⚒️RADDI KWA HASSAN WAZIRI SOLOKA KWA DHULMA KWA SHEIKH ABUU MUA3WIYA, USTADHI ABUU ZAGHARحفظه الله

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 17 днів тому

    Kunyamaza nibora ndugu

  • @MALELEMBARIMO
    @MALELEMBARIMO Місяць тому +2

    Masha allah
    Sheikh abuu zagar tunakuelewa sana❤

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 27 днів тому

    Akhiy rudi kwenye safu bachusasa wamuelewa

  • @AbulBarakaat-d4x
    @AbulBarakaat-d4x Місяць тому

    Umeyakanyaga ubuu zaghari

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому +1

      Wewe acha unamtisha nani na kwa kitu Gani alichozungumza Hassan Waziri, km alishindwa mwalimu wao qassimu mafuta alishindwa kumjibu sheikh abuu mua3wiya ataweza huyuu kifanga wake hebu km sheikh abuu fadhwil ni kidume hakuweza kujibu
      Na asuburi MAJIBU yake yapo njiani atayapata na atafedheka kwa uongo wake

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому

      @AbulBarakaat-d4x Huna adabu . Uyo abuu zagar ni shekh kama sheikh zenu . Kuwa na adabu

  • @NaduuAbdilah-uj5vj
    @NaduuAbdilah-uj5vj Місяць тому +2

    Ukiwa muadilifu katika elimu wallah ni ua dilifu uliokua na fadhila mzurii saa tuwekenii wazi kaulii za wana chuonii..mana wao hawa weki wazii..wana sema ya upande mmoja tuu..

  • @AbuJuhaifah-c8j
    @AbuJuhaifah-c8j Місяць тому

    Baharia mzushi asie na elimu mwenye taassubi zake

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому +1

      Ww uzushi unaujuaa au hamasa tuu km uzushi bc ni ule aliyousema Hassan Waziri na genge lake na Hassan asije akakimbia tuu km rafiki yake

    • @ABUU_SAAD-ut4fd
      @ABUU_SAAD-ut4fd Місяць тому

      Kabisa Akhii lkareem..🤝

  • @yahyaphd
    @yahyaphd Місяць тому

    ABUU ZAGAR UNAJUA WAZI WANAZUONI WAKIGONGANA KAULI PANAFANYWAJE ACHA JANJA JANJA MUFTY UTAPOKOSEA KUBALI KUWEKWA SWA SHEHE MUAWIYYAH KAKWANGA

    • @IbnuAlly-wm8il
      @IbnuAlly-wm8il Місяць тому +1

      Panafanywa nin? acheni ujinga na mihemuko ktk masuala ya kielimu

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому +1

      Acha maneno yako ya mitaani hivi na nyy hamujui wanawachuoni wakitofautia khususan ktk mambo ya kifiqhi huwezi kubiidiisha Wala kumtoa ktk Manhaji Bali mtu anachukua kauli ambayo kwake yy inaguvu hakuna ulazima wa kulazmisha kufuatwa kwa wanawachuoni baadhi dhidi ya wengine, nyy Manhaji hii ya mumeipata wapi ya kulazmisha kuata kauli ya sheikh Rabii na sheikh Ubeidi na kutakaacha WANAWACHUONI wengn wanaotambulika kwa Elimu na uchamungu acheniii taasubuu na sheikh Rabii kuweni na taasubu na hakki na sio mtu Ambae anaweza kupatia na pia anaweza kukosea

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому +1

      Km sheikh wetu abuu mua3wiya رحمه الله تعالى amekosea hivi nyy km nani ktk umaa huu hivi kwenu Kuna ulamaa anaetambulika kwenu nyy sa wanafunzi tuu km ss, hebu angalia ta'azia za masheikh wakubwa ktk kifo Cha Sheikh Abuu mua3wiya na wote wanamfahau kuwa ni Salafy na hakuwa ni huzbiyy Bali alikuwa ni mwenye akhalaq safi na n.k

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому +1

      @@yahyaphd
      Tatizo lenu nyie hamuna adabu na wana wa chuoni mlimkata mwenxenu abuu muawiya kwa dhul'ma na ujinga wenu maswali mukiulizwa hadi leo hamjajibu mwaruka ruka tuu mnahisi muko salama? Kwa bahati nzuri watu wanabainikiwa na fikra zenu chafu. ABUU ZAGAR endelea kupambania daawa ustaz ao wangekuwa waadilifi wangekubali kukaa na ndugu yao abuu muawiya

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому +1

      @@yahyaphd Wewe kwanza huna adabu uyo Abuu zagar sio ndugu yako ni mwalimu wa watu uwe na nidhamu na adabu Ata mtu ukitofautiana nae kimisimamo uwe na adabu