SIKU NILIYOPATA MIMBA (Part 03)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #mtotoasma #ndoige #vaileth

КОМЕНТАРІ • 436

  • @edwinjohn6334
    @edwinjohn6334 Рік тому +151

    Jaman huyu vai ana jua mpaka ana jua tena kama na ww una kubali hilo piga like mbwa mm pumbavu zangu🔥🔥🔥

  • @mohaanyota9159
    @mohaanyota9159 Рік тому +156

    Jamani huyu dada na si Ako vizuri sana 🙏 kama munamkubali vailet msipite bila kulike kwangu leo

  • @davcodavid8651
    @davcodavid8651 Рік тому +20

    Duh..sipati picha jamani fanyeni move naiona bongo move iliyo kufa imefufuka nawaona akina kanumba wengi sana miaka ijayo kama unaamini hilo gonga like twende sawa

  • @ivanmollel3178
    @ivanmollel3178 Рік тому +71

    daah hatari zaidii ya jana kazi bado inasonga like zenuu jaman sijawah fikisha hata 5

  • @emanuelgilber5568
    @emanuelgilber5568 Рік тому +7

    hawa watu wanajua kiufupi maudhui yao ni mazuri sanaa vai the best actress gonga 👍 kam unamkubal binti vai

  • @michusicompany6151
    @michusicompany6151 Рік тому +9

    Wapendwa kazi nzuri. Part 4 please. Yan najikuta natingwa nkimuona vaileth. Nakupenda saana.

  • @marynanjala6986
    @marynanjala6986 Рік тому +15

    😭😭😭Mmeniacha machozi tupuu jameni😭😭😭😭😭 OMG ,hii movie jameni

  • @tomsonsalita6329
    @tomsonsalita6329 Рік тому +22

    Très intéressant, courage 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @hamisikambona8763
    @hamisikambona8763 Рік тому +181

    Tangu nianze kuangalia hii series sijawahi kupata likes, naomba ata likes 5 nami nifurahi kwa kazi mzuri kama hizi.

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 Рік тому +5

    Story nzurii saaaana wallah inafundisha saaana haki wanaume stop kukataa mimba mujifunze kupitia hii story nzurii saaaana haki

  • @clementbamu
    @clementbamu Рік тому +9

    Vailet unaweza kabisa uko Sawa nakukubali kutoka Dr Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 #sehemu ya 4 tunaisubiri please

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 Рік тому +13

    Vailet from Burundi 🇧🇮 nakupenda sana!!

  • @gasperprosper6377
    @gasperprosper6377 Рік тому +2

    Kazi ime pata wafanya kazi wachezaji mme vaa uhucka wa tukio ila mme nitoa machoz kwa hii kitu vai ww ni mtu na nusu katika kaz unajua kuuvaa uhucka wa 👏👏👏💯

  • @amanronny1658
    @amanronny1658 Рік тому +5

    Daaah, kama. Kweli pole dada

  • @hamiduhamidu9778
    @hamiduhamidu9778 Рік тому +3

    Mansha Allah 😉 nzuri kwel msitukawizie bx muendelezo

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 Рік тому +2

    Yaani uyu mdada anajua anajua mpaka anajua tena wallah uyu Vai atafika mbali

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Рік тому +9

    You nailed it sister you are on high level

  • @lectonodupoi5001
    @lectonodupoi5001 Рік тому +4

    Super Super hakika mmeweza

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 Рік тому +2

    Kama mmeweza kunitoa machoz ujue mmetisha good idea

  • @allymadjaliwa1374
    @allymadjaliwa1374 Рік тому +8

    Congratulations. Kazi nzuri sana ebu tunaomba part 4

  • @Alim-Rachel
    @Alim-Rachel Рік тому +26

    Wow good job i can't wait part 4 😍😍😍

  • @aliabdullahmohammed6824
    @aliabdullahmohammed6824 Рік тому +8

    Assalamualaikum warahmatullahi wabarakatuh dada, yani uko juu TU sana, naukiedelia hivio utakuwa juu sana kuliko wote,

  • @jamesmajuva6286
    @jamesmajuva6286 Рік тому +3

    Kiukweli unjua kuigiza hongera kwa kazi nzuri 🇰🇪🇰🇪

  • @DIVINAH553
    @DIVINAH553 Рік тому +20

    Waiting part 4 it's amazing congrats

  • @hlimaa5182
    @hlimaa5182 Рік тому +2

    Waaah hadi machozi 😭😭 😭 hongeni sana 👏👏👏👏💖💖💖💖 mpo vzr sana

  • @shericktv509
    @shericktv509 Рік тому +35

    GOOD STORY,GOOD IDEA CONGRATULATIONS

  • @agathakatumba4228
    @agathakatumba4228 Рік тому +7

    Jaman watu mnajua kuwahi na mm kwa leo tu japo nimechelewa like zenu jaman

  • @bakundasarah7417
    @bakundasarah7417 Рік тому +3

    Nawakubali sana kwa comedie mnajuwa na mnajuwa tena congrats

  • @eliajoctan1396
    @eliajoctan1396 Рік тому +2

    sio comedy tena ni serious issue nimeipenda kwa kwel

  • @mrogtz8278
    @mrogtz8278 Рік тому +5

    Kazi nzuri sasa nakubal sana uwezo wenu 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿

  • @pafrasmigezo1494
    @pafrasmigezo1494 Рік тому +4

    tuleteeni iyoo part04 chap bas hii part03 imechelewa sanaa ,,ikiwezekana iwee series ya kila cku

  • @fransisnyandoa8163
    @fransisnyandoa8163 Рік тому +13

    mumenifanya nilie kwanini 😭😭😭😭 kazinzuli 🔥🔥🔥🔥❤️

  • @clevertouch4615
    @clevertouch4615 Рік тому +1

    Uyu bro nae anajua kuigiza kinyamaa

  • @deborahwekesa1318
    @deborahwekesa1318 Рік тому +13

    Can't wait for part 4

  • @IbraN-day
    @IbraN-day Рік тому +3

    Hii movie ni ghali .mliigiza vizuri sana. Kuna funzo

  • @marcelinemwaro266
    @marcelinemwaro266 Рік тому +5

    Mara ya kwanza kumuona asma hana jalbabu

  • @mozasalum5570
    @mozasalum5570 Рік тому +5

    Duu kwely mungu mkubwa😳

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 Рік тому +5

    Doctor laana ya kukataa mimba inamtafuna😆

  • @wambuievelynwaithira
    @wambuievelynwaithira Рік тому +6

    😢 😭 yaani vailet and this whole crew mwafanya kazi Safi hongera sana

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 Рік тому +6

    Asma tulikumisssss jmn😆

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 Рік тому +4

    Asma yamemkuta mbona🤣🤣🤣

  • @mohamedimadinga5790
    @mohamedimadinga5790 Рік тому +7

    Hatariii...Asmah is back 🔥

  • @remmyshirima3351
    @remmyshirima3351 Рік тому +2

    Jaman nampenda san vain pumbavu zangu naomben like zangu

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 Рік тому +2

    Next please bana Niko n hamu

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga3199 Рік тому +2

    Vhailet uko Sawa kabisa piga kazi utafika mbali dadangu

  • @monicaimmanuel8106
    @monicaimmanuel8106 Рік тому +1

    Jamani nampenda sana Vaileth

  • @rehemaabdullah7606
    @rehemaabdullah7606 Рік тому +3

    MashaAllah mnajua na mnajua tena tunasubir part 4

  • @shamsahasan2748
    @shamsahasan2748 Рік тому +3

    Dahhhh damu mzito

  • @mwanarusi9818
    @mwanarusi9818 Рік тому +3

    Mapema ndio best

  • @habimanatheogene8523
    @habimanatheogene8523 Рік тому +3

    Ayiii ongeza time kbsa na furahi sana kuona kwamba uliza salama

  • @elizabethlengeju4851
    @elizabethlengeju4851 Рік тому +1

    Kwani Atanas hayo machozi huwa unayatoa wapi ya jirani hivyo😀 hongera tu

  • @fetrixharsmaro5699
    @fetrixharsmaro5699 Рік тому +2

    hii season nimeielewa Sana msichelewe mtupe muendelezo jmn inatoa funzo kubwa sana... Vai ana niinsiper sana

  • @aminielsaidi8015
    @aminielsaidi8015 Рік тому +1

    Dah jamani hii move inafundisha kitu fulani kwenye maisha ila fanyeni vipande viwe virefu kidogo

  • @mrben227
    @mrben227 Рік тому +6

    Congratulations 👏 very exciting 👏

  • @hamzasuleiman9605
    @hamzasuleiman9605 Рік тому

    Mm ni mkosoaji mzuri tu but kwa hii daaah hongereni sanaaa
    1 - Vailet
    2 - Asma
    3 - Mama Asma mlezi ( Muuza maandazi )
    4 - Baba Asma ( Daktar )
    5 - Queen wangu
    ISHINI KWA PAMOJA MNAWEZA SANAAA NA INSHAALLAH mtafika mbali mnoooo 🤲

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 Рік тому +1

    Wote mnaweza kwa kweli ongereni

  • @martinmunywoki
    @martinmunywoki Рік тому +2

    Nice one. Ina mafunzo tele

  • @zainabusalehe7461
    @zainabusalehe7461 Рік тому +2

    Move nzur sana jaman iendelee hata leo hongereni sana.

  • @ant9ny475
    @ant9ny475 Рік тому

    Nitamu sanaa lakn demu yupo vizurii sanaaa kwenyee hii igizooo jamni

    • @ant9ny475
      @ant9ny475 Рік тому

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩 mbn ulimfukuza xaxa

  • @breezysaspect6172
    @breezysaspect6172 Рік тому +6

    Kazi safi💯💯

  • @Nayra976
    @Nayra976 Рік тому +6

    Leo nimewahi naomba like hata 1

  • @blueeyes5952
    @blueeyes5952 Рік тому +3

    J'aime trop cette série et la chanson de mokolo.

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 Рік тому

    Mashallhhh mashallhhh mashallhhh mashallhhh mashallhhh mashallhhh mashallhhh mashallhhh mashallhhh ndugu zangu mumeweza ni bonge la muvi uyo kaka anajuta ss mbuvu zangu mm wataka kuuwa kiumbe na mungu akakuonyesha

  • @rosealoyce9933
    @rosealoyce9933 Рік тому

    Jamn mnafanya vizuri saana na mm naomben mniweke kwenye kikundi chenu namm napenda saana kuigiza

  • @juzelujo2169
    @juzelujo2169 Рік тому +1

    When a good direct meets good actors and actresses.....director🙌🙌...huyo sista mlezi kipaji sana naye

  • @agyy4112
    @agyy4112 Рік тому +3

    Good job waiting part 4

  • @aryanchuumu362
    @aryanchuumu362 Рік тому +1

    Vai mamaangu we n mnoma sanaa🔥🔥🔥🔥nakupenda cz unajua mpka unakera💖

  • @radjnab5279
    @radjnab5279 Рік тому

    Naisubir part 4😎😎yaan mnawez kbx il muongezee dakik jmn

  • @elmosteve586
    @elmosteve586 Рік тому

    Good idea nimependa igusa jami yetu i like it

  • @luckatitotv1348
    @luckatitotv1348 Рік тому

    Una weza kuhingiza vuzuri mupaka umenifuraicha sana ,na Histoiria la ko ni zuri sana ,mimi Niko Congo ,na mimi nimusani kibao

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv Рік тому

    Dah noma sana naona mambo ua kanumba sasa yameanza kurudi

  • @Bupewankumbu
    @Bupewankumbu Рік тому +3

    Haraka Sana tunaisubiri Sana part4 shafi from zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @nzabonimanadonacien3630
    @nzabonimanadonacien3630 Рік тому +13

    Nawakubari kutoka Rwanda Kigali 🇷🇼🇷🇼 rakini part 4 tunawomba 🙏🙏🙏

  • @Son_TV_Online
    @Son_TV_Online Рік тому +1

    Nguvu moja twende sawa 💪

  • @emmanuelngiriwonsanga2157
    @emmanuelngiriwonsanga2157 Рік тому +2

    I swear to God this girl is one of the best african actresses have;da would be better for her if she knows english because she is gonna be fruitful from her talent!!!!

  • @samiyairakoze5958
    @samiyairakoze5958 Рік тому +2

    Courage nawapenda saaana from burundi 🇧🇮

  • @Geraldciza-hk1yg
    @Geraldciza-hk1yg 9 місяців тому

    Vailett is the best actor for sure she knows how to act she's talented love you from Burundi

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 Рік тому +1

    Hyu mdada namuelewa sanaaa

  • @user-db9qi3io8z
    @user-db9qi3io8z 9 місяців тому

    Ila vai unajua sana kuigiza kwenye kipande cha uchungu umeua kbc😅😅😅

  • @pinok3370
    @pinok3370 Рік тому +3

    Love you from Burundi 🇧🇮

  • @OnePablo.
    @OnePablo. Рік тому +2

    Araka Sana 🙏 na part 4 jamani ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @habbyhalawa5266
    @habbyhalawa5266 Рік тому +2

    Khaaa ww kaka unalia kwa hisia had nimejisikia vbays😣

  • @user-cr4ku8jh4d
    @user-cr4ku8jh4d Рік тому

    Ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️,😭😭😭😭

  • @blackblue9729
    @blackblue9729 Рік тому

    Muna igiza vizuri sema punguzeni kulia maana sio mwanaume wala mwana mke

  • @fa.fa.9713
    @fa.fa.9713 Рік тому

    Nakupenda bure mdada vai we nijasiri

  • @bakariadamu6068
    @bakariadamu6068 Рік тому

    Sio mbaya japo stor mmeirusha sana lakini ipo vizuri

  • @isihakajarika2668
    @isihakajarika2668 Рік тому

    Huyu vai watampoteza hawa anajua sana na vile mrembo watamchukua makampuni makubwa

  • @naomimasudi41
    @naomimasudi41 Рік тому +1

    Dah Hadi machoz yamentoka

  • @kattouftelecom5119
    @kattouftelecom5119 Рік тому

    Mbona mwachelewa kupeta party jamni navile imefikia patamu 😂😂kibonge

  • @rosedanford6859
    @rosedanford6859 Рік тому

    Yaan hapo vyuma viwili vimekutana vai na atanas Ni noumaaaaaaa duh

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Рік тому

    Yn nyinyi ni viboko mnajw cn yn vipaji haswa👏

  • @killamanempire
    @killamanempire Рік тому +1

    Nice one

  • @maryammaryam1560
    @maryammaryam1560 Рік тому

    Yani hakakatoto kanajuwa sana kuigiza mashaallah

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 Рік тому

    Dhuuh nimelia pia mm Vai unaweza dada

  • @kwezymarley8552
    @kwezymarley8552 Рік тому

    Maze mnatisha sana hiikali tatizo nimoja tuu eposodes fupi ndo mna tupatia lakini tamu kweli

  • @amirimohammed2875
    @amirimohammed2875 Рік тому +2

    Respect san

  • @sayunimbate5758
    @sayunimbate5758 Рік тому

    Jmn mm nawapnd nasubriii😍😍😍

  • @nassiromar5531
    @nassiromar5531 Рік тому +2

    Kazi Mzuri

  • @GaspalSizal
    @GaspalSizal 7 місяців тому

    Morogoro seem ya sanaa aipo skwann

  • @zenjtouristatraction1715
    @zenjtouristatraction1715 Рік тому +1

    Dah....inaelekea kua tamthilia ...hakika ni yamoto