Habari za muda huu mwanafamilia wa Alexander TV Online 🤟 tunaomba sapoti ya ngoma kwa hawa majamaa wawili, collaboration yao inaweza tisha sana ... Wasiliana nasi kupitia namba hii kwenye WhatsApp +255762429147 ili kusapoti collaboration ya Andrew Friendboy na Kamanda Jero Mjeshi. For professional updates 🤟
Lakini Alexander hivi Kuna watu wasio penda ihi channel kweli Kikweli kila nikitokag zangu job Hadi nipitie Alexander tv kupata uhondo 😂😂 Big up xana ndugu ZETU muliopo tz me namba one nawapenda
Habari za muda huu mwanafamilia wa Alexander TV Online 🤟 tunaomba sapoti ya ngoma kwa hawa majamaa wawili, collaboration yao inaweza tisha sana ... Wasiliana nasi kupitia namba hii kwenye WhatsApp +255762429147 ili kusapoti collaboration ya Andrew Friendboy na Kamanda Jero Mjeshi.
For professional updates 🤟
Aaaaa nitatuma 40$ wapige kolabo
@@LusunguAnobeyamungu Shukrani sana, Wasiliana nasi kupitia namba hiyo WhatsApp 🙏🙏🙏🙏
Endelea kufuatilia Alexander TV Online 🤟
Hakika ningekuwa na uwezo ningewezesha ❤️❤️❤️
Ningekuwa na uwezo ningewasapoti man naona wako vizuri san jamani kwawale wanauwezo wa wasapoti please🙏🙏🙏🙏🙏🙏✌️🙌🙌
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😂😅😂😅❤❤❤❤safi
Andrew ni mkali❤❤❤
Mbavu zangu mie jmn😂😂😂😂😂
Mnaibua makubwa kweli
Andrew boy anachekesha acha zarau usi mchafue
Andrew anahimba kwaya 😅😅
Mwaga sombe unachekesha😮😮😮😮😮😮mwaga sombe wewe ni wakwanza kucheka na ba client ❤❤❤❤❤
Akili za Andre ana zijuwa mwenyewe 😂😂😂
Heti ùle msukuma
👍👍👍👍👇👆👇👆👈❤️❤️❤️❤️❤️❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😮😮😅😅😊😊😂😂😂😂🎉🎉🎉 nawapenda sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nawapenda sana kabisa 🤣🤣ihi tv inanipaka maraha kweli
ingekua poa kila mwisho ya week kupata interviews za ANDREW😂🙌
Daaah hii nimoja kali kweli kweli
Adre akili zake mungu ndo hanazijuwa kwel
Lakini Alexander hivi Kuna watu wasio penda ihi channel kweli
Kikweli kila nikitokag zangu job Hadi nipitie Alexander tv kupata uhondo 😂😂
Big up xana ndugu ZETU muliopo tz me namba one nawapenda
Ila sisi kutabiri akili ya adre nishida hinaomba sana kwel yani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
imerjenshi🤣🤣🤣 yani uyu ANDRE jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Alexander uyo dogo asijali soon Ivi tu atakuwa sawa iyo kweli brother ila ? Sasa 😂😂
Mara phap nimeingiya
UA-cam nilikuwa na stress
Kibao Nimejikuta nafuraha kafla tu 🥰🥰🥰😀Hawa Watu Wawekewe ulinzi😂🥰
Nakukubali sana mwanagu jero soon 🔜 tu nitakuwa mzemini wako brother ila sasa 💥💥
Maliziya
Andrew kageuka Host 🎉🎉🎉
Maisha wimbo mzuri uwo friend boy
Natamaniiii kukutana na uyu andrewwww😂😂😂
❤❤❤❤❤ nawapenda sana
Mme nipa rahaa sana 😂😂😂😂😂
Aki naona friend boy kapanick
Nifanyej jamani Kwa Raha hizi tu hizi nyimbo bro watafute tena😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Gero
😂😂😂😂nimecheka sana
Nasubiri collaboration ya hawa majamaaa muwashauri wapige collaboration Nita hilipia video na audio please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😂😂😂😂😂😂😂😂😂 thanks again
lipiya nifanye kazi nao mimi MAXI CHECHE
Umeuwaaa sn 😂😂😂😂😅😅
adree natakatufanye kazi
Kukerebesha ni atari
Andrew friend boy 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 salute kwako mazina yako POMBAA WA YESU
Jamani ANDRE na MWAGA SOMBE nyie mbon munapend kuvutana kisa iyo suti yan ANDRE anataka uchejer iyo sutieeeeeew🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nime cheka sana leo jamn adi machozi😂😂😂😂
Good sana 💥💥
Dah! 😂😂😂
Iyo collaboration lazima iwepo😂😂😂😂😂😂😂
Tunataka Msanii birilaizi men wanamkeka úlebihele❤❤❤❤❤
😂😂😂 kwel siku nyingi atumuoni
Apa Sas Ndo
Mmepatia Achana
Nawale Wengine uyu
Ndo Mtu Wetu 😂😂
Friend Bøy 😂
😂😂😂😂😂
Kikubwa Duwa bro 😂🤞
POPOTE TUNAISHI 🙏
Andrew so funny 😂😂😂
Bora waifunge kambi. Raha hadi inakera
Mtu wng Andrew😂
Nilikuwa sija hipata hiyi interview 😂😂😂😂jmn mbavu zangu😂😂
Irina uruma😂😂😂anarorote
Camp nihatari kwel
Huyu Andrew anakunywa pombo au😂😂😂😂😂
Adrew friend bøy @ernest smith fox nakukubali bro
Aiweleweki
Andrew jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ajuwi kuimba andrew😂😂😂
Akuna kitu ap 😂😂😂😂😂
Nimecheka mpaka basi😂
Seen by Kaka richa tz mwamba
Aiseee mostar nimemukubali uyooo jamahaa buku adrw frd boy ana Lolote
Jaribu ku wakutanisha, jelo, davoro , andrew 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Inapendeza
Emoda kawa Kawa mgonde tena🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂atariiiiiiii sana aina vijana wako sawa😂😂😂
Kaka mkubwa andr😂😂😂😂😂
napenda kusema ya Andrew😂😂😂anamwita mwezie msukuma😂😂😂😂😂😂
Daaah niatari 😂😂😂😂😂😂
Unyama 💪
Eti msukumaaaaa yaani daah camp kuna vijana waovyo sana wamenifanya ni cheke sana leo aiseee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Najipata na cheka nguvu kweli 😂😂😂😂😂😂😂 Andrew utaniuwa na cheko apo kwa English ndo umenimaliza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
😂😂😂😂😂
helema nakyobe🤣🤣🤣🤣
😀 😀 😀 😀
😂😂😂😂
Ivi friend boy Collab yake na kayumba iliendaje??
Haaa camp hinahendeleya kweli wasani wa kizazi hikiii mmmhh mjeshi sasa wa camp kapatikana
Ndio👍👍👍👏👏
Ujiji yose nikye hadi katubuka🤣🤣🤣😀😀😀 úlé msukuma! Úlé msukuma! Súyo cunga n'gombe, suti za kuazima, uyu asikudanganye mwandishi wa gabari kyeeee!!!
Sidi yangu au 😂
ANDREW hapewe Ulinzi
You know how to make me happy 😂😂😂😂😂
Kyiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊
Wasoma macomment kama mimi tujuwane apa
Nihatari
😂😂😭
Mtusamey jamn
😂😂
Shingo tu ni msukuma
😂😂😂😂😂😂😂
Mmh 😂😮
Andrew kipaji chake ni kuwaoji watu nasio usani Andrew katafute kazi bar uwe unawashauri watu wasio jielewa
🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂nimecheka kweli
Alexander follow kasema eti tv yako niyakuoji mambo ya wanawake tu atakufungisha sababu ya mke wake 😂😂nyarugusu kuna mambo 😂😂
Ni stress zakipezi Alexandre TV ni TV Kali msi mziaki Follow Buggati alabda aja ongea
🤣 Ni stress zinazo msumbua, anahidhiaki Alexander tv kwani ilifanyej? Wapo kazini kwao.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Iyi tv niya andree tu 😂😂
Gero
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
🤣🥱
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂