Damu ya Yesu ni yote zaidi ya yote,, Nyimbo zako za mwanzoni zilikua na message Kali sana,, Ungerudia huo uimbaji wa kitambo ungekua sawa kabisa,, binafsi wimbo umenihudumia zaidi
ubarikiwe sana,,,I love this ministry,,full of holy spirit,,,nilitamani sana,,kusikia nyimbo kama hizo,,,now go on and preacher the gospel through singing 🎉🎉
Huu wimbo umenibari Sana Mama Rose wewe ni gold sasa Dhahabu upitia Moto hili itimie kuitwa dhahabu sasa Mama wacha Mungu ajitukuze kupitia kwako Mungu akubariki sana Mama I really love your ministry ❤❤🎉
Hizi ni zile Kati ya nyimbo za mazoezi kule kanisani baada ya kukosa ufadhili.kipaji kweli.nyimbo zake zilitupa taswira na mtazamo maishani tangu tukiwa watoto.mlezi wewe Rose.
Thanks dada rose for this song,,rudi katika zamu yako na uendelee kuifanya kazi ya mungu,mungu akubariki dada rose🎉
Rudi katk enzi zako Rose na mashairi yalikuwà vizuri lakini leo hii unashindana na akina Dimond
Huu wimbo ulikua wapi kweli huyu mama na malkia wa gospel
❤❤❤mimi bado sijaona mahali popote Dada Rose amekosea mafasi yake tangu aanze kunibariki na uduma yake ya uimbaji🎉🎉🎉❤
Sasa my sister umerudi kwa zamu Yako...Arise and shine 🎉🎉🎉
This is the Rose muhando we need..Go mamah mamah God will reward you
AMINA Rose kaza tena nakutakia Harri ya mwaka mpya 👏
❤❤❤ wimbo mtamu sana naukubali sana toka DRC 🇨🇩uvira🎉
Mungu azidi kukufunulia na kukuongoza Rose, ubarikiwe sana
Aminaaa mtumishi wa Mungu, Mungu akubariki sana, this is a good song
Damu ya Yesu ni yote zaidi ya yote,,
Nyimbo zako za mwanzoni zilikua na message Kali sana,,
Ungerudia huo uimbaji wa kitambo ungekua sawa kabisa,, binafsi wimbo umenihudumia zaidi
Huyu ni rose sasa tuliemjua tangu samani.. shikilia apo sasa
Thanks a lot mama rose muhando kwa huo wimbo for sure nimebarikiwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤ from Uganda be blessed kindly
Huu wimbo ulikuwa unewekwa wapi?? nachunguza mikono sioni kovu😮😮 ubarikiwe Rosa🎉🎉❤❤
Hii inaonekana imekua tu library,inakata ya kitambo sana
Nice song
NABII MAARUFU RAIA WA CONGO ALIYETIMULIWA NCHINI ADAIWA KUUA MAMA HUYU, ALIONA MAMBO YA KUTISHA..!
ua-cam.com/video/Zfx15BXHGkE/v-deo.html
NABII MAARUFU RAIA WA CONGO ALIYETIMULIWA NCHINI ADAIWA KUUA MAMA HUYU, ALIONA MAMBO YA KUTISHA..!
ua-cam.com/video/Zfx15BXHGkE/v-deo.html
HUU WIMBO KWA ALBUM YAKE INAITWA USIVUNJIKE MOYO ALIIFANYA KABLA TU APITIE LILE JARIBU
Much love Malkia Rose from kenya 🇰🇪
ubarikiwe sana,,,I love this ministry,,full of holy spirit,,,nilitamani sana,,kusikia nyimbo kama hizo,,,now go on and preacher the gospel through singing 🎉🎉
Huyu ni mpakwa mafuta wa Bwana na ni mtumishi wa Mungu, tena ameitwa kwenye huduma ya uimbaji, Bado anawika
Mungu mwema wakati wote,barikiwa sana📖📖📖📖📖📖 haki haipatikani kwa kulumbana ❤❤❤❤
God bless you so much,it is your year of rising and shining
Huyu ndiye 🌹 rose 🌹 muhando ninaye mjua. ❤❤
A good song that blessed me ... Be blessed Rose
Uu wimbo unibariki sana haki dada rose ❤
Huu wimbo umenibari Sana Mama Rose wewe ni gold sasa
Dhahabu upitia Moto hili itimie kuitwa dhahabu sasa Mama wacha Mungu ajitukuze kupitia kwako Mungu akubariki sana Mama I really love your ministry ❤❤🎉
Uko sawa🎉🎉🎉🎉❤❤
Ongera san maman rose mungu akubariki sana
Mama rose zamani ulikuwa unaimba rudi katika uimbaji wako zamani na hata mavazi yako ona hapa unampa Mwenyezi Mungu utukufu kabisa,
Ako sawa
Hii album inaitwa Usivunjike Moyo. Ilikuwa na nyimbo 8.
Barikiwa mamamngu kwakubariki watu wengi❤❤❤🎉🎉🎉 twawapenda malikia WA nyimbo za uvusho🙏🙏🙏🙏🙏💝💝💝💝
Dada rose yupo sawa,mungu anazidi kumuinua
Mungu kakujalia sana kipaji mama yetu rose Muhando 🌹 nyimbo nzuri sana hii
Uyu dada ni kinara afrika❤
Very good mam rose barikiwa sawa nabarikiwa at mimi
Wimbo mpya kwa masikio,video ya kitambo,,,nice song ❤❤❤❤❤
rose mungu akubariki,bd wembe unanyoa upovzr mama,
Ameen Ameen mungu akubariki mutumishi wamungu rose❤❤❤❤❤
I love this song
Be bless mama nyimbo zako zinatubariki sana
MUNGU mbariki rose sana sana Sanaa Amina
Hizi ni zile Kati ya nyimbo za mazoezi kule kanisani baada ya kukosa ufadhili.kipaji kweli.nyimbo zake zilitupa taswira na mtazamo maishani tangu tukiwa watoto.mlezi wewe Rose.
Muhando ulificha hii wapi mama. A good song ❤️
Mungu naomba nikuimbie kama huyu alivyokuimbia
Asante rose ubarikiwe sana
Damu ya yesu ni yote ndani ya yote.Hii wimbo ni bora zaidi
Mungu akubarikiye sana
Kavaaa Vizr nilikua nishaacha kuangalia nyimbo zake nimefurahi pia katulia raundi hii hajaruka ruka
Kwani karukia wewe au mungu...
@orpahollinga2626 hujanielewa ndugu yangu.kuna wakati wakiruka wanajisahau adi kukata viuno .kwan hujaona???ila sorry
Nyimbo yenye ujumbe mzuri MUNGU akubariki
Ubaanbiye virement bitumukonafanya kumutata habioneshe okovu
Data rose muhando ubarikiwe sahidi Wimborne mzuŕi
Nyimbo zako kwanza zilikuwa na upako sana dada yangu.
Naweza angaliya huu wimbo kila wakati!!!
Amen kitambo ulikua kidole
Alléluia ubarikiwe
Nashangaa Namimi kwelikabisa 🙏
Yuko sawa
Damu ya Yesu ni zaidi ya yote
Dada Rose ulikuwa umepotea but now I can see you have changed direction to your normal position,thanks.
Huu wimbo mbona ni nikama ni wazamani.
Nice song ❤
Rose, acha kuvaavaa mawig nywele zako zinatosha.
Ubalikiwe saana Mama
God bless you 🙏
Onyo hii ifikie kanisa la kristo
Mama.rudi.katika.hii.njia.uliokuwanao.hivi.sasa.unaendelea.kudidimagine.kabisa.hizi.nyimbo.ndizo.zilikuweka.juu.sana.siku.hizi.umepotea.kabisa.rudi.mama.
Nautaka mm huu wimbo mama
Stream it on Boomplay and UA-camMusic for FREE😂❤
Ulikuwa ungali naogopa nzambi nakumucha bwa na yesu
Haya kwa Sasa nafanya dhambi gani ndg kumbuka Kila amsingiziaye ndg yake imempasa hukumu,
Boas só que não são fáceis de transferir ,gosto muito dessas músicas animam o coração continua
Barikiwa
Bravo
Ameneeeeeeeeeeeeee❤❤❤❤❤
Vem em Angola mana , eu ti gosto muito❤❤
Hallelujah❤❤❤❤
THIS SONG REMINDS ME OF YOU BEGINING IN THE MUSIC INDUSTR
Not beginning...this is a much later album
Mlificha wapi hii, album jina la yesu ni fimbo
congrat
Huu wimbo umetoka wapi na vile nasemaga najua nyimbo zote za Rose muhando
Kuna zingine nyingi huzijui tu❤😂
Nyimbo yenye mashairi ya biblia
You are now in sound doctrine
To you Rose revalation 2 remember where you lost from and do the first work if not you have no position in New City
🎉🎉🎉🎉❤❤
Amina mama
Sasa hii Nia lini wajameni nipinga kama awali
🙄🙄🙄🙄😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Rose muhando iitume kwa account yako ya youtube na iboreshwe ikae clear zaidi
it answers the whole situation currently martha na Joan mwaipaja
She has it in audio version on her channel. If she uploads the video I will delete this one ,thanks and be blessed.
Yes
Naaamini
Amen
ua-cam.com/video/AGrs0qNFkCg/v-deo.htmlsi=fAzko9fU8YZjW2CK
Some of the artists you collaborate with do not sing for Jesus. Please turn away from them. Go back to where you started from....
Amen
Amen
Amen