Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MLINZI Wa Diamond Hakuna Wa Kumgusa DIAMOND Amkataa WizKid Asingenijua Bila Diamond

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лис 2019
  • #BINGOexclusive

КОМЕНТАРІ • 12

  • @reezycalypto4896
    @reezycalypto4896 4 роки тому +5

    M siipatii picha hyo kesho...sijui itakuaje kwanza maana khaa hayo maandalizi ya dunia

  • @sadickmkanda4531
    @sadickmkanda4531 4 роки тому +3

    Haya ndo mambo yanayotakiwa "UBUNIFU"kutengeneza fulsa na ajira kwa watu mbalimbali sio kutengeneza majungu ,mwisho Wa siku hawapati maendeleo..yoyote.

  • @theresiangunda2298
    @theresiangunda2298 4 роки тому +2

    Kweli fursa ni nyingi

  • @theresiangunda2298
    @theresiangunda2298 4 роки тому +1

    Kizazi sana

  • @officialrich_b279
    @officialrich_b279 4 роки тому +1

    Kweli balaa zitoo bingo sio wepesi

  • @zaituneadremaneadremane5698

    👍👍👍👍

  • @reenaroy1968
    @reenaroy1968 4 роки тому

    mpaka kuongea km dai mwee

  • @edwardsichilengwe2330
    @edwardsichilengwe2330 4 роки тому +1

    Hahahaha sasa wewe na wizkid nani wa kumjua mwenzake! Yaani ww bila simba usingemjua wizkid na sio kusema wizkid asingekujua bila simba hayo masihara maana mkikutana nae sasa hivi njiani naamini hatokutambua ila ww utamtambua

  • @MsafyWawasafyTz
    @MsafyWawasafyTz 4 роки тому

    Wakileta mseleleko

  • @akibarahamadi5058
    @akibarahamadi5058 4 роки тому

    balaaa zitooooo

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 4 роки тому

    Kumbe huyu jamaa waga anatabasam