KUMBUKUMBU YA MAALIM SEIF: NJE YA SIASA NI MTU WA AINA GANI
Вставка
- Опубліковано 7 жов 2024
- Hiki ni moja ya vipengele vya mahojiano maalum kati ya Maalim Seif na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Mwananchi, Bakari Machumu wakati Maalim alipokuwa akijiandaa kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mahojiano haya yalifanyika Agosti, 2020
Mungu akurehemu. Umekufa kwa faida ndio maana unaliliwa na utakumbukwa na ndoto zako za umoja wa Wazanzibar zimetimia tu ukatutoka. Watz tutakuenzi. Bararabara mrefu ya lami haikosi kona ( ubinadamu) . Poleni Watz wote. Tushikamane kumuenzi.
Ahsante kaka from another mother
Inalillah wainailaihim rajuhun Allah amsameh mazambi yake na sisi atujaaliye mwisho mwema Insha Allah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
*Tumeumia ila tunashuru Allah pia tunasherehekea zawadi ya maisha yko kamwe hatuwezi kukusahau mwili ndio umeondoka ila moyo wako umeganda kwenye mioyo yetu Allah akueke pema penye wema Ameen*
Allahumma Amin yaa Rabb 🙏🏾
Umeondoka krk mgongo wa dunia lkn bado tunakukumbuka kutokana na mapenzinyako kwetu Allah akulipe zaidi siku ya hesabu
Umetangulia tupo nyuma yako Allah atupe mwisho mwema
Allah mpekila lakheri huko aliko na umuweke pahali salama peponi amini amini amin
اللهم اغفرله ورحمه وسکنه في الجنة
رحمه الله
Allah akutilie nuru ktk kabri lako inshallah
Amin Amin
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun... ALLAH ampe qauli thabit "Allahumma Ameen"...
Amina
Mashallah
Ma Shaa Allah
Nampenda huyu mtu sanaaaa tu Allah amtilie nuru ktk kaburi lake amuondolee adhabu za kaburi kweli znz tumeondokewa
Allahumma ameen yaarab
Allah bless the man
Mwenye Enzi Mungu amrehemu amlaze pema peponi amjaalie katika as'habul yamiin yaarab ampe kauli thabit yaarab ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia
Aaaamin
Dahhh kifo hiki😢😢😢
Tutakukumbuka daima
Oxford, America, makerere. Duh.
اللهم أغفر له وارحمه وعافه واعف عنه واكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس وابدله دار خيرا من داره واهلا خيرا من اهله وادخله اللجنة واعذه من عذاب القبر و من عذاب النار
Ameni
Naaam maneno yake sahihhhh
Da
Tunakupnda baba
hakuna kiongozi kama wewe
Innalillah Wainnailayh Raajiuuun