MARIOO: SIJUI KUHUSU DIAMOND, MBOSSO | UKISIKILIZA ALBUM YANGU LAZIMA URUDI STUDIO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @blueboybajos6880
    @blueboybajos6880 15 годин тому +5

    Dj nimnoma😂😂🔥🔥🔥🔥

  • @LidyaJoctan
    @LidyaJoctan 17 годин тому +6

    Album kal sana Ina nyimbo tamu

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 9 годин тому +1

    Marioo unatisha sana kama njaa hongera kwa Album qali...🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AliMfundo-q1k
    @AliMfundo-q1k 4 години тому

    Bad bad Album imeweza Marioo,Sober ngoma yangu pendwa

  • @AnnahkiswangzKishwangz
    @AnnahkiswangzKishwangz 6 годин тому +2

    Dj d ommy ametisha sana

  • @abdulsambi9011
    @abdulsambi9011 17 годин тому +4

    The kid you know huwezi kuifunika.

  • @issashabani-c7r
    @issashabani-c7r 6 годин тому +2

    Kuandaa album sio kitu rahisi kabisa kibasa na ndio maana wasanii wengi wanashindwa kufanya hizo album kwasababu album sio kitu cha kuingia studio 🎙️ na kutoka album ni mchakato wa muda mreeeefu sana na album inahitaji mipango miiiiiiingi sana na hiyo mipango haiwezi kutimia kama unakuwa huna hela ya kutosha kwasababu kuna watu na vitu ni lazima utumie pesa ili uwapate hao watu na ni lazima utumie pesa nyingi ili kuvipata ivo vitu 💰 yani kiufupi ukitumia pesa nyingi ndipo unapo pata madem wazuri 😂 namaanisha pesa ndio kitu pekee kitakacho kufanya upate kufanya kila unacho kitaka ✅

  • @hilsalboy4118
    @hilsalboy4118 16 годин тому +5

    "SIJUI" kuwa makini

  • @SolomonHenry-y7h
    @SolomonHenry-y7h 16 годин тому +3

    God Son 👑

  • @SalumsaidNassoro
    @SalumsaidNassoro 18 годин тому +7

    Toto bad

  • @AdamGome-f6x
    @AdamGome-f6x 18 годин тому +6

    Mario #THEGODSON

  • @SuleymanBwembwe
    @SuleymanBwembwe 17 годин тому +2

    Noma 🔥

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni 17 годин тому +2

    Nomaa

  • @ivantompoo-c9k
    @ivantompoo-c9k 7 годин тому +1

    Crown mpo frexh

  • @DeusMasunga-lq1jo
    @DeusMasunga-lq1jo 17 годин тому +3

    ❤️❤️❤️🔥🔥🔥

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 4 хвилини тому

    Albam mbovu

  • @Mrishowalengamina-bx2to
    @Mrishowalengamina-bx2to 17 годин тому +3

    ❤❤❤❤

  • @AmosCharo-q3x
    @AmosCharo-q3x 4 години тому

    Dj d jitu nakubali😂

  • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
    @peteremmanuelymatwimatwiem3258 17 годин тому +4

    Media yenu hiii

  • @Davidchali-y6p
    @Davidchali-y6p 16 годин тому +4

    mimi nina penda wangu

  • @kjb_user0077
    @kjb_user0077 15 годин тому +4

    Dollar laki moja na 20 ni uongo hapo ametuchapa za uso

  • @ASHAKHAMISMUSSA
    @ASHAKHAMISMUSSA 17 годин тому +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @princemesha9611
    @princemesha9611 14 годин тому +3

    😂kawaida Sana sijaona chaajabu

  • @MwajumaRajabu-i8y
    @MwajumaRajabu-i8y 16 годин тому +6

    Kiukwl marioo nakukubali ila Album kiukwl unaniangusha Sana ktk Album uoneshi ukubwa wako kiukwl Album niyakawaida ...ila big up tunashemu akuna kazi ilio rahisi

  • @MJB-Africa
    @MJB-Africa 12 годин тому +2

    Where is KELELE GAAAAAAANG

  • @DR.DADI_MTUMBATU
    @DR.DADI_MTUMBATU 17 годин тому +10

    SIJUHI NDIO KISWAHILI GANI TENA MNATUANGUSHA JITAHIDINI KUHAKIKI MANDISHI KABLA YA KURUSU

    • @KefaMsambya
      @KefaMsambya 12 годин тому +1

      Hivi ni maandishi au mandishi
      Nielewesheni tafadhali

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 9 годин тому +1

      Mpk hapo nawew ushakosea tayar 😂😂

    • @ushindirecord7742
      @ushindirecord7742 7 годин тому +2

      😂😂😂 acha zako na ww

  • @Davidchali-y6p
    @Davidchali-y6p 17 годин тому +1

    lbm nibora sana

  • @LAMECKSHEDRACK
    @LAMECKSHEDRACK 14 годин тому +3

    Sasa momo ameivaaaa. sio kwa ubaya lakini jamen. Sasa mtachagua nyie muende na lesa au momo.

  • @backieb205
    @backieb205 14 годин тому +2

    We miss her

  • @FrankLucas-z9p
    @FrankLucas-z9p 16 годин тому +2

    Dudu Baya alisema ukwel

  • @kizzobkali1691
    @kizzobkali1691 15 годин тому +1

    Acheni uchochezi Wawa sanii bila kumtaja Diamondi amtoboi mumwache simba

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 14 годин тому +2

    Huyu msenge anayewaandikia hizi caption hajaenda shule nini? Kila siku anaandika upumbavu tu SIJUHI ngo kitu gani

    • @Newpowerog
      @Newpowerog 7 годин тому +1

      We mwenyewe umeshakosea ngo kitu gani ndo nini sasa

    • @BigDreamsWorldwide
      @BigDreamsWorldwide Годину тому

      Attractive 😂😂😂

  • @backieb205
    @backieb205 14 годин тому +1

    Guys where's lisa

  • @AlfroLyd
    @AlfroLyd 14 годин тому +3

    Hizi Ngoma mpya zote kwenye hiyo album, Ngoma moja Tu ndo nzuri, Mario na Patoranking, hiyo Tu. Sema jinyi mnao mu hoji mnampa Tu sifa naye anazani Ni album Kali. Naipa tu siku 7 hamta sikia Tena hii album

  • @dangomc_niger
    @dangomc_niger 15 годин тому +1

    AWA WATANGAZAJI WACHONGANISHI ETI HSZUJIII IVI MOND KWA LEVLE ALIYOPO WEE NI WA KUMTISHA ETI HAUJI

  • @MohamediNampungilah
    @MohamediNampungilah 14 годин тому +1

    ❤❤