MISSION IMPOSSIBLE [30] SEASON 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 2,1 тис.

  • @Kidumerashid-b9j
    @Kidumerashid-b9j 20 днів тому +308

    Kwa kweli chado hapa umefanya kitu chenye uhalisi na ukweli kabisa Sasa kama inamkubali chado na ngwengwe mwaga like zake za chado

    • @SanuraFadhili-k3n
      @SanuraFadhili-k3n 20 днів тому +4

      😂😂😂

    • @HyrathHyrath
      @HyrathHyrath 19 днів тому +2

      ❤❤❤❤

    • @FurahaHaule
      @FurahaHaule 18 днів тому

      😢😢😢😢mungu hakuumbia binadamu mapez ndo Mana yanatutesaa kwer kabisa chadooo😢😢😢😢

    • @magembeNangale
      @magembeNangale 15 днів тому

      Chado vzr sana

  • @PrettygirlPretty-ck9dj
    @PrettygirlPretty-ck9dj 20 днів тому +116

    Nilipenda couple ya chado na kidem jau,sasa sitak tena hyo couple 😂😂😂,Najima kaiharibu,
    Sasa nimehamia kwenye couple ya daddy na Jojo naipenda sana❤❤❤❤

  • @zarinasospeter-ms9ic
    @zarinasospeter-ms9ic 18 днів тому +23

    Jaman atakama nimechelewa ila siwezi kosa kuitazama mission impossible,,ila niwakumbush tuh tena maneno ya Mr.Manyonga,,pesa na huruma ni vitu viwili tofauti yani huruma ukizidi unapoteza pesa👉🤔hongera👏Mr.Manyonga

  • @khadijarashid-ze3yi
    @khadijarashid-ze3yi 19 днів тому +21

    Ngwengwe ndo rafiki wa kweli ila cheusi unajua kuniua wallah
    😊

    • @AishaAlly-sg5ph
      @AishaAlly-sg5ph 8 днів тому

      Atimae cheusi Leo umbea wake umefanya kazi😅😅

  • @mathiasirespice7066
    @mathiasirespice7066 19 днів тому +18

    Kwa ambae hali anayopitia chado haielewii hawezi kujua anachopitia moyonii mwake ila halii kama hiyoo ikikukuta ndio utajua ukatilii wa maumivuu ya mapenzii inaumaa kinoma sana pole sana chado

  • @batuli-n8e
    @batuli-n8e 20 днів тому +170

    Zungu anahuruma nan hii part amefeel kama zungu wetu😢😢😢asante mzungu wetu kuokowa ngwengwe 🎉

  • @BIGIRIMANAJackson-kc4cn
    @BIGIRIMANAJackson-kc4cn 20 днів тому +71

    Chado kusema ukweri ww ni masta kwa kuigiza n'a story nzuli mno
    Léo much love zangu ziende kwa kijana ngwengwe mbunifu sana dogo bila kumsahau cheusi media unaweza Sana

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 20 днів тому +147

    Pole sana Chado wangu,,,,nimeumia na mimi pia,,,,ila we kidemu Jau umezingua sana aiseee,,,chado amejitoa kwako sana,,,,Mungu anipe mwanaume kama Chado mie

    • @Hamisahemedi-h2q
      @Hamisahemedi-h2q 20 днів тому +4

      😂😂huyo chado mwenyewe ukute uhalisia hayupo hivyo

    • @SuhayratWhite
      @SuhayratWhite 20 днів тому +2

      Yakuigiza hayo dada

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 20 днів тому +2

      @SuhayratWhite kwani mm nilikwambia sijui kama ni yakuigiza??

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 20 днів тому +1

      @@Hamisahemedi-h2q 😂😂😂😂😂😂,,,,mpenzi wake ndio anajua

    • @zawadiRobinson
      @zawadiRobinson 20 днів тому

      Mwanaume Kama chado Sasa hv akuna jaman 😢😢maana moyo mpaka unauma et

  • @tzrau055
    @tzrau055 20 днів тому +15

    Daaaaaaah jmn ngwengwe🔥🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @jamesjoseph6211
    @jamesjoseph6211 18 днів тому +9

    Cheusi media mi nakukubali sana big up brother

  • @HarryHerman-i9e
    @HarryHerman-i9e 20 днів тому +42

    Chado Kaka umeongea Kwaisia sana mpaka machozi😢😢 yamenitoka ilaumetoa elimu kubwa sana Kwa hadhira kuliko unavyo zania kweli kabisa hatukumbiwa mapenz ila nishobo zetu

  • @clalencemtewa7425
    @clalencemtewa7425 20 днів тому +52

    Da kweli kabisa mzee wa misumari leo umeongea sawa kabisa uko sahihi sana

  • @WinnieSwai-p4w
    @WinnieSwai-p4w 20 днів тому +184

    Nyie uyu siyo baba ndo atupigie ngwengwe wetu hivyo😢
    Timu Ngwengwe nipen like bas🤭🥰
    Can't wait 😌😋

    • @goromamussatvonline
      @goromamussatvonline 20 днів тому +1

      Milioni 20 we kuweza

    • @AnsaB-j2m
      @AnsaB-j2m 20 днів тому

      Huyu baba hafai kabisaaa 😢 sio kwa kwa hiyo kijapo😮

    • @kinghimself670
      @kinghimself670 20 днів тому

      Jamani naomba unijibu huo wimbo wanao wekea chevye hii movi unaitwaje na ameimba nani

    • @ARONPaul-bz3ws
      @ARONPaul-bz3ws 20 днів тому

      Ngwengwe amekandwa 😅😅na baba

    • @kinghimself670
      @kinghimself670 19 днів тому

      @@ARONPaul-bz3ws sawa nataka kujuwa ile nyimbo kama umekiona kipande cha mwisho chado analia nyibo hiyo ilwekwa kaimba nani nataka kujuwa

  • @paddonvs4682
    @paddonvs4682 19 днів тому +9

    Chado familiar salute sana

  • @salomejames9639
    @salomejames9639 18 днів тому +25

    😂😂tuliokuwa tumemmis mr manyonga maprosoo gonga likes hap

  • @xaviodominic-tm1bn
    @xaviodominic-tm1bn 20 днів тому +102

    Mzee wa misumari kamwambia ukweli mdogo wake

  • @jacksonchaless8536
    @jacksonchaless8536 20 днів тому +335

    Munaosoma message hii Mungu awasaidie mwaka uwe mwema kwenu🎉🎉

  • @SaumuNyale-s6h
    @SaumuNyale-s6h 20 днів тому +524

    Nimegonja kutok asubuhi daah nilikua naimiss mpk basi nipeni like ata kumi za kuanzia mwaka watu wangu 🎉🎉❤❤

    • @Aisha-k5n
      @Aisha-k5n 20 днів тому +11

      Ulimiss movie au ulimiss like zetu😅

    • @SaumuNyale-s6h
      @SaumuNyale-s6h 20 днів тому +6

      @Aisha-k5n nilimiss like zenu kabisaa n movie chawa wangu 😅😅

    • @AbushiriUssi-z9x
      @AbushiriUssi-z9x 20 днів тому +4

      Yan ww km Mimi Yan kila nikiingia siikut had naamua kuisach lakn wap had mda huu mmetuchelewesha sana

    • @BakaryMsumary
      @BakaryMsumary 20 днів тому +3

      Kwan mnakula hizo like

    • @SaumuNyale-s6h
      @SaumuNyale-s6h 20 днів тому +3

      @@BakaryMsumary n vile ushanipea y mwaka naskia raha 😅😅

  • @kallandoking6561
    @kallandoking6561 19 днів тому +11

    Dad naona umepata kamshangazi kadogodogo!!!😂😂😂😂😂😂

  • @OnesmusCharo-dd2si
    @OnesmusCharo-dd2si 19 днів тому +21

    Ngwengwe kipaji kipo dogo hongera cheusi hkifiki hta nukti 1 nkupenda sna dogo chado dogo anakufukuzia poa sna ❤❤❤❤❤

    • @DeogratiusMiyaga
      @DeogratiusMiyaga 18 днів тому

      Ngwengwe shabiki wa watanzania wote❤❤❤❤❤❤❤

  • @EmmanuelJoni
    @EmmanuelJoni 20 днів тому +64

    Kazi nzuri mwanangu kitengo ila leo mmetucheleweshea kaka👍

  • @richardelieza1001
    @richardelieza1001 20 днів тому +30

    Dah series kali sana nawakubali sana tm chado master🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MvuyekureLina
    @MvuyekureLina 20 днів тому +78

    Nimewayi sana nawakubali sana Kaka chado from Burundi 🇧🇮❤

    • @MichaelGabriel-n7k
      @MichaelGabriel-n7k 10 днів тому

      Vp kak wap hai burund

    • @MvuyekureLina
      @MvuyekureLina 9 днів тому

      @MichaelGabriel-n7k mimi siyo Kaka ni dada 😂🤣😂🤣😂😂🤣🤣

  • @G.G.T-211
    @G.G.T-211 19 днів тому +10

    Manyonga anakwanga serious kwa hizi kazi good work Mr Maporoso❤

  • @MwanahijaAlly-f8o
    @MwanahijaAlly-f8o 7 днів тому +2

    hii muv inafunzo sana,mungu awabariki wote mlioshiriki kwenye muv hii kuielimisha jamii

  • @AbdallahIsmail-vh1tb
    @AbdallahIsmail-vh1tb 20 днів тому +39

    People always I'm the first one from tz 🇹🇿🇹🇿 heri ya mwaka mpya

  • @allysaleh2220
    @allysaleh2220 20 днів тому +42

    Ngwengwe Master Mwanangu wa maisha 🫡🫡🫡🔥🔥🔥💯💯

  • @Dullymsafii
    @Dullymsafii 20 днів тому +84

    Nomaa sanaa namuona mbali sana dogo ng'weng'we 🎉 anakipajii kikubwaa sanaa😊😊😊😊

    • @Yollah-ym7zg
      @Yollah-ym7zg 17 днів тому

      Umekionaje kipaji kikubwa xana

    • @Dullymsafii
      @Dullymsafii 17 днів тому

      @Yollah-ym7zg kwenye kishunduu chako ndio nimekiona

    • @Yollah-ym7zg
      @Yollah-ym7zg 17 днів тому

      @@Dullymsafii ndo umeaona n sahih kujibu ivo mwanangu

    • @Dullymsafii
      @Dullymsafii 17 днів тому +1

      @Yollah-ym7zg unaulizaje maswali ya kiwakiii ss kama hayo

    • @Yollah-ym7zg
      @Yollah-ym7zg 17 днів тому

      @@Dullymsafii unapigwa shingo wewe ko ukitoa hoja tusiulize swali we kiaz nn mzee😠

  • @PhilimonJoseph-t3v
    @PhilimonJoseph-t3v 11 днів тому +2

    Chado mungu akubaliki kazi zako ufike mbali endelea kunifundisha jamii kuusu maisha ya kidunia na kidogo pia kama ile move uloigiza ya swaumu ngumu ilifundisha sana me so mwisilamu lakini nilipenda na nilijifunza vituuu

  • @mullanochamp3860
    @mullanochamp3860 19 днів тому +4

    Chado umewezaa mzee movie imejaa hisia kali sana hasa hii s2🙌🏼

  • @MwatumuAthumani
    @MwatumuAthumani 20 днів тому +29

    Huyu cheusi achijwe hii junuary kablayiishe,maana sikwaumbea huu😂😂😂😂❤❤❤🎉

    • @Mamyyyyussy-r6r
      @Mamyyyyussy-r6r 20 днів тому +1

      Tumle thupu😅

    • @MwatumuAthumani
      @MwatumuAthumani 19 днів тому +1

      @@Mamyyyyussy-r6r tumle thupu kabla mwezikwisha kazhoea huyu🤣🤣

  • @RamadhanSaidi-f8p
    @RamadhanSaidi-f8p 20 днів тому +57

    Daah kaka chado noma bola hii move upewe tuzo mwanadam hajaumbiwa mapenzi

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 20 днів тому +24

    Zungu yuko na huruma, Asante chado master 🎉🎉🎉🎉

  • @KoletaMfaume
    @KoletaMfaume 17 днів тому +6

    Namuonea huruma ngwengwe mm jamn 😢

  • @barengayabozena1446
    @barengayabozena1446 19 днів тому +11

    Kaka chado pole sana ila ongera sana kwa kazi nzur🎉🎉🎉🎉

  • @rabanPatric
    @rabanPatric 20 днів тому +40

    Mzee wa mi sumali kamwambia ukweli ❤kidem jau

  • @mouna6920
    @mouna6920 20 днів тому +48

    Mungu ni mwema alituwezesha tukauona mwaka tukiwa wazima 😊😊❤❤team kitengo weka like tukisonga 🎉❤

  • @MariamHamisi-ti9vb
    @MariamHamisi-ti9vb 20 днів тому +58

    Leo nimewahi 🎉🎉🎉🎉🎉 nawapenda nyote kwa ajili ya Allah

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 15 днів тому +2

    Dah hii nyimbo kali sana naisubiri kwa hamu kweli❤🎉😊

  • @FestoMajaliwa-f6x
    @FestoMajaliwa-f6x 19 днів тому +9

    Yaan kama ingekuwa inawezekana ku subscribe zaidi ya mala mbili hakika chado master ningeku subscribe mala million 100 nazikubali Sana kazi zako chado master 10000%

  • @TaraTara23-k5f
    @TaraTara23-k5f 20 днів тому +23

    Snaaa chado Mungu akuekee na akupe uzma uendelee na kipji chko inshallah

  • @MariamAbduly-g6v
    @MariamAbduly-g6v 20 днів тому +36

    Duh nilifikil nimewah kumbe wana mko moto hivyo maua yenu🎉🎉🎉🎉

  • @JacquelineAnderson-of7pg
    @JacquelineAnderson-of7pg 20 днів тому +15

    Kidem jau kaliwa na mwarabu wa msewe😂😂😂😂 ila cheusi 🙌🙌🙌

  • @SilvanoMlugu-s8k
    @SilvanoMlugu-s8k 19 днів тому +6

    Cheus nmpende nan zaidi ya Mungu nmecheka sana😊😊😊

  • @IlungaAmisi
    @IlungaAmisi 20 днів тому +20

    Kwa kweli masta mwanadamu ajawai kuumbiwa mapenzi 👍💯🤝🫶 nakupenda sana mwanangu chado

  • @Fatmamakame-q5w
    @Fatmamakame-q5w 20 днів тому +20

    Wanamuita chado chado chado master 😂 namkubali sana kaka daddy I wish ningekua na kaka kama huyu 😊😊🎉❤

  • @Dr.msigwa1
    @Dr.msigwa1 20 днів тому +44

    Aaah leo nimewah sanaaaa, nimekua wakwanza😂

  • @SeveniMakanga-vb8qw
    @SeveniMakanga-vb8qw 20 днів тому +35

    Wagapi wapo Kampala tufike 1M sub kwa chado masta

  • @OlivierTuyishime-mk4kd
    @OlivierTuyishime-mk4kd 20 днів тому +2

    Kwel huyu Mzee Mr ndanyonga maproso anaongeya point Pesa Na huruma nitofawuti.ila muhuni chado Kama Mimi anazidi Yani wewe muhuni napenda wakuwekeye like nyingi🎉

  • @sistyminja1682
    @sistyminja1682 11 днів тому +1

    Yani cheusi unajua kunichekesh mpak raha yan❤❤❤

  • @JulietKitsao-j9z
    @JulietKitsao-j9z 20 днів тому +18

    Huku nkunoma I say 😂😂😂 ngwengwe n mtu na nusu .

  • @gseh9277
    @gseh9277 20 днів тому +36

    Kitu hcho kwenye kona shwaaa❤❤❤❤ jamn mmechelewa ila Alhamdullilah imetoka yani hyo ndo I like hata mchelewe vip ila mtarusha hewani ❤❤❤

  • @PrinceImmar
    @PrinceImmar 20 днів тому +43

    Leo ndio wakwanza naomben like zangu

  • @HusseinSuleiman-m3c
    @HusseinSuleiman-m3c 16 днів тому +4

    Skutegemea zungu km atakua anahuruma sana km hivi

  • @swahabahusein23
    @swahabahusein23 19 днів тому +8

    Kenya tuna wapenda ila shida wa tx wachoyo wa like

  • @halimarizikibakari6810
    @halimarizikibakari6810 20 днів тому +22

    Jamani jojo anaupendo kwa wifi yake❤🇰🇪

  • @AdamJastine
    @AdamJastine 20 днів тому +26

    Aaaah ......mungu wabaliki wapenzi wakazi hii....chado nakubali sana

  • @RehemaBinti
    @RehemaBinti 20 днів тому +16

    Chado baba🙌🙌🙌🙌 unaupiga mwingi kaka kwakweli we fundi

  • @Sarah-h1j6p
    @Sarah-h1j6p 16 днів тому +3

    Wew baba unaujua uchungu wa mana ngwengwe au uchungu wa mtoto jmn

  • @AboulkhairShaib
    @AboulkhairShaib 20 днів тому +11

    Oya.. oya.. oyaaa... mwanangu . Chado anajua...nkubali sana kaz zako zote.. huna mbaya

  • @IlungaAmisi
    @IlungaAmisi 20 днів тому +30

    Chado nakupenda sana mwanangu walayi❤❤❤

  • @jumahusseinkibiriti2588
    @jumahusseinkibiriti2588 20 днів тому +37

    Hii thamthilia ndio thamthilia number moja Africa mashariki.... I think this is true story.... Mombasa Kenya tuko nayo kila episode... Congrats guys

  • @RashidOmary-c4g
    @RashidOmary-c4g 20 днів тому +26

    Heli yamwaka mpya mungu atujalie huuu mwaka kila mwenye hitaji lake litimie amina

  • @cedricklumiti
    @cedricklumiti 15 днів тому +1

    Cheusi media na mzee wa misumali Chardo masta nawakubali leo hivi afu nimehamia kwenye lile penzi jipya la Video Queen...nipeni likes zangu jamani❤❤❤❤

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s 19 днів тому +3

    Kazi nzuri sa'a.nqwenqwe🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ZeyanaKhalid-t5i
    @ZeyanaKhalid-t5i 20 днів тому +56

    Nakutakieni watazamaji wote wa mission impossible heri ya mwaka mpya jamani kila siku mie nakoment lkn hamnipi like naomba na mm basi mwenzenu

  • @susanisabuni1696
    @susanisabuni1696 20 днів тому +20

    Kabla ya yote tumshukuru mungu kwa yote 🎉❤

  • @LéonardKyongozi
    @LéonardKyongozi 20 днів тому +15

    Wa Congo mupo ? Kama mupo tujuwane from 🇨🇩 Congo Lubumbashi balinga balinga te bana mboka baza awa bakozi 🎉🎉

  • @KhadijaKhamis-w9h
    @KhadijaKhamis-w9h 11 днів тому +1

    Naomba like na mm🙈🙈🤣🤣🤣

  • @JaphethChrispin
    @JaphethChrispin 13 днів тому +2

    Umetisha baba chado naomben like zen jaman

  • @FioxAlluminium
    @FioxAlluminium 20 днів тому +41

    MZEE WA MISUMARI KANG'0A OYAAAA MISUMARI TIMEEEEEEEEE❤❤😢😮😅

  • @NaahMzamilo
    @NaahMzamilo 20 днів тому +16

    Watu mnawhi jaman nd kwanz dakika 10 lkn mlivojaa uwii sema nn one love familia❤❤❤

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 20 днів тому +86

    HERI YA MWAKA MPYA 🎉🎉 WAPENDWA WOTE AMBAO TUNATOA SUPPORT KWA KILA KAZI INAYO TOKA..
    MWAKA 2025 UWE MWAKA WA NEEMA KWETU ✅✅

  • @Naema-x7p
    @Naema-x7p 19 днів тому +5

    Cheusiiii chukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤dogo ngwengwe chukua mauwa yako 🎉🎉🎉🎉❤❤❤manyonga chukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤mama nywengwe chukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤ jojo chukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤dady chukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤ kidemu jau chukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤swaumu chukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤zungu chukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤kijichochukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤bonge chukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤mjomba chukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤mbuzi chukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤zeini chukua mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤mwenyekiti mtarajiwa chukua mauwa yako nawapenda nyote ❤❤❤nawatakia kheri ya mwaka mpya nyote wenzangu tuliovuka salama tumwambie mungu asantee na atubariki huu mwaka uwe mwaka wetu wenye mafanikio na pumzi na uzima inshalla ❤❤❤❤twendeni nalo move tamu kasri la mista manyonga leo limeingia shida ivi zungu atatoboa kweli 😂😂😂😂😂ngwengwe pole sikwaninginizo ule nilijua utatapika mihogo 😂😂😂😂pole kotengo 😢😢😢😢🥰🥰🥰🥰🥰

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 15 днів тому +3

    Waaah daddy kaongea point

  • @AllyAhmed44
    @AllyAhmed44 20 днів тому +11

    Ngwengwe leo kayavagaa🔥🔥🔨🔨😂😂😂😂

  • @AngerMavina
    @AngerMavina 20 днів тому +40

    Wanao amini kua chado atamsamehe najma na watardi kua wapenzi km mwanzo tukutane hapa❤

    • @NicelyTinuga
      @NicelyTinuga 20 днів тому

      Mmh me siamini kabisa

    • @AngerMavina
      @AngerMavina 20 днів тому +1

      @@NicelyTinugamda Bado utaamini tu penzi la kwely halivunjiki kwa kusalitiana labda upendo wa chado uishe kabsa kwa najma

    • @Ubahalpha
      @Ubahalpha 20 днів тому

      Mission impossible yashashinda tyari hayoo...sioni wakirudiana

  • @ميريم-ط1س
    @ميريم-ط1س 20 днів тому +11

    Mm nae nkipata mwanaume kama chado sitamuuza kabisa mm chado anajua kupenda nyie ❤❤😊

    • @noelyfrank8568
      @noelyfrank8568 19 днів тому +2

      Muandikage. Na namba za simuu sasa

    • @LettyLussi
      @LettyLussi 19 днів тому

      ​@@noelyfrank8568kheeee kiboko😂

  • @ApolinaMwitenda
    @ApolinaMwitenda 18 днів тому +2

    Lsaychado nakubalihiii kaliii❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @salhkiyagi
    @salhkiyagi 19 днів тому +3

    Bas sawa kishushe kitobo chako apa chin ilaa mama ngwengwe🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AgnessBageni
    @AgnessBageni 20 днів тому +64

    Mzee Wa misumari kaongea point nyieeee dah 😢😢😢😢

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 20 днів тому +14

    Pole sana CHADO ni kweli mapenzi yanauma jmn..najma nakuchukia kwa kumuumiza CHADO bila hata huluma 😢😢😢😢dah! Yani hata hujui wema alokutendea jmn ni mwana mke gani wewe...

  • @MercyWamalwa-f5w
    @MercyWamalwa-f5w 20 днів тому +17

    😢😢😢bonge yupo wapi jameni mbona nimuoni ss huu umbea hauniingii vizuri cheusi aky pekeee ,,,nataka bongeeeee😂😂😂😂

    • @WinnieSwai-p4w
      @WinnieSwai-p4w 19 днів тому

      @@MercyWamalwa-f5w tumuulize chado bonge yu wap😀😀😀 au tukamtangaze kwenye kipindi cha Yu wap ITV🤔😜

  • @ShaibujummaKedder
    @ShaibujummaKedder 19 днів тому +3

    Media Kubwa -CHEUSI TIII
    Tupo wapi jamaniii😂😂😂 naomba like zangu hapa tujuane WANANGU😂😂😂😂😂😂😂😂 CHEUSI TIII

  • @MwanahAthmani-i4z
    @MwanahAthmani-i4z 19 днів тому +2

    Ambae anamkubali chado kwa jinsi alivyoelezea kuhusu mapenz gonna like apo binafsi naona kaelezea ukwel mtup kuhusu mapenz hii inaiwezea sana kaka big up kwako story ni nzuri mpk hutamn ata iishe jaman

  • @LatifaKenedi
    @LatifaKenedi 20 днів тому +13

    Pole sana chado wangu msamehe ,wewe ngwengwe onimkukubli alo like father like son

  • @Jpmedia_tv
    @Jpmedia_tv 20 днів тому +32

    Dhaaaaaa naomba like hata mbili jmn tuliesubir tang asubuhi gonga hapaaa❤❤😂

  • @SLNS.S
    @SLNS.S 20 днів тому +16

    Kama unatazama Tamthilia hii wakati huu, tumshukuru Mungu kwa kukuvusha salama. Mungu Akujalie Kheri na akuepushe na majanga, Mwaka 2025 uwe Mwaka wa mafanikio. Uwe Mwaka wa miliki na kurudisha kila kilichopotea

  • @RayaSafari
    @RayaSafari 20 днів тому +13

    Duuu gwegwe , najma jamani mbona , daddy I like you much love from Saudi Arabia ❤❤❤

    • @sehelsalum1843
      @sehelsalum1843 17 днів тому

      Uko wapi dear tukutane tubadilishane mawazo😍

  • @maxmiletz4563
    @maxmiletz4563 18 днів тому +3

    Kali❤🎉

  • @JeremiaMwaipopo-z8o
    @JeremiaMwaipopo-z8o 20 днів тому +56

    Cheusi nae atafutiwe mwanamke ajakumbatia toka mwanzo mpaka leoo😮😮😮😮

  • @MisheckSimfukwe-x2m
    @MisheckSimfukwe-x2m 20 днів тому +28

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nakupa.maua yako kk.chado.mungu azidi kukujaalia usonge mbele bila.kusahau gwegwe.mtoto.anakipaji sana mungu amupe afya njema kilasiku.amuondolee.mabalaa yote amupe akili.maalifa.azidi tufrahisha.from.zambia.lusaka

  • @Abdulazizi-c1h
    @Abdulazizi-c1h 20 днів тому +18

    Nakubali chado master kitengo

  • @LukasMabena
    @LukasMabena 8 днів тому +1

    Wanaoona kama mimi kua mr manyonga kafanana na chidbenzi gonga like apa

  • @JamesReuben-gt8up
    @JamesReuben-gt8up 19 днів тому +3

    Daahh chado kaumia sanaa mpkaa basii kwelii umeekti kiuhalisia sana hii episode

  • @PatrickSanga-wt8tq
    @PatrickSanga-wt8tq 20 днів тому +22

    😂😂😂😂wakwanza alafu napitwa daaah mnasema mapenzi yanauma 😂

  • @NiyonkuruAlan
    @NiyonkuruAlan 20 днів тому +9

    Unanikosha moyo wng chado na ngwengwe nawatakiya kazi njema ❤❤❤❤😂😂😂

  • @Nasreejuma
    @Nasreejuma 20 днів тому +72

    🎉🎉🎉❤❤wa kwanza kutoka kenya nipeni likes zanguu

  • @LucyMathias-w2s
    @LucyMathias-w2s 18 днів тому +1

    Kwakel hap kuna kitu 2najifunza asant sana shado kwa kufikisha ujumbe mung akibaliki🙏🙏

  • @RajabSufian
    @RajabSufian 20 днів тому +5

    Hata mi siwez😢😢❤❤❤Nauliza Mwimbaji anaitwaje 🎉❤wantadidah wantadada😂😂