AMEN AMEN, mwenyezi Mungu akubariki sana mom ,,,,,, umeni bariki sana na neno nime amini MWENYEZI MUNGU atafunguwa njia zangu nipate mahali paku jenga na promotion pia nitapata ,
Asantee sana Upendo Nkone niko katika kipindi kigumu nimetiwa moyo sanaaa na hii interview hakika nmemuona BWANA limejikuta nalia sanaa naamini MUNGU ananipitisha katika hili jaribu maana kuna mahali pema pameandaliwa kwa ajili yangu🙏
Wambie Mamangu uku wanajidanganya kusema Mungu ahangalii mavazi anahangalia roho😭😭😭 duuu ndio maneno ya waimbaji wakisasa kwani waimbaji wakisasa tukisimama kama uyu mama akika kuna jambo Mungu atalitenda kwetu 😭😭🙏😭😭
Nimepitia majaribu mengi,lakini through Nkone Mimi niliuona mkono wa Bwana,ninapigwa vita katika familia,kutengwa nao,lakini Mungu Ni Nani through Nkone am blessed,life still continuing
Dadawe sauti yako yaponya mioyo. Mamangu mzazi kafanyiwa opareshion 8 huwa namwona kama muujiza na hilo hunifanya niutafute uso wa Mungu sana. Naomba siku moja nikutane nawe uso kwa uso
Nipo hapa New Jersey U.S.A najifariji na nyimbo zako.Katika huzuni na majaribu wengi tunachanganyikiwa maana wengi wa karibu wanatuacha lakini kumbe Mfalme mwenye uwezo yupo muda wote kufariji.Ubarikiwe sana
Ubarikiwe sana UN.Nakupenda sana kwa ajili ya Utumishi wako.Dada wa ukweli.Unayevaa vizuri .Title Vitenge. Nakukumbuka tangu ulipo solo na Yombo ule wimbo YESU YESU Anaokoa...... BWANA AENDELEE KUKUTUNZA
Upendo nkone nimerudia zaidi ya mara moja kuingalia hii interview ninavyoiangalia hii interview yako MOYO wangu unapitia wakati mgumu sana lakini kwa maombi yako nasikia Amani moyoni mwangu nasikia faraja naona mzigo umenituka,,,, MUNGU akubariki
Aiseee ata mimi nina wakati mgumu sana Bishala haziendi mtaji umekwisha mke wangu anaklibia kujifungua ata nyumban hela ya kula sina pamoja nakujitahid na kuhangaika sifanikiwi ila hapa nimepata moyo ....nguvu mpya ,yupo Mungu msemaji wa mwisho
Nimeyapitia mengi,duniani unakataliwa,unasemwa uongo,unasengenywa,unatusiwa,unachekwa,mamayo ndio huyo na analia,hujui pa kwenda,uliowasaudia wakishavuka daraja kiboko ndio hiyo,furahini
6:20 daaah huyu dada ana sauti... Allah amemjaalia.
AMEN AMEN, mwenyezi Mungu akubariki sana mom ,,,,,, umeni bariki sana na neno nime amini MWENYEZI MUNGU atafunguwa njia zangu nipate mahali paku jenga na promotion pia nitapata ,
Hatutaaibika mungu ni mwaminifu..
Glory🔥🔥🔥
Asantee sana Upendo Nkone niko katika kipindi kigumu nimetiwa moyo sanaaa na hii interview hakika nmemuona BWANA limejikuta nalia sanaa naamini MUNGU ananipitisha katika hili jaribu maana kuna mahali pema pameandaliwa kwa ajili yangu🙏
Wambie Mamangu uku wanajidanganya kusema Mungu ahangalii mavazi anahangalia roho😭😭😭 duuu ndio maneno ya waimbaji wakisasa kwani waimbaji wakisasa tukisimama kama uyu mama akika kuna jambo Mungu atalitenda kwetu 😭😭🙏😭😭
Wajina Asante kwa faraja Mungu akutunze kwa ajili ya watu wengi
Nimepitia majaribu mengi,lakini through Nkone Mimi niliuona mkono wa Bwana,ninapigwa vita katika familia,kutengwa nao,lakini Mungu Ni Nani through Nkone am blessed,life still continuing
Machozi mengi, mama Mungu akubaliki sana, nakupenda ntaaka kukuwona macho Kwa macho. Nmetoka Rwanda
Dadawe sauti yako yaponya mioyo. Mamangu mzazi kafanyiwa opareshion 8 huwa namwona kama muujiza na hilo hunifanya niutafute uso wa Mungu sana. Naomba siku moja nikutane nawe uso kwa uso
Nipo hapa New Jersey U.S.A najifariji na nyimbo zako.Katika huzuni na majaribu wengi tunachanganyikiwa maana wengi wa karibu wanatuacha lakini kumbe Mfalme mwenye uwezo yupo muda wote kufariji.Ubarikiwe sana
Dada upendo huwa unanibariki sana ktk nyimbo zako. Barikiwa sana Dada
Sjawahi kukutana na interview kama hii it's more than blessing 🙌💖
Mungu akupe nguvu mpya uishi miaka mingi your;; such a encouraging woman ofGod😭😭😭am a upcoming Artist and i am encouraged
Ubarikiwe sana UN.Nakupenda sana kwa ajili ya Utumishi wako.Dada wa ukweli.Unayevaa vizuri .Title Vitenge.
Nakukumbuka tangu ulipo solo na Yombo ule wimbo YESU YESU Anaokoa......
BWANA AENDELEE KUKUTUNZA
Ume ni himiza tena katika Imani maman nashukuru Mungu kuku tiya nguvu, kutoka Congo 🇨🇩 nazipenda nyimbo zako
Jina la Bwana lisifiwe. Umenitia moyo sana Mchungaji Upendo. Mungu akubariki na akuzidishie Kibali na neema
Ameen,,inatia moyo sana,,b blessed mtu wa Mungu
MUNGU akuinuwe zaidi kwa huduma yake ❤❤❤
Mungu kubariki sana mom nakupendaga sana mom yangu ❤️❤️❤️🙏🙏🙏
To many more blessings Upendo nkone..
God bless you woman of God🙏
Mama Mungu akubariki nimependa interview yako, hakika Mungu azidi kukuinua
Ubarikiwe mama yng, ctokusahau kwa uimbaji wako
Asante sana Mama Fadhili na Zabron.. ninachoweza sema ni MUNGU akubariki sana na akunze sana..
Ubarikiwe Dada angu upendo....Mungu akuinue katika viwango vya juu na vilivyo na kibali mbele za Mungu
So wanderfully woman; nimekupenda sana kwa huduma yako; be blessed
I was hopeless but thru this song am feeling encouraged 🙏
Mama yangu kipenzi nakupenda mungu akulinde mama
Ubalikiwe sana mamangu
Umenibaliki kabisaa
Yupo Mungu msemaji wa mwisho🙏
I've been looking for this interview, be blessed woman of God
Kweli mama mungu akubariki sana ninapo sikiya nyimbo zako kweli zinani fariji moyo wangu sana
Nakupenda sana Upendo Nkone, unafanyika baraka sana kwangu,
Mungu akubaliki mamy upend ♥️♥️
Ubarikiwe sana mama nyimbo zako zimenitowa mbari
Amen Yupo Mungu Msemaji Wa Mwisho 🙏🙏
Nabarikiwa sana kutoka Kenya
Mungu akubariki sana
Mama Mungu. Akubariki kupitia huu ujumbe nimevuka Leo nimevuka Mungu Jameni akubariki sana mama shikia hapo maana zawadi utapewa
Upendo nimebarikiwa Sana zidi kumtumikia Mungu mama next naomba awe angel bernard please Kaka Huruma charles
Utukufu kwa Bwana
Unanibariki sana mama..MUNGU akutunze sana
Be blessed mom 💜💜 Mungu akutunze maneno yak yanatia moyo sana
upendo ni sawa na kinanda nimefanya naye kazi na Malumbu yaani ye all time kazikazi!!!!
Upendo nkone nimerudia zaidi ya mara moja kuingalia hii interview ninavyoiangalia hii interview yako MOYO wangu unapitia wakati mgumu sana lakini kwa maombi yako nasikia Amani moyoni mwangu nasikia faraja naona mzigo umenituka,,,, MUNGU akubariki
Aiseee ata mimi nina wakati mgumu sana Bishala haziendi mtaji umekwisha mke wangu anaklibia kujifungua ata nyumban hela ya kula sina pamoja nakujitahid na kuhangaika sifanikiwi ila hapa nimepata moyo ....nguvu mpya ,yupo Mungu msemaji wa mwisho
Mungu akubariki sana mama kwa huduma yako,Kuna sehemu Mungu anakupeleka
And this woman of God can preach and bless many , upendo u do inspire me alot
AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 barikiwaa mtumishii wa Mungu
Amen dada ubarikiwe sana tena sana.
😩😩😩💞 mom nakupenda sanaaaaaa
Amen Amen interview inaishi mpaka 2021
Mungu akuinue zaid mama nakupenda
wow Mungu aendelee kumtunza kwa ajili yetu.
Powerful 🙌😭umenitia moyo sana
Maa Shaa Allah.. Interview nzuri
Ubarikiwe mama
Nmebarikiwa sana, Kumskiliza Upendo Nkone
Mungu akubariki sana mama🙏🙏
Nmebarikiwa sana na kipindi
Nakubali sana mtumishi
Unachosema ni kweli kabisa.Mungu akubariki sana mama.
Nitamwabudu mungu wa upendo nkone
Kama vile nikiimba nikitoka Kwa madhabau watu wanapopinga makofi nami moyoni nasema Mungu upokee sifa..Mungu nisaidie tu
interview imejaa uwepo wa Mungu
Indeed ..I thank God it draws me closer to Him..wengine wakiacha yeah Yuko na Mimi
Mama mama mama.umenitoa machoz kwa kweli.yani nimejiona kama nimetua mzigo wangu wooote
una sauti nzuri ubarikiwe sana!
Kwa wiki naitazama mara 3
It's well Upendo Nkone
My mum nakupenda sana 💞💞
Ubalikiwe sana Mama
Hawa ndo waimbaji wanaohitajika katik kipindi hiki ,,ila huwa unanyimbo za kuponya mioyo ya watu na kuwainua ukwel nakukubali Sana mama❤️❤️❤️
May God bless for good songs. For the encouragement barikiwa
Brown from huye Rwanda nampenda sana huyo mama 🌻
Muri rubavu rwanda
Hakika Mungu ni msemaji wa mwisho
Nimetoka kenya,mama umeninguza kweli.napitia mangumu lakini naamini mungu atafanya nji
Nimependa sana wimbo huu
😭😭😭 utabaki na Mimi yesu
So inspiring...I like your ministry upendo...May the Lords grace and favor locate you..
Da mungu akubarik
Amen asante Maman😭
Sio siri nimekuwa emotional jaman
Nimebarikiwa
Amen Amen am blessed
Barikiwa maman yangu
Ooh God !! Toka nilivoanza kuangalia ninalia tu,Naona unaongea na Mimi kabisa...
I LOVE YOU WOMAN OF GOD YOU INSPIRE ME SANA❤❤❤
Mama wewe Ni wa aina yake nakuambiaa Mungu akutunze
Upendo nkone unatiamoyo sana
nabarikiwa sana nawe
I'm blessed
NAMPENDA HUYU DADA HATALI.
Haluyaa
Best Singer
wow..... so sweet
Amém 😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
03/09/2024 utabaki na mimi😊
Baraka sana
Amen, very powerful
Jambo Mama Upendo. naomba uniombeye, Mungu akubariki Sana. Kwa fareja kubwa. Asante, Amena!
😭😭😭😭😭😭
Namwomba MUNGU anifanye kama wewe, niombee na uniachie vazi lako kwa jina la YESU niko nyumaa yako.
Omba Mungu akupe vazi lako kwa sababu uwezi jua vazi lake lina changamoto kiasi gani
Nimeyapitia mengi,duniani unakataliwa,unasemwa uongo,unasengenywa,unatusiwa,unachekwa,mamayo ndio huyo na analia,hujui pa kwenda,uliowasaudia wakishavuka daraja kiboko ndio hiyo,furahini
Jmn jmn uyu mama ndo muimbaji sito acha kumpenda kwakweli
Amen Amen
Very touching
Kweli Mungu diyi msemaji wamwisho
Hatutaabika MUNGU ni mwanaminifu