VIONGOZI WA SIMBA TAFADHALINI SANA SANA SANA TUHESHIMIANE NA HACHENI UBAHIRI MARA MOJA SIMBA SC IMESHA PITA HUKO KWENYE KUCHUKUA WACHEZAJI WA MAJARIBIO HUYO MCHEZAJI MULIOMLETA CHARAMBA NI ANAKIWANGO KIDOGO MNO ANAZIDIWA HATA NA AKINA DUCHU HATUMTAKI NA HATUTAKI UJINGA WA NAMNA HIYO. NASHUKURU KWA KUNIELEWA
This APR is building new way of playing, it will be better in the upcoming years
VIONGOZI WA SIMBA TAFADHALINI SANA SANA SANA TUHESHIMIANE NA HACHENI UBAHIRI MARA MOJA SIMBA SC IMESHA PITA HUKO KWENYE KUCHUKUA WACHEZAJI WA MAJARIBIO HUYO MCHEZAJI MULIOMLETA CHARAMBA NI ANAKIWANGO KIDOGO MNO ANAZIDIWA HATA NA AKINA DUCHU
HATUMTAKI NA HATUTAKI UJINGA WA NAMNA HIYO.
NASHUKURU KWA KUNIELEWA
Man of the match Hussein abe
Hussein ❤
Huyu semaji la fifa litatesa watu🎉❤
😂😂😂Upande wa Tshabalala kumbe kuna mtu wa maana tu ROBERTINHO alikuwa anauwa vipaji
Huyu anacheza na kapomb Ila sijui imejuaje kocha kumuweka kwa shabalala
Ubuse abiuahuzaga amagambo ngo Simba iradutsinda 5 murajyahe mwabanzimwe
Hussein abel🔥🔥🔥
Walitucheka tumesare leo watani wamekalia hukooo
Nafrahi kumuona Moses stiller in simbaa
Apr yetu🇷🇼❤️🙏
This team is fucking as hell sajilini vizuri bwana acheni Janja Janja mashambulizi ya kawaida
Tulia
hatumtak mangungu
Hmn wachezaj hapo ,,Mo awauzishe ukwaju tu huku mtaan hamn wachezaj
Njoo wew na ukoo wako mje mcheze, kukoment upuuzi tu
😝😝Benchika kafanya kuna wachezaji tusiwakumbuke
HUYO CHARAMBA MMMMH BADO SIONI KAMA KUNA MCHEZAJI WA KIGENI ANAWEZA AKAMTOA