MHE. TEMBA - Full Interview na Bongo Project

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 15

  • @ombenijady8409
    @ombenijady8409 8 місяців тому +1

    Namkubali sana Temba, iyo Ngoma IPO siku kaeleza maisha HALISI afu Tamuu kinoma yaani

  • @vuvuzelajordankhasindu2963
    @vuvuzelajordankhasindu2963 10 місяців тому +1

    Kazi fresh Mhesh Temba. Nilikupenda sana. Long Live. Peace.

  • @ombenijady8409
    @ombenijady8409 8 місяців тому +1

    Daah 92 wengne ndo tunazaliwa😂😂

  • @AroniTembo
    @AroniTembo 7 місяців тому +1

    Ndio mhemiwa temba ulipiga hatu kubwa mpa ulipofika ka zi zako mziki

  • @InshaBakari
    @InshaBakari Рік тому +1

    Tutaftie msanii Samir wa kinyuli nyuli😂

  • @yusuphstambuli4852
    @yusuphstambuli4852 Рік тому +2

    Huyo jamaa presenter amepoa Sana kama mchungaji, kila nyimbo we unataka ukumbushwe tu ,uliza maswali ya maana

    • @bongo_project
      @bongo_project  Рік тому

      Nyimbo ni sehemu ya burudani kaka. Mazungumzo huwa marefu sana

    • @macksonmadoro6930
      @macksonmadoro6930 Рік тому

      @bongo _ project mzee unaboa take from me Kama unataka kufanikiwa pokea fanyia Kazi

    • @bongo_project
      @bongo_project  Рік тому

      @@macksonmadoro6930 Tunapokea feedback. Ni hilo suala la nyimbo tu au kuna jingine?

    • @ombenijady8409
      @ombenijady8409 8 місяців тому

      Huyo jamaa asikupotoshe....Msanii akiimba nyimbo ndio inaleta vibe na utamu wa Interview

  • @SamDominick-x8f
    @SamDominick-x8f Місяць тому +1

    Milifanya mkubwa mno ata ukisaau nisawa tu

  • @Pedeshee01
    @Pedeshee01 5 місяців тому +1

    Kuna yule dada kule pembeni aisee ameumbika amenitoa kabisa kwenye mahojiano.Ule mkia wake si mchezo unaweza kuhonga mpaka bahari.