PR David Mmbaga,UKIMTENDEA HIVI MKEO AU MUMEO UMEMUWEZA!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2017
  • KUNA MAMBO UKIMTENDEA MWENZI WAKO YANALETA UTAM KATIKA MAHUSIANO,HAYA UKIYAJUA MWENZI WAKO UMEMKAMATA VIZURI

КОМЕНТАРІ • 26

  • @joycegesare1571
    @joycegesare1571 3 роки тому

    Asante sana pastor umenisaidia mahali nitalekebisha barikiwa sana

  • @sifagubandja1589
    @sifagubandja1589 Рік тому

    Ameeeeen kwa mafundisho hayo Mazur kwa wana ndowa

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 5 років тому

    Hakika n kweli tupu mafundisho yako,Mungu akubariki Mch.Mmbaga.

  • @esterkaogo2390
    @esterkaogo2390 Рік тому

    Jamani nimegundua Kwenye masomo yako kunamadi🙏

  • @MahubiriPrMmbaga
    @MahubiriPrMmbaga  5 років тому

    Amen

  • @tajielysamwel9890
    @tajielysamwel9890 5 років тому

    Umenibariki sana mchungaji ubarikiwe sana

  • @reginaldsephania6123
    @reginaldsephania6123 5 років тому

    Ubarikiwe pastor kwa mafundisho

  • @dinamkamaabel9486
    @dinamkamaabel9486 6 років тому

    asante pastor,Mungu aendelee kukutumia

  • @akinyisusan8049
    @akinyisusan8049 5 років тому +1

    Asande kwa mafunzo mazuri sana

  • @lindajeremia7909
    @lindajeremia7909 5 років тому

    Ee mungu tusaidie sisi vijana tuwe na ndoa nzuri.

  • @aronrwebembera3306
    @aronrwebembera3306 5 років тому

    Hahahaaaahhh umenifundisha sana nakunifurahisha pia Amen

  • @eliudexaud7924
    @eliudexaud7924 5 років тому

    I like Pr mmbaga🙏

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 роки тому

    Sio wanaume wote, wanaume wengine hawapendi wake zao wawategemee wanataka mwanmke ajitegemee ndio maana haonekani wa maana mbele ya mke wake mke utakuta anajivisha mwenyewe na watoto pia ananunu chakula na mwanamme kazi yake kumsifia mke wake kwa kuweza kusimama ktk kujitegemea je huyo mwanamme atahitajika mbele ya mke wake au kuonekana kuhitajika

  • @atinaminzani1372
    @atinaminzani1372 6 років тому

    Asanteee

  • @margratematuku3824
    @margratematuku3824 6 років тому +2

    asante kwa mafundisho mazuri naomba mungu aniwezeshe ili nitakapopata mume wangu niweze kuyatekeleza haya kwa mapenzi ya mungu

  • @laini120
    @laini120 6 років тому

    Kweli kabisa. We baba mchungaji unajua