INAUZWA TSH (( 100,000,000 )) NYUMBA HIHAPA INAUZWA IPO DAR ES SALAAM WILAYA TEMEKE JIMBO LA MBAGALA
Вставка
- Опубліковано 9 жов 2024
- MILIONI MIAMOJA (( 100,000,000 )) INA UZWA IPO DAR ES SALAAM WILAYA TEMEKE JIMBO LA MBAGALA MANISPA YA TEMEKE KATA MIANZINI MTA MATITU ,A, INA VYUMBA VINNE VYA KULALA INA KISIMA CHAMAJI INA MASTER INA SITTINGI ROOMINA DAINNGI ROOM INA JIKO NDANI INA JIKO NJEE KUBWA LA KISASA ,SQM550 NIPIGIE CM CALL
================================
0787 96 62 96🇹🇿🇹🇿0737 61 4371 🇹🇿
🇹🇿0765 50 70 40🇹🇿🇹🇿0713 96 62 96
================================
Mungu ambariki alojenga hii nyumba amzidishie riski zaidi
Ishallah
Pole nakazi kijana
Nauliza swali. Je kama mm n MKenya nakubaliwa kuja kununua hiyo nyumba!
Wee tu mbona Kuna watanzania wananunua nyumba marekani
Jambo marée nipenamba zébu ilituzungumuze asante
0787966296
0713966296
Unajuwa fasiriya, Bro! Congratulations! I need pande Ya ikulu
🙏🏻🙏🏻🇹🇿
Jamani hii nyumba bado hipo?
Boss nimesha uza tayar
Tena ndugu yangu nyumba yakifari kama hiyo mbona hakuna sinki lakuhogea lile la inje? ( kisima chakuhongea inje)
I say nyumba nzuri
Asante boss
Hello
Boss
Katika nyumba zote hii nyumba nimeipenda wallah huwa mda wote naagalia sana hii kitu
Ishallah Mungu atakujaria utapata nyumba ya ndoto yako hiyo nimesha uza boss wangu
Mashallah
Ishallah boss asante
Bado ipo?
Hapana kitambo sana nimesha iyuza
Mambo sio mambaya
Hiyonyumb bado ipo
Hapana nimesha uza tayar
Kanya money hiyo ni ngapi?
Google
Je Bado ipo?
Bado ipo inauzwa
Nimesha piga pesa boss
Safi sana
Asante boss
Beizavitu
Ipo wapi?
Nyumba nzuri nimehependa
Asante tafuta pesa
Jambo mpendwa kwa uweza wa mwenyezi mungu akubariki kwa mtanguliza yeye ubarikiwesana kweli nyumba ninzuri je ahina punguzo? Na pili nisawa nakiasi gani kwa dollars? Nakufuataga sana na mimi mungu akinibari nitakuwa wa kwanza kukutafuta ila ningetamani kwamengi zahidi nitafute in box messenger
Sasa nko na swali mm nimkenya nitafanyanje ili nikije ishi huko?
@@peninahkithy9052 unaluhusiwa kununua kwa kufata vigezo vyote
Asante kwa kuwa fansi wangu wa nguvu namba zipo hapo waeza chukuwa na tukaongea zaidi
Bro weka mawasiliano
Namba za cm zipo hapo pitia tangazo hadi mwisho namba zipo
hiyo storage room chumba tosha .
Wa2 wana jenga ndugu
@@dalalihakweahakweya6662 mashaallah . nasisi madhali hatulali nje Alhamdulillah .
@@kiri5807 Ishallah
😂
What is the price equivalent in $
In ero it’s about 37000 but in dollar I dont hâve any idea
43,500$
It's about 43143 USD