Baada ya kushinda DV LOTTERY Hatua za kufuata

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 85

  • @amanivincent8863
    @amanivincent8863 Місяць тому +1

    Mungu atusaidiye huu mwaka tuwe kati ya watakao shinda kwa jina la Yesu christo, Amen

  • @ayubujosiah
    @ayubujosiah 3 місяці тому

    Ernest Boniface Makulilo,asante sana kwa elimu yako yakinifu,Mungu akubariki endelea kutupa madini

  • @nurumwinuka9724
    @nurumwinuka9724 2 місяці тому

    Ahsante sana kaka Mungu akubariki sana kwakutufundisha hakika Mungu akubariki wewe nafamilia Yako

  • @davidmwasonya2718
    @davidmwasonya2718 2 місяці тому

    Hakika EBM una nondo za kutufungua macho yetu kuhusu maisha ya Marekani

  • @issambela8279
    @issambela8279 4 місяці тому

    From dar es salaam tuko pamoja Inshallah

  • @BizimanaChristian-m9d
    @BizimanaChristian-m9d Рік тому +1

    Napenda kukuwangaliya sana Kaka Niko zangu burundi

  • @victornzebele3990
    @victornzebele3990 8 місяців тому

    Ahsante sana EBM kwa elimu nzur, Mwenyez Mungu azidi kukulinda na kukutunza daima #EMB for life❤❤

  • @MuamedeassumaneAssumane-cm5ky
    @MuamedeassumaneAssumane-cm5ky 4 місяці тому

    Mimi nakukubali sana mzee wangu from Mozambique 🇲🇿

  • @justinevitus3925
    @justinevitus3925 3 місяці тому

    Kazi nzuri kaka

  • @Kigomafahariyetu
    @Kigomafahariyetu 2 місяці тому

    Ebm honger san mkuu nguvu unayotumia kutupa elimu ni kubwa san

  • @musadonald8345
    @musadonald8345 3 місяці тому

    Nakubali mkubwa unajua kufundisha

  • @davidmwasonya2718
    @davidmwasonya2718 2 місяці тому

    Ubarikiwe sana kaka

  • @manenomaneno8819
    @manenomaneno8819 9 місяців тому

    Ubarikiwe Sana Kaka Niko pamoja na wewe

  • @alphoncemaganga1876
    @alphoncemaganga1876 Рік тому

    Ebm saruti sana kijana,hongerasa kwa kuelimisha jamii ya Kitanzania

  • @YahyaGodwin
    @YahyaGodwin 3 місяці тому

    Kaka nakuelewa Sana kwa elimu yako.

  • @poohwashington2752
    @poohwashington2752 Рік тому

    Asante kwa kutufungua upeo Mungu akubariki Ernest

  • @shabanidjuma8764
    @shabanidjuma8764 Рік тому

    mimi naku follow sana kaka hua naangalia videos zako zote

  • @ishimweakbar1397
    @ishimweakbar1397 9 місяців тому

    Asante sana Burundi tunakufatilia sana

  • @jae7415
    @jae7415 8 місяців тому

    This is very wise as important

  • @AsaphWashper
    @AsaphWashper Рік тому

    Asante sana kaka Ernest Boniface makulilo

  • @gomlesa_tz
    @gomlesa_tz 3 місяці тому

    Fact bro 🙏🙏🙏

  • @Ben-gy2nk
    @Ben-gy2nk 9 місяців тому

    Wonderful❤

  • @HamidSalum-b1z
    @HamidSalum-b1z Рік тому

    Mungu Akubarikii.. Ebm broo

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 Рік тому

    Nakuunga mkono follow what will add value on yo field🎉🎉🎉

  • @ngoynzoagermain
    @ngoynzoagermain Рік тому +1

    Pamoja sana 5/5 🇨🇩🇨🇩

  • @is-haqainstoppable1410
    @is-haqainstoppable1410 9 місяців тому

    Ebm asant Kaka🎉

  • @gregorymassawe1441
    @gregorymassawe1441 Рік тому +1

    EBM unaongea reality!!
    Hiki Ndio kinahitajika black and white!!

  • @emanuelcholela8679
    @emanuelcholela8679 3 місяці тому

    Sahihi aiseeeh

  • @recreationalcommitteerecot
    @recreationalcommitteerecot 3 місяці тому

    Ahsante sana kaka mkubwa

  • @lex_niyukuri8617
    @lex_niyukuri8617 Рік тому

    Kwl kk umeongea jambo la maana sana thanks 🎉🇧🇮

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 Рік тому

    Shukrani sana NYEUPE SANA HII

  • @rahelpaul3079
    @rahelpaul3079 Рік тому

    Asante sana kaka EBM🎉🎉

  • @justiniddi
    @justiniddi Рік тому

    Ubalikiwe sana kaka najifunza mengi kutoka kwako

  • @jayakoba7774
    @jayakoba7774 Рік тому

    Vizuri sana kwa elimu yako brother

  • @josephatjosephat4269
    @josephatjosephat4269 2 місяці тому

    Kweli

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 Рік тому

    Dah wajina Mungu akurinde sana . Kwasababu unatupa maerezo mazur sana

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 Рік тому

    Asante kaka, nasubiri majibu

  • @hamispakaya9209
    @hamispakaya9209 Рік тому

    Kwer. Kabisa. Kaka. Nakubali sana. Hayo. Madini. Yako

  • @rahelpaul3079
    @rahelpaul3079 Рік тому

    Asante sana EBM

  • @emanuelcholela8679
    @emanuelcholela8679 3 місяці тому

    Mwalimu unajua kufundisha

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 Рік тому

    Safi vigezo❤ ebm.

  • @MuhammadMatimbwa
    @MuhammadMatimbwa Місяць тому

    Sahihi kweli kabisa

  • @ruthondari5180
    @ruthondari5180 Рік тому

    Mungu akusaidie sanaa

  • @ombogoann
    @ombogoann 10 місяців тому

    Thanks for your advice

  • @ishaqamissi3834
    @ishaqamissi3834 Рік тому

    Asante kwa faida

  • @RajabuKitalambo-q2u
    @RajabuKitalambo-q2u Рік тому

    Thanks you kiongoz

  • @PascalineNdayizeye-o1n
    @PascalineNdayizeye-o1n Рік тому

    Nafurahiaga njinsi una ongeyaga ukweri good

  • @hunterboytz
    @hunterboytz Місяць тому

    Kaka nakufatilia sna naishi na ukweli wa maneno yako from 🇹🇿

  • @masaifinancialagent5089
    @masaifinancialagent5089 Рік тому

    Nakuelewa sana ndugu

  • @stanslauskaparangabo8977
    @stanslauskaparangabo8977 Рік тому

    Nice bro

  • @EssauLucas
    @EssauLucas Рік тому

    Pamoja sana MUNGU akubaliki

  • @FadhilOmar-zx8pu
    @FadhilOmar-zx8pu Рік тому

    Hey ebm mombasa umetuacha boss

  • @mickymicky969
    @mickymicky969 8 місяців тому

    Ni kweli kabisa kaka unachosema

  • @annahmukai7775
    @annahmukai7775 Рік тому

    Kaka mungu akusaidie

  • @oscarisaac5997
    @oscarisaac5997 Рік тому

    KAZI nzuri

  • @Dsminstallerstech
    @Dsminstallerstech 3 місяці тому

    🤝🏽🤝🏽 100%

  • @innoofficialtz8516
    @innoofficialtz8516 Рік тому

    Blessings

  • @MalJr01
    @MalJr01 9 місяців тому

    Kwani lazima niwe na gari? Public transport ni chache?

  • @manenomaneno8819
    @manenomaneno8819 9 місяців тому

    Kaka ubarikiwe Sana na mm ni miongoni mwa watu walioomba nikickaguliwa nitakujulisha mkuu napatikana mwanza

  • @furahinierikael63
    @furahinierikael63 Рік тому +1

    Kaka huwa nafwatilia vema elimu unayotupatia nategemea nikishinda greencard nategemea kutua Missouri chap unipe namna yakuanza maisha hapo US

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @gerstv2447
    @gerstv2447 Рік тому

    Nikweli maneno yakp 🎉

  • @silasgerrychannel225
    @silasgerrychannel225 Рік тому +1

    Safi sana

  • @FadhilOmar-zx8pu
    @FadhilOmar-zx8pu Рік тому

    Naomba unitumiye namba ya kulipa ya Kenya

  • @rameermziwanda6282
    @rameermziwanda6282 Рік тому

    Elimu kubwa sana hii

  • @JoshuaKeheta
    @JoshuaKeheta Рік тому

    Tuko p1 kaka

  • @muhammedjuma8966
    @muhammedjuma8966 9 місяців тому

    Brother ebm mi nakufuatilia sana huku asante kw kutuhamasisha ilinna cye tufanikiwe na mm nimeomba gree card na mpaka no zako nimezichukuwa za ofice na tutafanikiwa amin

  • @silasgerrychannel225
    @silasgerrychannel225 Рік тому +2

    Kaka unasaidia sana, yaani Mimi ndoto na mawazo ya kwenda USA yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na wewe

  • @tesenimgabo2009
    @tesenimgabo2009 Рік тому

    Naswali hapo kaka kuhusu medical examination unayotakiwa kufanya kabla ya interview unaifanya popote na form unaitolea wapi?

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 Рік тому

    Na visa ni shilingi ngapi ? Kwahiyo kama nina watoto watatu kila mmoja namlipia hiyo gharama ya visa?

  • @machozukumuda6596
    @machozukumuda6596 8 місяців тому

    Ndugu nimekubali content

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 Рік тому

    Kaka hivi kama cheti changu cha degree kama zipo laminated itakuwaje? Maana nasikia US Embassy huwa hawapokei laminated documents @EBM SWAHILI

  • @habibhamza9766
    @habibhamza9766 Рік тому

    One day yes! na naomba utambue Kama nimekufatilia sana tu kaka

  • @davidmwasonya2718
    @davidmwasonya2718 2 місяці тому

    Ipo siku najua nitakuja tu nje uzunguni maana napata maelekezo sahihi sana toka kwako

  • @edgermwaitenda7539
    @edgermwaitenda7539 Місяць тому

    Nikishinda na Mwenzi wangu naweza fanya nae process zote za visa afu nikasafiri peke yangu kwanza kuweka mazingira sawa ndo afuate yeye

  • @BLB67
    @BLB67 Рік тому

    EBM kwani MZEE MPILI amekukosea nini Lakini? Kumbuka Mzee mpili ana WATU 😂😂😂

  • @erickmisilakuba6426
    @erickmisilakuba6426 2 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @edgermwaitenda7539
    @edgermwaitenda7539 Місяць тому

    Nikishinda na Mwenzi wangu naweza fanya nae process zote za visa afu nikasafiri peke yangu kwanza kuweka mazingira sawa ndo afuate yeye