MAFURIKO DSM: JANGWANI Hapafai, MAGARI ya MWENDOKASI Yashindwa KUPITA, Yageuzia MAGOMENI..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2020
  • MAFURIKO DSM: JANGWANI Hapafai, MAGARI ya MWENDOKASI Yashindwa KUPITA, Yageuzia MAGOMENI..
    Leo Oktoba 13, 2020 Mvua kubwa imenyesha jijini Dar es salaam na kusababisha baadhi ya maeneo kukumbwa na mafuriko..
    Eneo la Jangwani jijini Dar es salaam ni moja ya eneo ambalo limekuwa likikumbwa na mafuriko kila mvua kubwa zinaponyesha pamoja na Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupiga marufuku watu kuishi maeneo hayo lakini baadhi yao wamekuwa wakikaidi.
    Kutokana na maji kujaa katika eneo hilo mabasi yaendayo haraka ( mwendokasi) yamelazimika kupita Barabara nyingine ili kukwepa maji.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

КОМЕНТАРІ • 3

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 3 роки тому

    Hatareeeeh sana wallah

  • @yaccin774
    @yaccin774 3 роки тому

    Ataree

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 роки тому

    Siri yamwezi mungu walio choma moto mlima wa Kilimandjaro mungu akaleta vuwa kubwa leo tumshukuru mungu