RAAD KWA SUFII:: MHHH!! HUYUU SUFII AMEZIDI UWONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Sheikh Abul Khatwaab Abdallah Humeid|حفظه الله

КОМЕНТАРІ • 42

  • @JumaMohammed-h4k
    @JumaMohammed-h4k 10 місяців тому +1

    Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh., Nina shida ya kusoma kwa Sheikh Qassim mafuta/Sheikh Abdallah Humeid na mim uwezo wangu wa kifedha ni mdogo naomba kusaidiwa na Allah atawalipeni

    • @adamyusuf9180
      @adamyusuf9180 10 місяців тому

      وعليكم السلام ورحمه الله وبركاته

    • @adamyusuf9180
      @adamyusuf9180 10 місяців тому

      Uko wapi wewe ili tuweze kukusaidia

    • @adamyusuf9180
      @adamyusuf9180 10 місяців тому

      Tufate in box

    • @salehaljadidi8206
      @salehaljadidi8206 7 місяців тому

      Anaitwa Kassim Mafuta ya nguruwe

    • @abunusrat3016
      @abunusrat3016 6 місяців тому

      ​@@salehaljadidi8206Allaah akuongoze na akutolee chuki ulizo nazo dhidi ya mashekhe wa Ahlu Sunnah. Mbona ufikie kuchafua majina ya mashekhe. Hata kama awe ni MTU WA kawaida, hufai kuchafua. Kama umefanya Kwa ujinga Allaah akusamehe na kama umefanya Kwa uadui na dhulma , Allaah akuongoze.امين

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 9 місяців тому +2

    Humeid unaonyesha una masikitiko saaana na dini

  • @MadinaChikumbi
    @MadinaChikumbi 6 місяців тому

    Wamezoea sana kudanganywa masufi na hawataelewa mama hapo tu wanaoleta ubis

    • @khamissehel-jr1cs
      @khamissehel-jr1cs Місяць тому

      na nyie mmezoea sana kushikiwa akili mpka mmeharibikiwa kazi yenu ni kufuata mkumbo tu

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 9 місяців тому +2

    HIKO KISA CHA KWELI ILA UMEKIELEZEA SIVYO NA UMEONGEZA UONGO DILELE. MCHE ALLAH SW

    • @abuumundhir1858
      @abuumundhir1858 7 місяців тому

      Sasa Sema wewe ukweli wake,kipoje hicho kisa na wapi amedanganya?

  • @AbdillahAlly-fl4vh
    @AbdillahAlly-fl4vh 8 місяців тому

    Tatzo uelewa mdg

  • @SuleimanShaban-gf1dy
    @SuleimanShaban-gf1dy Місяць тому

    Kumbuka aibu zako

  • @khamissehel-jr1cs
    @khamissehel-jr1cs Місяць тому

    ww mwenyewe muongo namba 1 kibaraka wa kiyahudi wewe

  • @MustafaOthuman
    @MustafaOthuman 7 місяців тому

    Yn wewe unajiita shekhe ,halafu hiki kisa kinakutowa macho kiasi hichoo , Sasa elimu Yako ulosoma , haina maana ,
    Swala liko wazi Sana ,
    Mwenyezimng kawapa mitume miujiza , na wasokuwa mitumi wamepewa karama , inshoti ,unachokiongelea , ni madudu , wewe ,miujiza ,unaijuwa ? ,karama pia unaelewa nn karama, nilikuwa nakuamin sn lakin , nenda zako

    • @abuumundhir1858
      @abuumundhir1858 7 місяців тому

      wewe ndo uende Zako ,usitake kujifanya eti ulikuwa pamoja naye lakini kwahili eti ndo unamkataa ,wewe ni Sufi kitambo tu,alafu hicho kisa ni uongo hakuna cha makarama,jitu Sufi ganga linagalalisha kutazamia nyota na kufanya baadhi ya shughuli na uganga then hizo karama azitolee wapiii?hizo khabar kaambiwa na majina wake anao wamiliki

  • @rushu1232
    @rushu1232 10 місяців тому +1

    Mpunguzi chuki zako dilele mbona hukuiweka hiyo clip kisha sisi tuko Kenya ukizunguka ukiuliza wengi watasema hawamjui wala hawjasikia sasa uefaidisha nini hapo pumbavu au hukuelewa kiarabu sheikh lako yuko Yemen muache amradd.

    • @مبغضالبدع-ع9ص
      @مبغضالبدع-ع9ص 10 місяців тому

      Shkh Abul khataab ni muarabu tena aongea kihadhrami vizuri sanaa...
      Wewe wakiongea waarabu mswahili kaa kimyaaa.... swahli wewe kimyaaa...

    • @rushu1232
      @rushu1232 10 місяців тому

      @@مبغضالبدع-ع9ص mwarabu wa sega kiarabu cha guraya amekujua alipoenda Yemen 6 months alifeli munawar akaleta fujo ndi wakufukuzwa bado ni mchanga sana kielimu kwa ufedhuli Mashaallah amefanya haraka kuutaka usheikhe ndipo alipo feli.

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 9 місяців тому +1

    Mbona hamsemi Raad kwa wayahudi wanaowaua ndugu zetu wa kipalestina.mmekalia na hiyo Raad yenu kwa waislamu wenzenu tu. Shame on you.

    • @MakataWaMakataniFX
      @MakataWaMakataniFX 9 місяців тому

      Swadakta ❤❤❤❤❤

    • @MakataWaMakataniFX
      @MakataWaMakataniFX 9 місяців тому

      Nayapo mengi wanajifanya hawayaoni hawa AHLUL FITNA WALJAMAA wanajifanya dini imeshuka kwao

    • @abuumundhir1858
      @abuumundhir1858 7 місяців тому

      shame on you bro,mayahudi upotevu Wao upo wazi Håtuna haja ya kubainisha sana,lakini Hawa wanajifanya wapo kwenye haki na wanawachanganya watu,so ACHA wabainishwe tujue haki,imma mayahudi tushajua wapo kwenye upotevu,alafu kabla hujaanza kumshughulikia adui wa nje,anza na huyu anayeharibu ndani kwako

    • @abuumundhir1858
      @abuumundhir1858 7 місяців тому

      shame on you bro,mayahudi upotevu Wao upo wazi Håtuna haja ya kubainisha sana,lakini Hawa wanajifanya wapo kwenye haki na wanawachanganya watu,so ACHA wabainishwe tujue haki,imma mayahudi tushajua wapo kwenye upotevu,alafu kabla hujaanza kumshughulikia adui wa nje,anza na huyu anayeharibu ndani kwako

    • @salehaljadidi8206
      @salehaljadidi8206 7 місяців тому

      @@abuumundhir1858 wewe mjinga nini?? Kwa hiyo anza kuua ndugu zako wewe halafu ndio uanze kuua waislamu wa madhehebu mengine. Ndio maana kazi zenu kuua watu wasio na hatia duniani kwa kuweka mabomu kwenye misikiti na masoko na mashule.wewe ni member of Al Qaida East Africa

  • @MustafaOthuman
    @MustafaOthuman 7 місяців тому

    Basi kitu kama hukijui waache wanaojuwa wafanye , ndugu yaangu nasokila usokijuwa wewe au kukielewa basi hakipo ebooo nakushanga , nahata Dunia inakushang,

    • @abuumundhir1858
      @abuumundhir1858 7 місяців тому

      Mimi simshangai,namuona yupo SAWA,na nakushangaa wewe usiyemuelewa kwasababu ya usufi wako

    • @KaramaKarama-jm7qo
      @KaramaKarama-jm7qo 7 місяців тому

      Mustafa mche MUNGU.Dah mpaka lini ndugu mutaacha kudanyanganywa bana.Rudini mcheni ALLAH NAWAOMBENI

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 9 місяців тому +1

    Ww ndo unamapenzi sana na maswahaba au,

  • @zaynababdullah3061
    @zaynababdullah3061 7 місяців тому

    😂😂😂

  • @AliSalim-x6q
    @AliSalim-x6q 10 місяців тому

    Masufi ni washirikina tu

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 9 місяців тому +1

      Shikri yenyewe unaijua au ushashiba tayari

    • @AliSalim-x6q
      @AliSalim-x6q 9 місяців тому +1

      Wewe unaijua shirk ama una njaa

    • @AliSalim-x6q
      @AliSalim-x6q 9 місяців тому

      Waonekana wewe ni sharif masharifu ni wachawi kama una njaa njoo nitakuweka kinyumba mpaka kufa kwako mpumbavu

    • @AbdillahAlly-fl4vh
      @AbdillahAlly-fl4vh 8 місяців тому

      Mawahabi ndio makafiri kabisaaa pamoja na shekh wao ibn taymiyah mnasema mungu yupo hivi yupo vile ukafir huo

    • @khamissehel-jr1cs
      @khamissehel-jr1cs Місяць тому

      @@AliSalim-x6q matusi yako yatamnufaisha mwenzio siku ya kiama na wewe utabaki kuwa muflisi au hujaisikia hadithi ya mtume kuhusu watu watakaofilisiwa siku ya kiama? halafu mnajiita salafi msalafi gani mmeoza midomo nyinyi, mujiangalie matendo yenu mtakuja jutia siku ya kiama

  • @khalidimuridi5958
    @khalidimuridi5958 9 місяців тому +1

    Mjinga huyuuuuuuuuuuuu kassimu mafuta

    • @wardat_kessy
      @wardat_kessy 8 місяців тому

      wewee huyo sio mafuta, bas hata kusoma hujui?

    • @RamadhanKheir
      @RamadhanKheir 2 місяці тому

      Uyo abdallah humeid sio kassim mafuta acha jazba