This movie makes me feel so much think about how people play games in life of peoples feelings. Kakoso you the master of the game bro😂😂🎉🎉🎉 mach love from mombasa
Mbona kwenye filam yetu nzuri tunahanza kupoteza watu muhimu mapema sana,hamjui Vanela nimtu ambaye alikuwa akiweka laza nzuri sana nakuipa filamu yetu laza yakutizamwa sana,oyaaa jirekebisheni basi
This movie makes me feel so much think about how people play games in life of peoples feelings. Kakoso you the master of the game bro😂😂🎉🎉🎉 mach love from mombasa
We can't respond your comment,cause we don't understand english broh
Uyu jamaa fundi
😂😂😂😂😂😂@@NesthKey😂😂😂😂😂😂 ila harmonise nyieeee😂😂😂😂😂😂
@@hamisikamanda9933 Kabisa tena hana haraka
Kakoso you are always smart . It's flowing 🔥🔥🔥
Wapili leo toka nianze kuqngalia hii movie bado sijawai pata like hta kutoka kenya❤
Kazi nzuli nampenda vanila❤
Napenda sana munavio act movement za scene ❤nawapenda sana kutoka Burundi 🇧🇮
Yaan ninyi watu mutanifanyaa kichaa kwa kweli yaan huwa munanipangaa furahaa sana❤❤❤❤❤
Kaz nzuri San kakoso tunasubir episode ya 12
Wao the game nzuri sana nikupigana kwa maneno tu
Kazi safi toka kwa watu makini sana 👏👏
Team kakoso mpoooo kazi nzur sana but ipo 💥💥💥💥💥tunapoelekea ni patam sana apana chezea The Game❤❤❤❤
wanda hajitambuinanamtaka kakoso huku medi 😂😂😂😂 haya sasaaa
Napenda wanda anavyo cheza iyo hii game.kwani hata wewe ukitaka kunusu uhai wako utafanya nn?
Really story about this movie of people's of this world
Ama kweli movie ni tamu sana ama kweli ilipangwa ikapangika
Nzuri sana ❤🇹🇿🎥
Kazi nzuri sana
Dah nimelia mpaka mm vanila ameniliza dah 😢😢😢
😂😂😂aloo naona kunakisu kinaelekea kugusa mfupa😅
😂😂😂😂 honger kakos kaz nzr 🎉🎉🎉 mzenj ap
Mbona kwenye filam yetu nzuri tunahanza kupoteza watu muhimu mapema sana,hamjui Vanela nimtu ambaye alikuwa akiweka laza nzuri sana nakuipa filamu yetu laza yakutizamwa sana,oyaaa jirekebisheni basi
kiukwel hata Mimi nilikua naicheki kwa sababu ya vanillah I lyk dat gal❤
Huenda anaenda kuripoti chuo maana msimu ndo huu
oooh kwani anasoma?? lakin chuo Hadi mwez wa Kumi mwishonii
Kazii nzuri Sana team kakoso
I can't wait for the next episode 😍
Hii kwel ni game ina drama hatri asee kakoso saluti bro ❤❤❤❤❤
Nzuriiiiii ila Zumba umrmkosea mwenzio
Zumba yupo sahihi ukileta kujua utaumishwa pamba
Sema kimeumana😂😂😂😂😂😂😂😂chib na yey zamu yake kuumia😂
Bado nasikitikia SNAKE BOY season two... 😢 kwahiyo inamaana tusubirie season three itatoka
Snake boy imeisha au hiyo snake boy ilivyo fika mwisho hukuona imeandikwa mwisho
@@WinnieWangila hata season one iliandikwa mwisho halafu ikaendelea. Kwamtazamo wangu bado kuna mambo mengi yanayosababisha iendelee.
@@DonMooFILMES_Express sawa wacha tuone kama itaendele pia ikiendelea itakuwa bora zaidi lkn sidhani juu big boss season 2 ndio inakuja sasaa
@@WinnieWangila big boss haizuii season three. Watapost big boss season twoo ikiisha watarud kwa snake boy 3.
Hapo sasa Big boss na snke boy tunaitaka@@DonMooFILMES_Express
Kazi mzuli kaka 🎉🎉🎉
@Kakoso ,movie zako ni nzuri sana.kwani vipi kuhusu Big Boss Season 2??hatutokaa tuipate kweli??tuambie ukweli??nawapenda sana kutoka Burundi 🇧🇮
Super genius director
Mmmmh hili gome kweli linatisha ni hatali hebu tuangalie mwendelezo inako elekea..
Nawapenda San jamn ❤❤❤
Mungu awabaliki
Eheeee eheeee madamuuu umepigwa na kizito niniiii?😂😂😂😂
😂😂😂
Kz nzur jmn ila leo wa 12 sihaba nimewahi😅😅😅
Kazi nzuri
Episode ya 11 nzuri ila kuna vipande mmezingua
Safi sana🎉🎉🎉🎉
Panaenda aje hapa🤔Kakoso anataka kumuumiza Chibu kwasababu anajua Abinibi ndio mpenzi wake wa pekee?
Kakosso hanaga baya kwenye kazi
Watu wanasema Congo mupo? Gonga ❤ apa
God job🎉🎉🎉🎉
Jmn wa 19 leo ❤❤❤❤
My happiness ❤❤❤😊😊😊
Wanda ni kidemu kizuri na nusu 😂
Kakosoo❤❤🔥🔥
dadadekiiiii.....chibu vs kakoso....nataka nione chibu anataka kufanya nini...ni kweli hawazishwi na mwanamke....!!!!
Nafrahi kumuona sauda
Zumba mmeanza kuangushana wenyewe kwa wenyewe..
Kicheko 😂😂😂%7000000Sio poa yaan
Good🎉
Goma la mana hili ila mda ndio mchache
Dakika 20 ni chache? Kuwa silias kijana 😂
Kabla sijamaliza kuitazama nikakimbilia kukoment nime kua wa6 Leo jaman 🤗
❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂🇰🇪🇸🇦🇰🇪🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kipenz
Leo chuma kimekula chuma
Sipend Hawa anavoongea bas tuu
Today am first 🎉🎉🎉😅😂
Vanilla ❤
Kazi powa team kakoso
😊😊😊
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪❤❤🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Right on time
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉
😊😊😊😊😊😊
🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉
Kiukweli nimetokeya kumpenda,sana,HAWA jameni ajaolewa
Too shot
Nipeni like zangu tafadhali naomba kwajili ya kakoso pls
Kakoso
Zumba alipoison chakula yote na yeye akufu surely 😮
Alipoison chipsy....ndio maana yeye alikula kuku akula chips
🎉🎉🎉🎉