Wakati usingizi ukiwa umenikolea ghafla ilinijia ndoto ya ajabu sana nilimuona Lennon akiwa na pete ya ndoa kidoleni mwake na alipoona nimeiona ile pete...
❤❤ayaa! ma,princess anaroho yakishetan, nayeye ndie chanzo cha haya yote😭, mda ambao wanawake wanapambania watoto wao kua naaman yy anamkana kisa kapata boss😂 duuh, muuuh mimi leo nimeamua niwe wa mwisho hay like at 2🌹🌹🏃
Nmekua wa 73 leo ❤❤❤❤❤kwako ankoj naskiliza nkiwa Lebanon kwakweli unatupa simulizi hata stress za warabu hatuzioni wale tunakubali simulizi za ankoj like hapa
tamaa ni mbaya sana kwenye hii dunia mbk mama na mtoto wakashea mwanaume mmoja kisa tamaa na mama alivunja ndoa na watoto wake kisa mwanaume mwenye pesa tabia za bibi ilikiwa ni njema sana mungu amlaze maali pema peponi mama alikosa ila ongera princess kwa kumsamee mama yk ❤❤❤
Mama princess Mungu alikucha kiboko kumukana mwanao na mume wako sasa umegeuziwaa kibao kilachuma hiyoo...halafu huyo mubakaji hata kama amen amenibaka mara mbili siwezi mrudia hata abadilike mwema hapana..hii mimba yapili nahisi niyahuyo huyoo mubakaji
Acha huyo mamako avune alichokipanda alimdharau nyanyako yaani mamake na akamulaani, alimwambia "atalizwa na huyo mwanaye" sasa kiko wapi pumbavu kabisa
Anko jay tunakupenda sana Mungu akupe uzima na afya njema ukiumwa nasisi mashabiki zako tunaumwa ❤❤❤❤❤❤❤nimewahi jmni🎉🎉🎉🎉
❤❤ayaa! ma,princess anaroho yakishetan, nayeye ndie chanzo cha haya yote😭, mda ambao wanawake wanapambania watoto wao kua naaman yy anamkana kisa kapata boss😂 duuh, muuuh mimi leo nimeamua niwe wa mwisho hay like at 2🌹🌹🏃
ᵂᵉⁿᵍⁱⁿᵉ ᵗᵘᵏⁱˡⁱˡⁱᵃ ᶜᵒᵘⁿᵗ ᶻᵉᵗᵘ ᶻⁱʷᵉ ᵐᵃ ᵖᵉˢᵃ ᵐᵒʳᵉ ᵗʰᵃⁿ ᵐⁱᵃᵏᵃ ʸᵉᵗᵘ ʷᵉⁿᵍⁱⁿᵉ ʷᵃⁿᵃˡⁱˡⁱᵃ mapenzi😂😂😂😂
Kumbe umewaii😊
@@Kellyperry947 yaan vle menaomba mungu🙏 asinipunguze ata %1 yaupendo wangu kwa wanangu khel nikoswe ata mia mbovu ila niwe nawangu
Huyu Prince ni mnyama wa porini siyo wakufugwa,kwani ni muuaji,katili sana,nakwambia ningekuwa karibu ningemponda jiwe la kichwa,shenzi sana 😮😮
@@TeklaNdekeja ᴵⁿˢʰᵃˡˡ🤲🙏
😂😂😂❤❤🎉🎉🤸🤸🪑🎧 hongera anko j mubarikiwe n mwandishi wetu babeee❤🎉🎉
Uncle apo kwenye kijerumani sas unajua 😁😊 asante kwa simulizi tamu ya binti princess 🎊
Nmekua wa 73 leo ❤❤❤❤❤kwako ankoj naskiliza nkiwa Lebanon kwakweli unatupa simulizi hata stress za warabu hatuzioni wale tunakubali simulizi za ankoj like hapa
Nimechelewa 🙏😢
Ha😂😂😂 warabu wana strec kweli ila tunaburudika na smlz za ANKO J MAPESA
We acha tu
Sjawahi Comment lkn Leo nimewahi Japo siyo kwanza naomben like zenu kama nnavowapa mimi Jirani zangu 😍😍😍 5
😂😂
Unampenda mtu hadi kumuulia mtoto wake,shenzi sana,apigwe tu anastahili huyo,sijui ni maadili gani amelelewa halafu ni dactari ambaye ni mwuaji .
Binti princess woow 👩💻thanks ankojay 🎉🎉🧡🧡🤗🤗😂😂
Ayaa jamani tuliokuwa tukisubiri bt princess 😂 tujuwane one ♥
Wakwanza 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Maboss, matajir, kama hawa hamtapewa ata dakka1 yakuichungulia mbingu maana mungu anawaona😮
Huwez jua
Anko Kuna Watu wanepanda kuwa wakwanza saaaanaaaaa wanakuwa wanakusubiri Uwe unawapa zawadi😂😂😂
Wuuuh princess 👸 wetu kimemkuta 🎉🎉🎉
NAMI nimewahi kiasi ❤❤❤❤ penda sana ww anko 🎉🎉🎉
JAMANIII IMECHELEWA ILA PRINCE SHETAN KWELI WALE TUNAO UMIA NA MAUMIVU YA LENON
Hongela kaka tuko pamoja kazi nzuli ubalikiwe
😂😂😂😂😂Jamani Anko jay achakutuaribia luga yetu ya kijerumani 😂😂😂😂
Asant kaka sijui nmewah au😅😅😅 anko jei una mambo ww
Jamani anko ubarikiwe sana unajua kutufariji❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Woyooooo asantee anko jay jameni hakuna kulala 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana ankojay kwa may God bless you❤❤❤
Uwii MBAVU ZANGU MIYE ANKO JAY HAPO KWENYE KUONGEA KIJERUMANI UMETUPIGA NA KITU KIZITO NIMECHEKA HADI MACHOZI 😂😂😂😂😂😂😂😂
Afadhali wewe an me nimecheka hadi nahisi kufa huyu anako key hafai jaman
@@Eldaheliya-zl5to 🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@nancynancy4362 🤣🤣🤣🤣🤣
Ayiiiiiii nimekuwa mwana viporo kkkkkkk nauzunika
Anko jei 😂😂😂 hicho sio kijaruman
Waooo♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🙏Mungu atukuzwe kutukutanisha tena
❤🙏🧎
Amina🙏🙏🙏
Amen 🤲🤲
Kazi nzuri kaka ❤❤❤
Naombeni like wanafamilia wa anko jay❤🎉
😂😂😂 anko jaman,haya tuendelee
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sinambavuu hapo jamani hixo sauti mbili
😂😂😂😂😂😂😂😂 kijerumani tumbo langu uwiiiii!!!
tamaa ni mbaya sana kwenye hii dunia mbk mama na mtoto wakashea mwanaume mmoja kisa tamaa na mama alivunja ndoa na watoto wake kisa mwanaume mwenye pesa tabia za bibi ilikiwa ni njema sana mungu amlaze maali pema peponi mama alikosa ila ongera princess kwa kumsamee mama yk ❤❤❤
😂😂 ancle Dar haya🥰🥰🦋🦋 asante sana kwa mwendelezo Na Ubarikiwe
Tnxs anko jay kwa part2
Jamani me kila siku nawah lakini sipati like sijui kwanin😢😢😊
Pole kipenzi 😅
ᴺᵈⁱᵒ ʰⁱᶻᵒ ᵇᵃˢⁱ ᵈᵒⁿ'ᵗ ᶜʳʸ ᵐᵗᵒᵗᵒ ᵐᶻᵘʳⁱ😂😂😂
@@Fatmamakame-q5w c tunakupea kipenzi like
❤😂@@nadrasalum6039
😂😂😂😂
😂😂😂😂Anko jay mbavu zangu 😂😂😂Kijerumani kama Kijerumani 😂😂😂😂😂
Ankojay mungu akuzidishie kipaji chako na akuepeshe na shari za waja ❤️❤️❤️❤️
Daah inauma sana nimelia kweli mzazi gani hana atauruma kweli unashindwa kumsikiliza mwanao unamwita kahaba daah😭😭🇴🇲🇴🇲 princess pole sana
Wazazi siku hizi sijui tuna nini
Kumbe mzigo uko hewani jamani Leo wa mwisho kabisa waarabu wapenda kutembea sana kesho inshallah nitasikiliza mungu atujalie usiku mwema wadau
Wanao peda simulizi ya biti princess tujuwane kwa like moja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢🎉
5 😂u
Wakwanza naomba Like zangu jamani 😢🙌🙌
😂😂hadi Ankojay na huyo mdoli wako anae kuuliza maswali ya simulizi ya sin,,umetisha mtu wangu🎉🎉
😂😂😂🙌
Shetani ni shetani tu,hawezi kugeuka malaika 😂😂😂😂 isipokuwa akiwa mawindoni😂😂😂😂
❤❤😂😂I just love ur voice anko jay
😂😂😂😂😂😂 0:27 yaani wew unaigiza sauti zote jamani we anko
nilikuwa naisubili sana thank you anko j love you so much
Mhhhh ankojy bwan❤❤❤❤
anko unajuwa unajuwa tena nimependa jisi ulivyo anza salute kwako anko mapesa ❤❤🫡🫡
From 🇰🇪 kenya , God bless you anko jey nabambika sana na simulizi zako aisee❤🎉🎉 hii gulf bila wewe anko jey hatutoboi
Ahsante bwana anko Jay simulizi wewe hurembi❤❤❤❤😊
Alhamdulillah nashuru mungu uwa Familia ya anko jay God must bless wewe anko jay 1:49:18
Merci beaucoup pour la suite anko j 🙏🇨🇩
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ina ankojay icho so germane ina napenda sana simulizi zako 🇩🇪
Ahsante anko aaaakwa kijerumani chako naomba unifundishe
Ooooh wow anko kumbe we ni mjeruman cc hatujui
Jamani adi Raha anko anavyo Anza kusimulia😅❤❤❤
Mmmmmmm anko kipenzi lugha gani hiyo umetisha haya kwenu like kwenu vipenzi wa anko jey
😂😂😂😂😂 Ankojay hapo kwenye kijeruman Kaa Kwa kutulia Maan unatak tuchek Kwa herufi kubwa
mnabagua humu 😥😥😥 🤣🤣
😂😂😂😂anko umetisha apo kwenye kijerumani jmni nmecheka sana anko😅😅😅😅
😅😅 Nimepatia si ndio.?
@@ankojay_ km vile umesomea an anko👏👏👏
Kwan kijeruman ndo wanaongea hivyo wewe anko😅😅😅😅
Nimecheka ka chizi jaman ulivokuwa unaongeya from 🇺🇬
Sijacherewa kivile lakini like zenu tu😂😂😂
Hapo ilikuwa Mimi na anko 😂😂😂
Chukuwaiyo. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hahaha 😅nilivyoanza nikajua nimekosea njia ila anko unavituko😅
😂😂
😂😂😂😂 ankoj weweeeee tangu lini hicho kijerumani...weeeee usiharibu lugha yetu
Anko umeanza na kutuchekesha kweli hayawe twende nalo
Wakwanza na mie mnipe ata like kumi jmn vipenzi 😅😅
Nilisemaaass😂😂😂😂😂 anamnesi. Wake. Huyooo😊
Mama princess Mungu alikucha kiboko kumukana mwanao na mume wako sasa umegeuziwaa kibao kilachuma hiyoo...halafu huyo mubakaji hata kama amen amenibaka mara mbili siwezi mrudia hata abadilike mwema hapana..hii mimba yapili nahisi niyahuyo huyoo mubakaji
Mm wakwanzaa ila.Anko ataniona
Hapo.ofsn kwake.
Yesssssssss❤❤❤❤❤❤❤
Karibu. Sana. Prencess. Ikiwezekana. Ufikie. Kwangu. Maaana
😂😂😂 anko jay na sauti yako inanivunja mbavu
Jmn asante
likee znguuu 😁😁 jamn 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣ANKOJ BANA VIPI BINTI LISSA...ILA SIN BANA 😂😂😂😂😂
❤😂😂
Lissa mwala we miss u
Lazima tuishi kweny channel ya Anko J maan nmechungulia kwel
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anko chunga usimeze ulimi ukiongea kijerumani
😢😢😢😢😢wazazi wengine watahukumiwa vibaya mno😢lakini princess mbona ata usieleze bibi kile kinaendelea
Kweli wazazi tutapata hukumu kubwa kwaajili ya malezi mabaya tunayowapa watoto wetu
🤣🤣🤣Ankojay ww akili zako wazijua ww wenyewe
Anko jey utfnya nionkne chzi mna svyo nvyochkachka pkyngu wat wananshangaaa😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 ankojay wewe muongo sana 😂😂😂😂😂😂😂uwiii
Khaaa, jamani,kama ndiyo akili ya utajiri ndiyo kuwa kama mbuzi tu,sina hamu 😢😢
Tajiri km hao nimashetan kuliko atashetani mwenyewe
@@TeklaNdekeja kwakweli 😓
Bora ni baki maskini
Yaani hawana utofauti na wale manabii wa ile simulizi ya SiN
@@DorcasMuomba-gd3sw ni kweli kabisa
Huyu prince ni shetani sana kutoa mimba ya mwenyewe bila kujua alafu unasema kua amekula dawa za kutoa mimba
Nzuri sana 🎉🎉🎉 Asante anko j
Yani simulizi ya sin iko kichwani mpka naiota ni tamu sana haya ngoja niendelee na hii nijifariju tuu😢😢
😂😂😂Haya tumekutana tena tunasikiliza simulizi yetu tamuu BINTI PRINCESS ILI TUJUANE ITAKUWAJE 😢
Acha huyo mamako avune alichokipanda alimdharau nyanyako yaani mamake na akamulaani, alimwambia "atalizwa na huyo mwanaye" sasa kiko wapi pumbavu kabisa
Kasauti ka Suzy 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀ank jay bhna full burudan
Eeeee uyo mushenzi anamubaka afu anamufanyiya vituko eti ametowa mimba
😂😂😂😂 Anko j bhana haya team gulf amkeni kabla amjaenda kupika kahawa
😅😅😅
@@haleemahhamisi2534😂😂😂kabla taari azijaana
Tukoo hapa dear❤️❤️❤️
Naelewa sana jamani kuusu mapenz ya kweli unanigusa mnooo na falaja pia
❤❤❤❤❤❤❤❤
Dah! We mama ungejua😊
Weeh nishida jaman inatia uzuni sanaaa
Ila m,mungu atamuonyesha tu uslie kuwa na subra princess
Duh sio kwa kisauti hicho