Wew sheikh kishki hajamtaja Mtu ila alilenga wale wanaofanya tiba za kisuna bila ya kufuata utaratibu wa kisheria ya dini sasa firdaus siyo sheikh wala sharifu anatapeli watu Tena hasa hawa kina mama elimu yao ndogo kabisa Tena wengine hawana elimu kabisa wanawake wajiangalie sana wanatapeliwa sana na hawa masharifu feki kabisa
Nan anae muhusudu mtu tapeli, Jaahil, maghruur?? Uyo hahusudiwi bali ana hurumiwa ..ila kiburi chake kinamponza ... Na nyinyi musome dini yenu, ili musiwe wajinga kiasi cha kushindwa kumjua shekh wa kweli na tapeli
Aliye pewa kapewa waja tuache husda we unae jua kusoma qulani umetibu mamia mangapi ya watu mmmh husda acheni
Wew sheikh kishki hajamtaja Mtu ila alilenga wale wanaofanya tiba za kisuna bila ya kufuata utaratibu wa kisheria ya dini sasa firdaus siyo sheikh wala sharifu anatapeli watu Tena hasa hawa kina mama elimu yao ndogo kabisa Tena wengine hawana elimu kabisa wanawake wajiangalie sana wanatapeliwa sana na hawa masharifu feki kabisa
Nan anae muhusudu mtu tapeli, Jaahil, maghruur?? Uyo hahusudiwi bali ana hurumiwa ..ila kiburi chake kinamponza ... Na nyinyi musome dini yenu, ili musiwe wajinga kiasi cha kushindwa kumjua shekh wa kweli na tapeli
Wee unajua dini..hata mwamposa mtasema kapewa
Halafu dini sio ushabik muwe makini kama huna elimu na jambo ni bora kukaa kmy
Wamama wetu ndio shidaaaa😢
MUMEPATIKANA.WANAWAKE.KWA USHIRIKINA
Cku zot mlikuwa wapo
MIMI Niko upande Wa kishki jaman
Huku umefata nn.?
Mnafki mkubwa ww....!!
😂😂😂😂😂😂😂 washirikina wakubwa ndio umaskini unazidi kuwaangamiza
Kina Mama ndo wa kwanz kufika kwa waganga.
Kwani siku zote ilikuwa hamumuoni sheikh firdaus mumeona amewashinda ndio mwamshambulia acheni husda fanyeni yanayowahusu
Wa mama wa kiisilamw ndy hawa sasa
Acheni ujinga nyie