Kutengeneza headband Wig ya rasta/

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Hello dear , Asante kwa kubonyeza video hii,leo nitakuonesha jinsi ya kutengeneza Headband wig ya rasta za kisura kwa hatua rahisi sana / diy quick and easy braided Headbandwig .
    Naitwa Viviana karibu saana kwenye channel hii ambayo itakuwezesha kujifunza namna ya kusuka mitindo mbali mbali ya nywele hata kwa wasio jua kusuka kabisa , utajifunza pia kupaka makeup za aina mbali mbali, kutunza nywele asilia , mitindo ya mavazi ,utambuzi wa bidhaa nzuri na bora za urembo na mengi yanayohusu urembo.
    Kupitia video zangu za mafunzo ya urembo wengi wamejipatia ujuzi na kufungua biashara zao binafsi za Salon ,pia wengi wameweza kujisuka wenyewe ,karibu nawe katika familia yetu ya urembo .
    NEW VIDEO / VIDEO MPYA ?
    Mara mbili kwa wiki
    PROUCT USED / BIDHAA NILIZOTUMIA
    TIZAMA VIDEO NYINGINE BONYEZA LINK HAPO CHINI / PRESS LINK FOR MORE
    KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO PUFF/ DIY AFRO PUFF DRWAW STRING
    PONYTAIL
    • KUTENGENEZA KIBANIO CH...
    KUBANA NYWELE FUPI NZIGA STYLE (Natural hair style Nziga)
    • Kubana nywele fupi NZI...
    KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI
    • KUSUKA RASTA ZA MABUTU...
    KUSUKA AFRO KINKY NJIA RAHISI
    • MITINDO TOFAUTI YA LOC...
    KUSUKA DISTRESS LOCS KUTUMIA SELFIE + PASSIONTWIST
    • KUSUKA DISTRESS LOCS K...
    KUBANA NYWELE FUPI HAKUNA MATATA STYLE (Short natural hair Hakuna matata)
    • Kubana nywele Fupi "Ha...
    KUSUKA CROCHET YA KUTYMIA RASTA ZA 1500/=
    • Kusuka Crochet kwa kut...
    MAKEUP FOR BEGINNERS
    • Beginner Makeup series
    MITINDO YA MAVAZI/ TRY ON HAUL FASHION
    • MITINDO YA MAVAZI /TRY...
    MAFUNZO YA MAKEUP / MAKEUP TUTORIALS • Mafunzo Ya Makeup/Make...
    MAFUTA MAZURI YA NGOZI / SKIN CARE PRODUCTS REVIEW
    Business inquiries/ Mawasiliano kwa ajili ya biashara
    Email ; Business@vivianatz.com
    Karibu tuwe marafiki nifollow kupitia
    INSTAGRAM ; ...
    Asante kwa kutizama video hii, karibu ujiunge nami katika mafunzo haya kwa kubonyeza alama ya Subscribe na alama ya kengele ili kuwa mmoja wa familiahii na kupata taarifa kila ninapoweka video mpya ya mafunzo.

КОМЕНТАРІ • 32

  • @Evodiawilidon
    @Evodiawilidon Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤ nimeipenda Sanaa 🙌🙌🙌🙌 we noma

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  8 місяців тому

      🙏❤️❤️

  • @user-rp9dh1vr7r
    @user-rp9dh1vr7r Рік тому

    Asant 😂😂😂 nmeipenda ,

  • @JacklineManyama
    @JacklineManyama Рік тому

    Una balaa dada

  • @user-qo4zz9ns9p
    @user-qo4zz9ns9p Рік тому

    Love nakupenda sansa nilishajifunza vitu vingi kutoka kwako

  • @jackliningulo9795
    @jackliningulo9795 Рік тому

    Asante ❤️❤️🙏

  • @patriciazakaria2352
    @patriciazakaria2352 2 роки тому

    Nzur sana

  • @husnaadam6983
    @husnaadam6983 2 роки тому

    Nakupenda Yani ivo tu

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 роки тому

      Mimi zaidi dear ❤💖

  • @catty-kitten
    @catty-kitten 2 роки тому

    Wow ni nzur jmn .je huwa unauza pia

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 роки тому

      Yes dear nauza ,karibu

  • @florencekambe3615
    @florencekambe3615 2 роки тому +1

    Here early🥰

  • @sabraally6110
    @sabraally6110 2 роки тому

    ❣️

  • @abigailifeoma
    @abigailifeoma 2 роки тому

    I'm so stuck to your channel even when I don't understand what you say 🤣 you inspired me alot. Thank you ❤️ and please what camera are you using?

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 роки тому +1

      Thanks love , Am using Sony a6400 ❤❤

    • @abigailifeoma
      @abigailifeoma 2 роки тому

      @@Vivianatz thanks so much. Looking for a good camera to film with. Ur camera is really nice

  • @gladnesslyimo5020
    @gladnesslyimo5020 2 роки тому

    Samahani mimi naomba mawasiliano yako tafadhali dada Vivian.

  • @hopenow7844
    @hopenow7844 2 роки тому

    Ahsante kpenz naomba kujua aina ya camera unayotumia kurecod au n sm ya aina gan

  • @aminanurudini9233
    @aminanurudini9233 2 роки тому

    Yaan Leo had I nmekosa cha kusema

  • @gracemamuu5937
    @gracemamuu5937 2 роки тому

    Vivian naommba unijibu Leo nipate Raha
    Hua nakufuatilia sana nikitaka hizi nywele nazipataje? Niko Nairobi Kenya

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 роки тому

      Hello love, nywele nenda page ya @darlinghairtanzania instagram page wasiliana nao Dm watakutumia dear❤❤

  • @dynesymkanyipelele6525
    @dynesymkanyipelele6525 2 роки тому

    Thanks sister Vivian 💋 but mdoli kama huo ni bei gan, nahitaji pia