Tunalo la kujifunza kutoka kwenu UVUKE,, Uvumilivu, na Busara, Subira Mungu awabariki mnoo ni miaka kadhaa Sasa Mmedumu mkivipiga vita vya imani, Binafsi Nawapenda mnooo
Mbarikiwe sana waimbaji wa Kwaya hii Mungu Azidi Kuwatunza na Kuwalinda ili muweze Kumhubiri Kristo Yesu Mfalme Mfufuka katika Uinjilisti kwa njia ya nyimbo
Tunalo la kujifunza kutoka kwenu UVUKE,, Uvumilivu, na Busara, Subira Mungu awabariki mnoo ni miaka kadhaa Sasa Mmedumu mkivipiga vita vya imani, Binafsi Nawapenda mnooo
Kabisa mkono wake si mfupi ,wala sikio lake si zito
Mbarikiwe sana waimbaji wa Kwaya hii Mungu Azidi Kuwatunza na Kuwalinda ili muweze Kumhubiri Kristo Yesu Mfalme Mfufuka katika Uinjilisti kwa njia ya nyimbo
Hakika nimechelewa kuufahamu wimbo huu. Nimebarikiwa mno na wimbo huu maana unanipa tafakari. Mbarikiwe sana UVUKE ❤❤🎉🎉🎉
Wimbo wa kufariji roho iliyo fazaika, Asanteni sana Mwenyezi MUNGU awabariki Mara kumi elfu.
Naitwa mwalimu Jeff from Nairobi Kenya..Mimi ni tv presenter..wakenya ubarikiwa na nyimbo za uvuke choir,muno..muendelee vivyo hivyo...
Mungu azidi kuwabariki sana kwa huduma njema hii ya uinjilisti kwa njia ya nyimbo 🙏🙏🙏
Nimeongeza wimbo kwenye nyimbo zangu pendwa UVUKE. Wimbo mzuri Sana. Ila gitaa la solo ni hatari sana
Naipenda sana UVUKE. Nawafuatilia nikiwa Kibondo Kigoma.🎉🎉