GPS: ICC yataka NETANYAHU na GALLANT wakamatwe kwa Mauaji ya Raia wa GAZA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 118

  • @ZHING.Tech.
    @ZHING.Tech. 3 години тому +6

    MashaAllah habibi Allah awape rizki zenu kwa uwepesi na ajalie muendelee kutoa elim yen kwa wasio nayo

  • @HusseinAli-g9w
    @HusseinAli-g9w 4 години тому +5

    Gps babkubwa nawakubali sana me from zanzibar❤❤👏

  • @AbdulaziziHassan-e3g
    @AbdulaziziHassan-e3g 7 годин тому +9

    Nakukubali sana dj smaa

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 10 годин тому +10

    Moja kati ya vitu nlivyofikiria baada ya kupata taarifa za ICC, ni kufikiria namna GPS ilipo mbali, nlitamani mlizungumzie jambo hili kabla ya muda wa kawaida wa gps.
    Safi sana ndugu zangu.
    Mwenyez Mungu awalinde

  • @rahmaihucha8577
    @rahmaihucha8577 Годину тому

    Nawapenda buuure kwa taarifa zenu Mashaa Allah,,Mwenyezimungu awafanyie wepes kupata taarifa zenye uhakika Inshaa Allah

  • @billskeez92
    @billskeez92 11 годин тому +4

    Safi sana brother Sky kutuleteya GPS❤

  • @Sultanrawahy
    @Sultanrawahy 11 годин тому +6

    Namkubali sana dj sma❤

  • @osmanmohammedosman5493
    @osmanmohammedosman5493 11 годин тому +11

    Tunatamani sana GPS iwe inaruka japo Mara 2 kwa week

  • @rehemaally8128
    @rehemaally8128 Годину тому

    Ma Sha Allah leo ijumaa kuna GPS❤❤❤

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 10 годин тому +4

    Pamoja frome Oman 🇴🇲

  • @YamuremyeYarodi
    @YamuremyeYarodi 10 годин тому +3

    Wawoo vizuri sana kama munjeongeza nyingine siku GPS tuko pamoja sana 🙏 smaa nakuskia

  • @nassoroshakiru7094
    @nassoroshakiru7094 11 годин тому +5

    Wakuu mmenishtua sana kuweka GPS leo 😂 😂 😂 mnenifanya nione kama sim yangu imeharibika na kukimbilia calenda😂😂 mimi ni mpenzi wa SnS kila baada ya dakika kadhaa huingia kuangalia update yan

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 2 години тому

    Dj sma ni baba lao,mtu wa fact n logic, as usual 🤝

  • @YussufMohd-fc1dj
    @YussufMohd-fc1dj 4 години тому +1

    nakubali kazi

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 11 годин тому +3

    Kitu kizur sana niliwaza kaka bora mulivotupandishia mzg

  • @fatmabukuku5384
    @fatmabukuku5384 58 хвилин тому

    Hongera sana Sns kwa gps ya leo

  • @cloudendelwa1717
    @cloudendelwa1717 6 годин тому

    Daah kuna vitu uoikutana navyo mpk unafeel the woow experience ahsante kwa suprise ....

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 6 годин тому +3

    Ali masubi leo ametoa uchambuzi mzuri sana japokuwa alikua ana muda mfupi

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 4 години тому +1

    Oyooo gps at the middle of the week🔥🔥

  • @timothybanda3219
    @timothybanda3219 10 годин тому +3

    Hapa yenyewe imetoka mababa zao kule washaanza kulialia,wanasema eti hii warrant imeharakishwa,wamesahau ile ya putin imetoka fasta kitu gani sijui.

  • @PascalMwita-bv8kr
    @PascalMwita-bv8kr 11 годин тому +1

    Tupo woote hata GPS ❤❤❤😂😂😂ingekua nikama kuishi kila asubui mchana jioni❤❤

  • @jacobmahona187
    @jacobmahona187 2 години тому +2

    Wanaosimama na Gaza hawatashinda ni kweli Israel itapata taabu sana siku za Mwisho Kama ilivyo tabiriws na Biblia lakini Dunia haitashinda mshindi bado atakuwa Mungu wa Israel Kama haki ingekuwa kwa wengi Mungu asingeangamiza Dunia nzima akambakisha Nuhu peke yake Mungu huangalia Neno lake Na ndilo linalotimia kwa Sasa YESU YUAJA!

    • @paschalcharles3617
      @paschalcharles3617 Годину тому +1

      MUNGU hawezi kuipigania nchi ya MASHOGA, Israel USHOGA na mapenzi ya jinsia Moja ni haki inayolindwa kwa sheria 🚮 Israel anapiganiwa na marekani 🚮

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 5 хвилин тому

      Muungu gani apiganie nchi ya mashoga. Fatilia ww. Maadhimisho ya mashoga duniani yanafanyika izrael kila mwaka na wanahakikisha haki za mashoga zinalindwa

  • @sakitiyesse5973
    @sakitiyesse5973 5 годин тому +1

    Safi saana @Bundala na @ DJ Smaa

  • @RamadhaniSadati-b2o
    @RamadhaniSadati-b2o 11 годин тому +2

    Marekani itaishtaki ICC Kwa kosa la kumumtuhumu mwanae.

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 Годину тому

    Mnafanya vizuri sana ila naomba kuwe na mchambuzi wa uchumi

  • @cdeegwau551
    @cdeegwau551 4 години тому

    Mko vizur sana

  • @Muba-Gucci-TV
    @Muba-Gucci-TV 11 годин тому

    Woooow

  • @amourabubakar474
    @amourabubakar474 8 годин тому +2

    Dr. Naledi Pandor (Former foreign minister of South Africa)

  • @henrymatebe
    @henrymatebe Годину тому +1

    Namuona smaa anavyofurahia alivyo haipendi Israel ila Mimi nasema tu kwamba mipango ya ICC haitafanikiwa atakamatwa sawa ila kesi hawatashinda

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j Годину тому +1

      Hawezi kukamatwa ilo sahau never 😂😂😂😂😂

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 11 годин тому +2

    Naledi pandu huyo mama anaitwa

  • @togetherwecansolve
    @togetherwecansolve 4 години тому +1

    Naledi panda

  • @Ethnicfm91
    @Ethnicfm91 4 години тому +1

    Point of Correction Kwa Sns ICC ipo Hague Netherlands Na Sio Geneiva Uswizi

    • @djsma255
      @djsma255 3 години тому

      Thnx,we stand corrected

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 11 годин тому +2

    GPS iwepo kila siku hata

  • @ZamgoyadanielZamgoya
    @ZamgoyadanielZamgoya 6 годин тому +1

    Napenda san gps akikuepo dj sma pekeake

  • @HarounAnnabhany
    @HarounAnnabhany Годину тому

    ICC iko The Herge

  • @ZakayoDionisi
    @ZakayoDionisi 11 годин тому +2

    Hakuna kukamatwa kwanza kwanza akienda marekani inatosha

    • @Awatee
      @Awatee 7 годин тому +2

      Akamatwe asikamatwe ipo siku Mwenyezi Mungu ataingia tuu sasa sijui pia uko itakua mtetezi wake pia?

  • @High-km1dm8et9x
    @High-km1dm8et9x 4 години тому +2

    Netanyahu ni mshindi

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 7 годин тому +1

    Nani atawakamata sasa? myaka itaenda itarudi na vita vinaendelea

  • @Mtu2011
    @Mtu2011 3 години тому +1

    Naled Pando

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 3 години тому

    Ata kama wasikamate netanyau ila dunia imejua ukweli wamefabya uwalifu,mauwaji ya alaiki.

  • @EIgonga
    @EIgonga 11 годин тому

    BrotherSky.. nimependa mlivyokaa leo hii kuhusu suala hili , maana haikutakiwa kusubili mpaka jumatatu, Kongole saana kwenu.

  • @nabugobafakhruddin794
    @nabugobafakhruddin794 5 годин тому +1

    Gps sio leo bhana 😂😂😂😂 tumesha zoeya ijumaa

  • @timothybanda3219
    @timothybanda3219 10 годин тому +1

    ICC HQ ni the Hague Holland

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 4 хвилини тому

    Kama viongozi wa Hamas hawapo kwenye arrest list, tunategemea uhalifu wa Hamas ikiwa ni pamoja na mateka wawe huru maana watekaji walishakufa

  • @abdallahalwardi588
    @abdallahalwardi588 5 годин тому

    I.C.C iko The Hague The Netherlands

  • @Karimchembela
    @Karimchembela 4 години тому

    Kumekucha

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Годину тому

    Hapo kubaka niuogo hamasi hawana tabia hiyo tena sio hamas 2 warabu kwujula tabia hiyo hawana wang kuwa natabihinyo unazani tungepona huku kila mutu tungerudi na watoto waram wenge hata hawajui kusomesha mtu abae sio families ukiona bibty karudina mtto ujuw alimfata wenyewe

  • @salminijumasalminijuma6213
    @salminijumasalminijuma6213 4 години тому

    Mngefanya kama Kila week

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 4 години тому

    Bigup SNS kwa kutuhabarisha, Israel imepoteza image yake na kuaminiwa kwake kuliko jengwa kwa nguvu kwa miaka mingi ili ijulikane na kuheshimika Duniani, Sasa heshima la taifa hilo wameiharibu kwa mikono Yao wenyewe.

  • @Shabani2016
    @Shabani2016 9 годин тому

    Kulingana na hali ilivyo hivi sasa duniani GPS ikiwezekana hata mara 2 kwa wiki

  • @saradiribo8288
    @saradiribo8288 5 годин тому

    Nothing much...

  • @salummohamedi5562
    @salummohamedi5562 10 годин тому

    Vita ya 3 imeanza

  • @ZakayoDionisi
    @ZakayoDionisi 11 годин тому +2

    Dj vipi kuhusu Putin

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j Годину тому +1

      Hawezi kukujibu ilo 😂😂😂😂😂

    • @MokiwaKaskaz
      @MokiwaKaskaz 26 хвилин тому

      Amesha jibu kabla hajaulizwa, ili umuelewe lazima na wewe uwe mwenye ku balance mambo.

  • @HerryMwampashi
    @HerryMwampashi 7 годин тому +2

    Lbd watamkamata Allah ila Netanyau hawawezi kabisa

    • @Awatee
      @Awatee 7 годин тому

      Wee kafiri weye kuna anae weza kumkamata ALLAH unawezaje kumfananisha ALLAH na ma vumbi Paka nyau kua na Heshima mjinga weye tafuta elimu upunguze ufukara wa akili na ujinga hakuna anae fanana na ALLAH wala atakae weza shindana nae pumzi isikuhadae ya muda tuu kupunguza kiburi kwa anae kupa kila kitu mfu weye

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 4 години тому

      😅😅😅😅Hivita ina udini mbaya sna

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j Годину тому +1

      Hahaha 😂😂😂😂😂

    • @Awatee
      @Awatee Годину тому

      @@HerryMwampashi Ukafiri ni zaidi ya canser unawezaje kumfananisha ALLAH na mavumbi kama paka nyau ALLAH anauwezo wa kukukamata weye na uyo laana mwenzio pumzi ya muda mfupi isikupe kiburi kijana jitafakari usijione mjanja sana wakati wako ukifika weye na uyo unae muona kama Mungu wakati ndio utaongea

    • @SamwelRobeth
      @SamwelRobeth 38 хвилин тому

      ​😂😂😂😂

  • @naomikrause1762
    @naomikrause1762 2 години тому +1

    WANACHOKA BURE NYATANYAU NI SHUJAA
    WA ESIRAELI🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @eliyampesa4352
    @eliyampesa4352 5 годин тому +1

    Hiyo hati ya kukamatwa ilikuwa wapewe hamas baada ya uvamizi dhidi ya israel na sio kusubiri hamas waachwe Ili kujaribu kutafuta ushindi kivita na baada ya kubondwa kama mbwa mwizi ndipo warrant itolewe😂😂😂😂

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 3 години тому

    UCHAMBUZI MZURY

  • @High-km1dm8et9x
    @High-km1dm8et9x 4 години тому

    Yani iyo sio GPS ni mdaaro wa kigaidi na umewai kutoa si upo upande wa gaidi ila netanyahu ni noma

  • @JeanMalilo
    @JeanMalilo 4 години тому

    Cease fire vip na walio tekwa awaja rudi we dogo smah unalaana

  • @salminijumasalminijuma6213
    @salminijumasalminijuma6213 5 годин тому

    SNS imesha kuwa kilevi kwangu

  • @jimmyhabarugira4232
    @jimmyhabarugira4232 10 годин тому

    ICC iko Holland

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 4 години тому

    Ningumu sana netanyauhu kukamatwa

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j Годину тому +1

      Sio ningumu sema haiwezekan kutokea never

  • @RAKIIMRAKIIM
    @RAKIIMRAKIIM 9 годин тому +2

    Trump Alijitoa JCPOA

  • @hudumablack9339
    @hudumablack9339 8 годин тому

    Majibu kutoka Marekani kuhusu swala hilo, ndipo utagundua kuwa ICC ni kichekesho tu! 😂😂😂

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 9 годин тому +2

    Hizo ni kelele za chura haziwezi kumzuia tembo kunywa maji. Viva Israel🇮🇱🇮🇱🇮🇱

    • @allyslim7774
      @allyslim7774 3 години тому

      Sawa muizrael wa mchongo

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 2 години тому

      @ ndio. Kipigo dhidi ya ugaidi kipo pale pale

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j Годину тому +1

      Hakuna mtu kukamatwa ni mchezo tu putin yuko wapi mpaka leo 😂😂😂😂😂

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 3 години тому

    Wawakatie nini kipindi walikua wanampa silaha auwewatu , simlikua mnafurahia , namaleko yenu yakuchukua gaza yametimia 😂 msituchezee akili mbwanyie mnajuana mateka wangekua wamepatikana msinge wafungulia kesi 😂😂😂

  • @jumakhamis3545
    @jumakhamis3545 11 годин тому

    Ipo uholanzi

  • @AwadAbedalla
    @AwadAbedalla 4 години тому

    🇪🇸🤔💪💪👍👍👍🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇱🇧🇱🇧

  • @Cabosport
    @Cabosport 4 години тому

    Hii chuki isio isha ni chuki gani? Kila siku chuki thidi ya wayahudi, kwani wengine awachukiwi.

    • @twalibubiza8161
      @twalibubiza8161 53 хвилини тому

      Kwan ww inakuuma nini paka unapinik au kisa ukivoskia yesu kizaliwa uko ndo unaona inakuuma

  • @JeanMalilo
    @JeanMalilo 4 години тому

    Mzayuni atumikishe Nucs tu kelele za wavaa kanzu kama madem ziishe

    • @abdallahsepa9511
      @abdallahsepa9511 3 години тому

      Ubongo wako una mavi .

    • @allyslim7774
      @allyslim7774 3 години тому

      Kwaiyo wavaa kanzu vs mashoga kama wewe

    • @JeanMalilo
      @JeanMalilo 3 години тому

      @ endelea hivohivo wakati dini yako ndo ya kwanza dhambi gaidi wewe

    • @allyslim7774
      @allyslim7774 2 години тому

      @@JeanMalilo yaan ata ulivyo unaonyesha wewe ni shoga kabisa

    • @SalumObed
      @SalumObed Годину тому

      Mbona unawTukana maaskofu😂😂😂

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 4 години тому +1

    ICC inapenda kufanya mizaha za kijinga... Nani anauwezo wa kumkamata Simba mwenyewe...?

    • @phestostanley4019
      @phestostanley4019 3 години тому +1

      Hawawezi kumkamata , naamini kabisa watasababisha taharuki kubwa ambayo hawawezi kuizuia

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 2 години тому +1

      @phestostanley4019 Huo upuuzi wao watafute kwengine..

    • @phestostanley4019
      @phestostanley4019 2 години тому

      @@omondiowino7875 ni kweli warrant inatoka leo mbona hawakuitoa kwanza oct 7

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j Годину тому +1

      ​@@phestostanley4019kwanza wanaanzaje sasa kumkamata 😂😂😂😂

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 8 годин тому

    ICC wamefanya Visuri Kutoa Amri ya kuwakamata Hao wauwaji wa Israeli

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j Годину тому

      Ila kukamatwa sahau hilo 😂😂😂😂

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 40 хвилин тому

      @@GeraldElias-s7j Dunia Imejua Nyetanyau Ni Gaidi na Muuaji

  • @thesunafrican
    @thesunafrican 11 годин тому +1

    Neta paka mhalifu wa mauwaji ya kimbari

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 10 годин тому

      Sio NetaAllah 😂😂

    • @dubzman5874
      @dubzman5874 9 годин тому

      Netapig yule ni sawa na Dajal tu​@@vincentcharles4385

    • @Awatee
      @Awatee 6 годин тому

      ​@@vincentcharles4385Itakua una matatizo ya akili laanatullah weye huwezi shindana na ALLAH acha kiburi pumzi ya muda mchache hivi
      huna mazingatio kwa wale ambao waliangukiwa na ghorofa kuna yoyote alie tegemea kama mauti yatamkuta muda ule punguza chuki Soma ALLAH ni lugha kama lugha nyengine lkn kiswahili ndio Mungu mumepandikizwa chuki hadi umechanganyikiwa Ajabu munamkashifu lkn mukiwa na magumu yenu munaketi na kumuomba uyo uyo jee huoni aibu una mskashifu halafu weye unatumia pumzi yake aibu kubwa kwa ujinga ulio kujaa tafuta elimu upunguze chuki kwa usicho kijua wala usitafute usio kua na elimu nayo

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j Годину тому

      ​@@vincentcharles4385😂😂😂😂😂