Katika watu wanaoteseka na huyu jamaa ni wapenzi wa utopolo maana kila wakimuona na perfomance nzr wanateseka sana tu na wataendelea kuteseka znz finest
@@kassimulugajo6512 analipwa mara 4 zaidi ya alichokuwa analipwa yanga. hii ndio inaitwa kujitambua kabla kushuka thamani yako. ifike wakati hana kiwango muanze kumzomea na huku hana kitu kwa kuendekeza sifa za kijinga
Sasa sisi atutese kwalipi maana tulikuanae lakini timu haikufanya makubwa kaondoka timu imeenda fainal na kubeba makombe yote yandani sasaivi hata timu yatafa haitwi hujiulizi kama kashapotea huyu
Nawaomba TFF ondoweni hasira zenu muiteni Fei timu ya Taifa ni mchezaji mwenye kipaji cha pekee Tanzania huo ndio ukweli ana speed anajuwa kiwachezesha wenzake kwa ufupi ni hodari sanaaaaaaaaa. Kama Taifa Fei haepukiki ni lazima ajumuishwe kwenye timu ya Taifa. 3:33
Ila watu hawajui mpira, hivi ukipewa Azizi ki Na Fei kwa yanga hii unaanza na Fei kweli???? Fei bora tu aliondoka maana alikuwa anakibania sana kipaji cha Azizi ki na alikuwa hataki kionekane, sasa hivi kipo juu, goli zake za musimu jana hadi anatoka yanga zishafikiwa na mtabe mapema tu Azizi ki ni another brand in town mkibisha kakojoeni mlie ukweli ndo huo
Yaan we jamaa kwl as mpumbavu huwez kumfanisha FEI na kiung yyte tz hii zaid ya chama 2 mm shabik wa yanga sema Uy mtt anajua boll bwan tusibishe ushabik tuwek pemben
Kama unataka kuujuwa umuhimu wa mchezaji usisubiri atoke timu yako iko siku nae aziz ki utasema bora kisa kuondoka kwake ubora wa timu ya yanga na azam ni tofauti yanga ipo juu ila hii gemu angalia fei alivyosumbua kati pale ilipomaliza gemu licha ya ushindi kwa yanga ila wachezaji walikiri kwenye mitandao wakisema fei habari nyengine
😂😂😅😂😅😂😅😅😂😅😂HALAFU WAGONJWA WA AKILI WENGI WAPO MITAANI SASA SHIDA NINI KUPOSTI CLIPS JAMAA WANAUMIA HAWA NA BADO ANAKUJA SIMBA KAZI MUNAYO MTAKUFA NA CHUKI ZENU😂😂😂😂😅😂😅😅😂😅😂😂😅
tatizo wabongo wengi hatupendi vya kwetu kazi kuvimbisha watu wa mataifa mageni vichwa fei ana jua sana mpira huyo aucho hata kaa aweze kukaba mpira kwa fei au chama maana anatumia nguvu nyingi kuliko akili ndiyo maana hata bato yake na mzamilu ali feli kuanzia kwenye dabi mpaka team ya taifa
Pesa haiongopi... Kijana anakula vizur anaishi vizur yani kwa ufupi kajipata, ayo mengine yanayoendelea ni kelele za chura..🎉🎉
Aisee yanga huaga wanaumia wakimuona uyu mwamba #fei toto🔥🔥🔥dogo apewe maua yake yupo vzr
We unajua boll daddy
Khalid Aucho, The GIGANTIC MIDFIELDER.
Mulimpa mshahara mbovu na dogo anaujua mpira
قل من ا ليه فان
Upuuzi tu kuweka hitgtligh ya mchezo wanashindwa mnaweka huu ujinga kwa kuwa mmefungwa mnaona aibu
Hawana chakupost wametafutaaaa wameona wajifariji na huyu mla ugali sukali 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😅😅😅waache wajipoze moyo kwnz
@@asyashariffu7717 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Angalia azam wanaongza mbili ndio utamjua aucho nani kakata umeme sana
Kakata umeme au limezidiwa na fei
@@alihaji215 aliyezidiwa ni yule aliyefungwa.Mpaka sasa kichwa chako kilichojaa ubongo uliochanganyikana na mavi kinakupa jibu gani?
Yanga msitudanganye ukweli usemwe huyu mtoto nimtu na nusu
Kaka fei wamoto sanaaaa 😂😂 bahati haikuwa yetu
Fei kapigwa kiatu sana gemu hii dah
Fei anajuwa mpira ila ubinafsi ndio unaotusumbha sisi tanzania
Umeongea sahihi ndugu
Tumewakanda vizuuuuuuri kbs shubaamiti zao kimyaaaa na foseli wao ndani 😂😂
Hakuna mudathir hakuna aucho hakuna max wala pacome ni mateso tu wameteseka sana kwa huyu kijana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Lengo ni point tatu 😂😂😂😂
@@LinusEdward hhhhh chungu kumeza, cjazungumzia azam na yanga, c mtu wampira ww
@@hajirama4270 ujumbe umefka
Kiukweli fisal yuko vizur
Mmefungwa mkachanganyikiwa mkashindwa kuweka highlight ya mchezo mzima mnatuwekea huu ushubwada
Jamaa wametumwa kumumiza tu
Angalia movement nzuri dogo alizo nazo hapotezi mpira
Ttz ni muda tu jamaa mbali na kumzomea alikuwa yuko Sawa kuliko
Jaman tuisaport Adam mbaka🎉wakife subcribe k100
Mnashindwa kuanagalia mpira mnakalia kumchamba fei kwan mpira ni ukoo mpka asihame
Mtakufa nyie na roho zenu mbaya
😂😂😂😂 Kilichobaki ni kujifariji tuu point 3 zishayeya hizo
Wee kasome kwanza wacha kujifananisha na yey humfiki hat chembe mshamba wew
Feisal n fundi kijn unaupiga mwingi mno
man of the match💙💙💙💙
Man of match yule aliotundika matatu Bali huyo wenu alikuwa anaruka Ruka.
@@IssaAbdi-j5swew unaweza kuruka ruka km alivo fanya yy?
Ha ha ha ha ha ha ulikuwa na nafasi ukowa Yanga. Sasa hivi unajitafuta tu, bado sana. Alafu Yanga ni kubwa kuliko wewe faisel
Kwani anaeifanya yanga kua kubwa ni nani
Muna bifu mpka hamtaki kutuekea highlights😂😂
God bless you fel toto mzanbzr mwezangu sio zar tu ila upo dg😊
Mmegoma kuweka highlights ya mechi😂😂😂
Dogo anakiwasha ni hatari na nusu
Azam fc acheni utan.mnataka ubigwa kwa wachezaji gani mlonao idris mbombo, alasane,maliku, lusajo,hahaaa aa
Just saw a foul that was supposed to be a red card and a penalty 😂😅Tanzania the rigging is worse
Katika watu wanaoteseka na huyu jamaa ni wapenzi wa utopolo maana kila wakimuona na perfomance nzr wanateseka sana tu na wataendelea kuteseka znz finest
Hio performance nzuri imeipeleka wapi timu yake mpaka sasa au ameipatia timu yake taji gani mpaka sasa?
@@kassimulugajo6512 analipwa mara 4 zaidi ya alichokuwa analipwa yanga. hii ndio inaitwa kujitambua kabla kushuka thamani yako. ifike wakati hana kiwango muanze kumzomea na huku hana kitu kwa kuendekeza sifa za kijinga
Mchukueni nyie wanafiki.
@@kassimulugajo6512we sio mtu mpira kwa uongeaji wako tu.
Sasa sisi atutese kwalipi maana tulikuanae lakini timu haikufanya makubwa kaondoka timu imeenda fainal na kubeba makombe yote yandani sasaivi hata timu yatafa haitwi hujiulizi kama kashapotea huyu
Ngoja aende mikoani
Nawaomba TFF ondoweni hasira zenu muiteni Fei timu ya Taifa ni mchezaji mwenye kipaji cha pekee Tanzania huo ndio ukweli ana speed anajuwa kiwachezesha wenzake kwa ufupi ni hodari sanaaaaaaaaa.
Kama Taifa Fei haepukiki ni lazima ajumuishwe kwenye timu ya Taifa. 3:33
Eishh the referring in African football 🤔🤔🤔what is khalid Aucho still doing on that field 😡😡😡
Ila watu hawajui mpira, hivi ukipewa Azizi ki Na Fei kwa yanga hii unaanza na Fei kweli???? Fei bora tu aliondoka maana alikuwa anakibania sana kipaji cha Azizi ki na alikuwa hataki kionekane, sasa hivi kipo juu, goli zake za musimu jana hadi anatoka yanga zishafikiwa na mtabe mapema tu Azizi ki ni another brand in town mkibisha kakojoeni mlie ukweli ndo huo
Yaan we jamaa kwl as mpumbavu huwez kumfanisha FEI na kiung yyte tz hii zaid ya chama 2 mm shabik wa yanga sema Uy mtt anajua boll bwan tusibishe ushabik tuwek pemben
Kama unataka kuujuwa umuhimu wa mchezaji usisubiri atoke timu yako iko siku nae aziz ki utasema bora kisa kuondoka kwake ubora wa timu ya yanga na azam ni tofauti yanga ipo juu ila hii gemu angalia fei alivyosumbua kati pale ilipomaliza gemu licha ya ushindi kwa yanga ila wachezaji walikiri kwenye mitandao wakisema fei habari nyengine
Unajuwa boli kaka chama ndo levo ya fei toto
Acha ushabiki saiv fei ana goli 6 Azizi k ana goli 7 tofauti ni goli moja tena ndo kwanza ligi inaanza af unaongea upuuzi
Azizi kii ni Bora kuliko FEI toto ata chama aiko mahali
Huyu kijana wamuache nitimu hakupata lakini angekua simba huyu kunawatu wangeitana
😂😂😅😂😅😂😅😅😂😅😂HALAFU WAGONJWA WA AKILI WENGI WAPO MITAANI SASA SHIDA NINI KUPOSTI CLIPS JAMAA WANAUMIA HAWA NA BADO ANAKUJA SIMBA KAZI MUNAYO MTAKUFA NA CHUKI ZENU😂😂😂😂😅😂😅😅😂😅😂😂😅
Luka fei toto katia mfukoni midfield zote za yanga sc kumamake zoteee mpk sa 8 zausiku aucho kalala kwa panadol kudadadeki
HIGHLIGHTS YA YANGA NA AZAM MBN HAMJAEKA
zanzibar finest mmoja 2,,,wengine hamna kitu
Ametisha
Mtu na nusu
Yani Faisal ndio kwisha kazi yake, wewe huwezi cheza na Yanga
Tumempa 3-2
da,siopoa,mtateseka,sana,kwa,fei,alipangalo,mungu,binadam,awezi,kupangua,kwatanzania,ii,kwakizazi,iki,akuna,namba,kumi,km,fei,kama,yupo,niambie,dog,kaza,usisikilize,kelele,zao,pigakazi
Anaupiga mwing so poa
acheni izo kauwasha
tatizo wabongo wengi hatupendi vya kwetu kazi kuvimbisha watu wa mataifa mageni vichwa fei ana jua sana mpira huyo aucho hata kaa aweze kukaba mpira kwa fei au chama maana anatumia nguvu nyingi kuliko akili ndiyo maana hata bato yake na mzamilu ali feli kuanzia kwenye dabi mpaka team ya taifa
Halafu waseme team ya taifa mbovu
Dogo hodari sn