani kakitu cha kushikia tofauti na glass, nadhani wenye vikombe watakua wamenielewa, haya anatueleza rafiki mpenz ndugu mtanzania mwenzetu anaitwa Veronica Simulizi.

  • @PaulinaMhoja
    @PaulinaMhoja 3 місяці тому +4

    Da vero punguza mbwembwe stori inakua ndefu sanaaaaaaa

    • @khorima
      @khorima 3 місяці тому +1

      Inakuwa ndefu bila sababu yoyote kabisa.

  • @lilianmkemwa
    @lilianmkemwa 3 місяці тому +4

    mimi baada ya kuona matangazo mengi siku hiz nasikiliza kesho yake do matangazo tu napeleka mbele sitak shida mimi

    • @perajiampipi4473
      @perajiampipi4473 3 місяці тому

      Km mm tu yaan

    • @khorima
      @khorima 3 місяці тому

      Hahahaaha kama ulikuwepo mimi pia Huwa nafanya hivyo maana sio Kwa kupetezeana muda....dah

  • @KimEveline-x3j
    @KimEveline-x3j 3 місяці тому +3

    Da vero punguza kupamba stor unarudia sana maneno

  • @Deedlr4767
    @Deedlr4767 3 місяці тому +13

    Mbwembwe nyingi chumvi kilo mbili story robo kijiko

    • @ashurahakim1923
      @ashurahakim1923 3 місяці тому +1

      😂😂

    • @ashurahakim1923
      @ashurahakim1923 3 місяці тому

      😂

    • @naomicharles5444
      @naomicharles5444 3 місяці тому

      😅😅😅😅😅

    • @PendoMacha-ib6oc
      @PendoMacha-ib6oc 3 місяці тому

      🤣🤣

    • @scholamwasi
      @scholamwasi 3 місяці тому

      @@Deedlr4767 mi nipo Moro yaani efm haishiki kabisa km ikishika inasikrachi mpaka spika za redio zinataka kuungua so kwakuwa tunakupenda na tunapenda simulizi zako dada Vero hatuna shida tunaangalia live UA-cam sasa lkn utuntendei haki 😟😟 fanya isani nawe umeokaka muogope mungu 🙏🙏

  • @vee4296
    @vee4296 3 місяці тому +1

    Yani matangazo ya kusoma .....na kwenye break pia ....na kurembesha str ad kero yani

  • @Ayshernasolo
    @Ayshernasolo 3 місяці тому +2

    Punguzen matangazo jaman pesa ngum matangazo nawewe umo mhhh eheee Eeee muelewe neno bando mbwembewe Tu kusimulia Aaaaahh😢😂

    • @RhobinaDaudi-iz4ju
      @RhobinaDaudi-iz4ju 3 місяці тому

      @@Ayshernasolo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nmecheka

    • @Ayshernasolo
      @Ayshernasolo 3 місяці тому

      @@RhobinaDaudi-iz4ju 😄😄🤣

    • @febiolam5904
      @febiolam5904 2 місяці тому

      Hii ni Redio ambayo kipande cha kipindi chake kimekatwa na kuwekwa UA-cam sasa matangazo yanapunguaje, kama unaona bando linaisha sikilizia kupitia Radio ni Bure Tu.

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 3 місяці тому

    🔥🔥🔥

  • @scholamwasi
    @scholamwasi 3 місяці тому +3

    Saizi sijui amekuwaje ata sisi tunao angalia UA-cam tunatoa ela bana punguza matangazo

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 місяці тому

      Yaani stimukizi kidogo sana yaani kama robo habari 😂

    • @scholamwasi
      @scholamwasi 3 місяці тому +1

      @@MsAggie5 tutaandamana km wakenya we muache atufanye Kama ruto

    • @claramboya2018
      @claramboya2018 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂​@@scholamwasi

    • @claramboya2018
      @claramboya2018 3 місяці тому

      Hamna aja ya kusikiliza matangazo bana,wakina ss tunao sikiliza hk,unazogeza mbele unaachana na matangazo bana

    • @scholamwasi
      @scholamwasi 3 місяці тому

      @@claramboya2018 Aya km ukipeka mbele kwann matangazo mengi kuliko simuliz🤭

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 3 місяці тому

    Hata kama matangazo ndo yanafanya kipindi kiende hewani lakini Vero this's too much! Ila huyo Eli mwana kulifind mwana kuliget. Watoto wa kishua huwa wakifungiwa, wakifunguliwa tu shida.

  • @francispaschally5933
    @francispaschally5933 3 місяці тому

    Ina maana ata ACOUNT yako binafc ya UA-cam matangazo ni yale yale tu

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 місяці тому

    usiniambie Veronica ni wa Shkamo sasa tana binti huyu Shkamo jmni 😅 alafu mwenyewe anajidai eti marahabah khaa

  • @crizeyaden6158
    @crizeyaden6158 2 місяці тому

    Ivi nyie mnao lalamika matangazo hamjui hayo matangazo ndo yanafanya mpate kumsikia veronica wanalipa pesa kudhamin kipindi … mnakwaza bwanaaaa

  • @estershilla1560
    @estershilla1560 3 місяці тому

    Njoen niwaambie msiopenda matangazo maana hayo ndo yanaendesha kipindi,, msiingie live subirin amalize kwanza badae ukiangalia uwe unavusha kwenye matangazo simple tu!!!😅😅😅

    • @eneafrancis9166
      @eneafrancis9166 3 місяці тому +1

      Ofcz kwasababu matangzo hawez acha kutoa maaana ndio yanalinda kipindi.so jitahd TU kuwa mvumilvu

    • @RoseAidanchatila
      @RoseAidanchatila 3 місяці тому +1

      Yani wew kama mimi tu nashangaa watu wanalamika wakat wezao ayo matangazo ndio yanawapa hela 😂😂😂😂

    • @perajiampipi4473
      @perajiampipi4473 3 місяці тому

      Me sahv nasubir akimaliza live ndo nasikiliza 😂😂na mm

    • @RebecaMackenzi
      @RebecaMackenzi 3 місяці тому

      Hata ukifanya hivi bado inakera maana unajikuta hujasikiliza kitu kipya, mfano kama hapa bado yupo kwenye introduction ya hilo penzi jipya tuu😢😢😢😢

    • @estershilla1560
      @estershilla1560 3 місяці тому

      Ewaaaa sema anavuta sanaaa mahi wetu😂😂😂🙌

  • @shirimaoliva7695
    @shirimaoliva7695 3 місяці тому

    😅 kwenye you tube , PUNGUZA matangazo please, watu tunatamani tubadilike

  • @EstherEdson-o3v
    @EstherEdson-o3v 3 місяці тому

    Mayangazo 90% story 10% heee bika sisi wasikilizaj wew nwenyew hupati hela embu punguza matangazo vero au uwe uansikiliza simlizi wew nafamilia yako tu wasikilizaj tusisikilze tuone

  • @Loyce-Samwel-ko6ze
    @Loyce-Samwel-ko6ze 3 місяці тому

    Yaan DA VERO katika vipindi vyote vya jioni ya leo wewe ndo unaongoza kwa kutangaza hayo madude yenu mbona wenzako hawako hivo kwenye vipindi vyao🙄. Punguza matangazo

  • @mussaluhwago
    @mussaluhwago 3 місяці тому

    Tuweni wavumilivu jaman matangazo nayo yananogesha kipingi sometime