URITHI WETU-EPISODE 3-AMBONI
Вставка
- Опубліковано 24 січ 2025
- Kipindi cha Urithi Wetu kuhusiana na mapango ya asili ya Amboni ambayo yamekuwa kivutio cha watalii wengi ndani na nje ya nchi lakini wananchi wanaoishi karibu na mapango hayo wakilalamika kutokunufaika na chochote.
Safi
Kweli kabisa
Nashangaa tunafanya urithi wetu festivals lakin tunashndwa kuhifadhi urithi wetu ipasavyo kwa maendeleo endelevu ya jamii znazozunguka sehemu za urithi na Taifa kwa ujumla.