Mama Jimmy ukiwa jikoni maintain cleanliness. Usishikeshike nywele na kisha ukashikako chakula. Ni ushaur tu dear. By the way, you're so smart in dressing.
Kazi nzuri mama Jimmy, if you get a chance try to get the iron cast lodge pans from Wallmatt, the heavy ones, they toa the chapatis kama za Kenya- soft kabisa. Be blessed together with family
Hii channel yenu hunipa tu furaha. Mama Jimmy and inlaws were having alot of fun. All the playfullness is very relaxing to watch.Hadi mood yangu imechange sasa narukaruka tu
God bess you mama jimmy and family❤❤❤❤❤. Hao sio shemeji zako hao ni mawifi zako ndugu wa kiume wa mme wako ndio shemeji, dada ya mume wako anaitwa wifi. Wifi na sio WIFI.🥰🥰🥰🥰. Barikiweni
It’s always a joy to watch your family. Mama Jimmy, enjoy your family in love. You guys are spreading the love of Christ through your life. I love your family
Improve your way of making chapatis by spreading oil katikati , then roll. You can check UA-cam upate different ways of doing it. You'll love it. Good luck
Lakini wana wa mungu mamajimii hawasengenye unatumia lugha ya kusema tunaweza msema tu kwa sababu haelewi lakini ukitumia lugha ya kusengenya hiyo ni mbaya amina
MWANANGU MUNGU ALIKUPA FAMILIA NZURI YA WACHRIST NI KAMAUKO NYUMBANI KWENYU KWA KWELI MUNGU ABARIKI HII FAMILIA ❤❤❤❤
Eh mama majini mpaka unasema kiswahili ya waluhya ati ahaha kadogo jamani mamajimina uko amerika wao lakini hiyo nguo imekutoa smart
wow i admire mama jimmy so beautiful naturally no makeup, no wigs, no lashes, no tatoos yes wife material baba jimmy u r blessed
Exactly 😅no stress of makeup
The little girl is a good cook she looks very experienced pass my warmest greetings to the family .
Ungeweza tu ufanyiwe booking directly. Si vibaya 😂😂😂😂
Who else is addicted wth ths lovely beautiful family 🥰 like m gonga like tujuane
I love the unity, happiness and love in this family.
hongera sana baba Jimmy lakini tunataka more video mama Jimmy akiwa na mawifi zake
*The small girl will be a good cook and she covered her hair well in the kitchen!* 😅❤
The young girl seems very industrious.
Your family is an example of heaven. Living in harmony, am sure lions will be in that room and not harm anyone.
Usiguze nywele mama jimmy bhaye ukiwa jikoni sawa dear ,advice tu from your elders ❤❤❤❤👏👏👏🤗🤗🤗
Madada wa baba jimmy wazuri and very loving, wanaongea Kiswahili vizuri
Wow, the girl cooking chapo is so young. ❤
Mama jimmy napenda vile uwa unavaa mavazi ya heshima💕💕
mama Ako na big nyash nimeona lazima azifiche zina mwenyewe Mzee baba jimmy
@@OJN2133😅
Mama Jimmy woyeee! Unaniangusha...kusuka nywele na kubeba chapo kuweka kwa pan, wapi na wapi jameni😢
This is a blessed family....when christ is in you is a total joy.
Mbona unashuka nywele na unapika, happy family im happy for you
Mama Jimmy ukiwa jikoni maintain cleanliness. Usishikeshike nywele na kisha ukashikako chakula. Ni ushaur tu dear. By the way, you're so smart in dressing.
Nani amekuomba advice 😏kiherehere
Wow kazi poa mama Jimmy Congrats👍
Turning the camera on Joan turned her into a star.....😂
Kazi nzuri mama Jimmy, if you get a chance try to get the iron cast lodge pans from Wallmatt, the heavy ones, they toa the chapatis kama za Kenya- soft kabisa. Be blessed together with family
In Kenya we do get cast iron too
Hii channel yenu hunipa tu furaha. Mama Jimmy and inlaws were having alot of fun. All the playfullness is very relaxing to watch.Hadi mood yangu imechange sasa narukaruka tu
Nywele tena na unapiga chakula mama Jimmy usifanye hivo tena
Hapo ni nyumbani sio hoteli wewe.
Anapiga chakula kwa kiboko au kwa rungu😊.
😅😅😅@@bramwelluchera9000
@@CedoOmondiwenye wanalalamika nywele na wanakula Sabusa za Nyama ya paka, vyakula vya hoteli hawajui zinapikwaje alafu wanatuletea maringo huku 😂😂
God bess you mama jimmy and family❤❤❤❤❤. Hao sio shemeji zako hao ni mawifi zako ndugu wa kiume wa mme wako ndio shemeji, dada ya mume wako anaitwa wifi. Wifi na sio WIFI.🥰🥰🥰🥰. Barikiweni
It’s always a joy to watch your family. Mama Jimmy, enjoy your family in love. You guys are spreading the love of Christ through your life. I love your family
Familia nzuri sana..Mungu aendelee kuwabariki.
The pink one joke is everything here😅😅😅❤❤❤...I love it
I love your in laws huwa wanavaa descents sana
A beautiful family in law ❤❤ you are blessed maman Jimmy ..
Good job, Mama Jimmy, for saving time and making the number of chapatis I want. I measure water, not flour.
I have watched this video so many times because I like it,i like cooking videos too🥰🥰🥰
Your videos are so inspirational and full of love and happiness
Nme watch ni ki smile kwa furaha sana ❤
I love this family and the luhya in them.
Joanne is a professional chapati frier😊😊😊
❤❤❤god keep blessings...say hello too mama Jimmy she is vibe
Nice! Baba Jimmy’s siblings speak Swahili too? Good job with the chapatis!
ONE LOVE MAY GOD CONTINUE TO BLESS YOU GUYS
Hi baba Jimmy. Please place as many ads as possible on the video. You can even research on how to do it.
❤❤nyinyi ni example ya upendo kwa familia.
Mama jim jifuze usafi ukipika unashika nywele kisha unashika chapat kua msafi ukiwa njiokon ila nakupenda ❤
Nawapenda nyinyi wote❤❤❤
Mama Jimmy mbona. Wagusa Nywele ns unapika? Siwatu watakula Hizo Nywele? Watching from Mombasa Kenya.
Mama Jimmy uko malekani jifuze sasa ku washia mikono Kila wakati .stop touching your body. We love you mama.
Ile upendo iko kwa io room! ni the bingk one. Mungu awabariki na awaweke.
Improve your way of making chapatis by spreading oil katikati , then roll. You can check UA-cam upate different ways of doing it. You'll love it. Good luck
Of course she knows how to cook but she wanted her in-laws to participate
Mama Jimmy unaweza funza Joan kiswahili. Yaani Joan atakuwa expert wa chapati soon
Mama Jimmy umepeleka uko ukenya sana anyway uko our ambassador wa 🇰🇪. Tuna kupenda na baba Jimmy.
Mama jimmy kusuka nywele kwa jikoni aa inaonyesha picha mbaya,siyo kwa ubaya tunasaidiana tu lakini tunawapenda sana.
May almighty God bless all of you
Joan seems passionate in cooking
Next time jaribu chapati za layers. I heard you say in another video hupendi process mrefu mrefu, but inamake alot of difference
Kuna vibes huko jikoni...maisha ya furaha.. hakika kuna uwepo wa Mungu hapo
Mama jimmy aki osha mkono before ukande unga, na umeshika nywele 😂😂😂😅
At least mna muambia kwa kiswahili mashemeji wasi sisikie❤❤usafi ni lazima
@@MamaPrince-kd9cwna zenye mnakula kwa hoteli mnajua zinavyopikwa? 😂Wengine wakijikuna sehemu nyeti na atakupakulia na hizo mikono.
Wow wow wow❤❤❤kazi mzuri familia 😊
Mama Jimmy you have beautiful sister in laws even from others videos, can I get one who's unmarried and old enough 🤣🤣🤣
Baba Chimmy alisema mtubu
Tubu baba riswaaa 😂😂😂
Niceness a family that cooks together stays together ❤😊😊❤❤❤❤❤❤
Mama Jimi unashona nywele ukipika chapati 😮
Mnipitie tugrow wote please comment done ni kupitie pia❤❤❤❤
Mama Jimmy
Good works. I see you all the time with your head covered. Ni dini ama ni style tu?
Baba jimmy God bless you and your family
Am all smiles for the love around
Lovely mum Jimmy blessed family
Watching from Nairobi City🤣🤣🤣🤣
Next time usishike nywele ukipika mama jimmy
Yes,ghst isnnt good at all
Eish! Hapo ndio utamu ya chakula inatokea, the secretion ingridient ❤
Kushika nywele ni kawaida ni vile sisi hatuonekani
@@sharonmwika8293😂😂😂😂😂
Well it's not you who is cooking it so dont tell what she can or can't do.
Remember not to skip the ads kina Jimmy wapate Unga zaidi!!!
Mama Jimmy ameanza sasa kua content creator mnoma😊😊
I love ❤️ the little girl
Mama Jimmy may God bless umore and family
mama jimmy wacha kushika nywele ukipika na kujishikashika. zingatia usafi
Mbona hamjaona iyo dress ya mama chimmy vile ni cute
I love ❤ this family
Sana❤
wifi ya mama jimmy anajua kuroll circle nzuri ya chapati hadi kuniliko😄 na wana bond tu vizuri wote
Nywele tawe mama Jimmy
Lakini wana wa mungu mamajimii hawasengenye unatumia lugha ya kusema tunaweza msema tu kwa sababu haelewi lakini ukitumia lugha ya kusengenya hiyo ni mbaya amina
Unapika na unachezea nywele😂😂😂😂
Make-up ladies no husband 😂😂😂😂😂😂simple mama Gymi with lovely husband and good inlows ❤❤❤❤
Mama jimmy unashuka unapika😮😮
Those two young ladies ie, shemejis can cook very fast...the one rolling is doing it very fast just like the way Kenyans do it
This family wanapenda furaha❤
Mama Jimmy amebebaaaa, ndo maana baba Jimmy huwa anataka akae karibu na mrembo wake😂😂😂😂
Lovely family ❤❤❤❤❤❤
Wow ,how old is the small girl mwenye anapika
❤❤❤ nipitieni pia kindly
You mean Camera woman. Very nice family relationships
Jitahidi kuwa msafi safisha mikono mara nywele mara pua mara camera, unatuangusha mama Jimmy
Kwanza apo kwa pua, hua anapenda kushikashika Sana..aki
Kuoata famiiy inamjua Mungu Ni poa sn
You have a wonderful family
Mama Jimmy tafuta cast iron skillet….. chapati zitakuwa kama za Kenya. Nikiwa mgeni America nilienda goodwill nikapata na bei mzuri
Nilikuwa nataka kusema the same thing. Tafuta goodwill ama Amazon ama sporting goods store kuna zenye wanatumia camping.
Ziko ata walmart, marshalls, Ross, and Burlington na cheap na quality poa hairust ukiosha sio lazima upake mafuta.
Beautiful in lows may God bless your marriages, you are so lovely
Mama Jimmy naomba usishike nywele unapopika
Waaaaale 😂😊😂...Akha khatoko ahajui Kiswahili maako maako mama Jimmy 😅😂
Io dress ya mama Jimmy iko smart
Mama chimi anakandanga na mkono ya left?
Anakukandanga mkongo nabmkono ya left file anakanda unga?
Tupitiane jameni ❤❤❤
Mama jimmy you are blessed to have a nice family❤❤❤❤😊
Mama chimii unashuka nywele huku unapika😮
Beautiful lakini sasa unashika nywele jamani
Mama jimmy ametupikia chapati mwitu walahi😂😂😂
Mama Jimmy bunashika nywele kweli jikoni?
Mama Jimmy Chapati with what 😋 nitakuja nikae na wazungu 🤭
Mama Jim how do you communicate with you r in-law s ooh dear they nice people
They communicate in swahili with her
Mama Jimmy unasuka nywele ukipika?
Huyo ana roll chapo anaitwa aje? Anajua sana