Mwanangu Kalawa - Night Star

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale  5 років тому +8

    Hivi hawa watu wanao-dislike hizi ngoma wamezaliwa mwaka gani? Maaana dah!

    • @simbamiliki8701
      @simbamiliki8701 5 років тому +1

      Nawaonea huruma tu.

    • @bakarikihonga5717
      @bakarikihonga5717 5 років тому +1

      Nimezaliwa miaka ya 90 lakini nazikubali sana ngoma hiz, mjomba angu alikua ndio ngoma zake hiz aka nirisisha mwanae 😀

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  5 років тому +1

      @@simbamiliki8701 Hehehe wana maajabu mengi sana!

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  5 років тому

      @@bakarikihonga5717 Msala sana, anko!

    • @dioufgaxa8724
      @dioufgaxa8724 5 років тому +1

      Achanao makuma tuu wamechelewa kuja mjini

  • @heriissagombera5168
    @heriissagombera5168 4 роки тому +3

    Asante kaka yaaani miaka ile 1991, 92, 93 palikuwa apatoshi night star wakipiga. Khalfani wa Mizogo kwenye kinanda

    • @abdallahcooper3111
      @abdallahcooper3111 4 роки тому +1

      Haidary Kessy akiongoza kuimba, kistuli na misondo Big Boy

    • @anusaady2890
      @anusaady2890 4 роки тому +1

      Unamkumbuka kibaka mdudu, akosi kucheza hizi pale gerezani

    • @ambegu4395
      @ambegu4395 4 роки тому +1

      Namjua alikuwa lafiki wamarehemu mjomba yangu yani walikuwawanapiga adi kwenye maharusi

  • @miamiguga4598
    @miamiguga4598 4 роки тому +3

    Good music nakunbuka mbali Sana🤸

  • @mzeemudy8905
    @mzeemudy8905 5 років тому +5

    Kaka leo kazi zinaenda vizuri sana ofisini

  • @omaryomary826
    @omaryomary826 3 роки тому +2

    Asnteee umetisha chozi lina nidondoka bila kujua kaka unanikumbusha mbali asa mama yangu aliipenda sana hii nyimbo

  • @jumatoba187
    @jumatoba187 5 років тому +2

    Dah! Night star, umenikumbusha sure 94

  • @ramadhanikhaji800
    @ramadhanikhaji800 5 років тому +5

    Nimgelele choni mwanangu kalawa🤗🤗

    • @bakarikihonga5717
      @bakarikihonga5717 5 років тому

      Ramadhani Khaji Una jua maana yake hiyo?😀

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 4 роки тому

      Hatujui tufahamishe .

    • @amriamraan2612
      @amriamraan2612 4 роки тому +1

      Mwanangu amekua nimpe nini au zawadi gani na mimi ni masikini?

  • @nassorolikoko9191
    @nassorolikoko9191 5 років тому +2

    Mwanaharakati umenikumbusha mbali sana swahiba...

  • @meyou-zz8mj
    @meyou-zz8mj 5 років тому +5

    Baba leta vitu dah vitu adimu

  • @didasapolo1872
    @didasapolo1872 2 роки тому

    Hii ngoma inanikumbusha mbali

  • @moarchitect7300
    @moarchitect7300 4 роки тому +1

    Nakukubali Mwanaharakati

  • @abdallahkarobo5645
    @abdallahkarobo5645 2 роки тому +1

    Zilinoga sana

  • @dasilvajunior3016
    @dasilvajunior3016 4 роки тому

    thanks for your uploading

  • @mudymaliki3835
    @mudymaliki3835 3 роки тому +1

    kaka mudi niulizie kibaka mdudu yupo hai ? na aidali kesi

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  3 роки тому

      Mmh sina hakika mzee! Labda nifuatilie.. Ninataka sasa kuandika historia za MNANDA TZ! Nitazitupia humu!

  • @zainabumohamedy6131
    @zainabumohamedy6131 3 роки тому

    Dah tunatoka nogoma mt morogoro no 40 ilala

  • @ShemsaKessy
    @ShemsaKessy 5 місяців тому

    R.I.P babaangu

  • @halidvova950
    @halidvova950 4 роки тому

    Tofauti ya night star na hisani music
    Hisani kinanda chao kilikuwa juu kushinda vibaku baku na besi
    Yaani kinanda cha hisina kikivuma ngoma unazisikia kwa mbaaali
    Lakini night star walijua kubalance
    Kinanda na vibaku baku vipo level moja

    • @ambegu4395
      @ambegu4395 4 роки тому

      Jamaniiii nilikuwa mdogo sana ila uyu alieimba alikuwa lafiki wamarehemu mjomba yangu

    • @ramadanmwinyi7329
      @ramadanmwinyi7329 3 роки тому

      Daa mi ni mzee lkn mchoz yanamwagika

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 5 місяців тому

      haidari kesssy​@@ambegu4395