Kifo Cha kushtua eneo la Kisii Kijana apokea barua ya kazi BAADA ya siku mbili alianguka na kufa💔

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @lispermisiga8702
    @lispermisiga8702 9 днів тому +8

    Mungu wa mbinguni usikubali hawa wachawi wapate amani ata wao waanguke mmoja kwa mwingine adi waishe kabisaa , walaaniwe maumbwa wao.

  • @CiliviaOnyari
    @CiliviaOnyari 10 днів тому +22

    Another day crying with strangers 😢 💔 😪

  • @HHfhf-o9g
    @HHfhf-o9g 9 днів тому +12

    Fear kisii kwa jealous pole sana😭😭😭😭

  • @IvyGesare
    @IvyGesare 10 днів тому +15

    😭😭😭😭😭gakii eeeh enyewe wachawi wako kisii God comfort the family

    • @janetmwende6783
      @janetmwende6783 9 днів тому

      I wonder with this community.its very green.but uchawi

    • @thomasmomanyi285
      @thomasmomanyi285 9 днів тому +1

      Ujawi hakuna na haifanyi, I lost my parents to heart attack both died while talking and appearing to be okey ,turn of event is postmortem proved that they died of heart attack, pole plse weka ujawi kando, Mamangu kama amelala aliita Ndugu na dadangu akaomba akasema sifiki kesho akalala for good.

    • @sarahanyango505
      @sarahanyango505 9 днів тому

      Don't joke with kisii truth be told our friends don't expose their true self for fear of witchcraft. What they're in town is never exposed at their rural for fear. ​@@thomasmomanyi285

    • @clintonobegi8458
      @clintonobegi8458 9 днів тому +4

      ​@@thomasmomanyi285mchawi nini sasa hụyu pia ni heart attack wachawi wanakugorogea ata iyo heart attack Kubali wachawi wako

    • @jospinemokeira
      @jospinemokeira 9 днів тому

      Gaki gusii seito

  • @JanoEvra
    @JanoEvra 10 днів тому +8

    Hao wamefanya hayo mungu atalipa haraka sana mungu sio binadamu

  • @anthonyguto162
    @anthonyguto162 10 днів тому +11

    Very painful 💔 after finishing University and dies immediately after getting teaching job. Lini wakisii wataacha ushirikina 😢

  • @Vymo-lv9cu
    @Vymo-lv9cu 9 днів тому +4

    Wakazima taaa 😭😭😭😭 mungu usiwapee amani so hurting 💔💔😭😭😭

  • @clarenduta1306
    @clarenduta1306 10 днів тому +5

    Wakisii ni mijitu yenye iko na wivu ya ujinga sana sasa huyu kijana mumeuwa si ndio angesaidia kijiji yenu nimesikia vibaya sana,, pole sana my sister,,

  • @kamrembomuthaka4645
    @kamrembomuthaka4645 10 днів тому +2

    Wooiiyi aki Mungu awatie nguvu,chenye unaskia aki akutulise juu nipangumu kueleze,maieh ya siku hizi tumesungukua na mashetani ya watu ,ni neema tu ya Mungu ituonekanie.

  • @josephinesheehama752
    @josephinesheehama752 9 днів тому +3

    Ashi i came across with this video it's very emotional for the younger soul to be taken away by devil we are living in a cruel world ee ohh that cry i have experienced it is very painful. Dear mother/sister Aunty God will comfort you with time dear! All the way from Namibia 🇳🇦 SADC African countries

  • @flurancembone4824
    @flurancembone4824 10 днів тому +3

    Huyo ni kurogwa na mwenye kurogwa bake vile anaangaika ,na ako karibu na hiyo familia. Kimbilieni maombi. For deliverance,Huyu mschana baado young may God favour one them work

  • @everlineadhiambo871
    @everlineadhiambo871 8 днів тому

    Mungu wangu Kwa mini umeallow this to happen Lord
    Your wisdom surpasses all understanding

  • @betty4o43
    @betty4o43 9 днів тому +2

    Niuchungu sana poleni sana mungu yuko umasikini ni wamnda kuna mazuri mbeleni

  • @RuthOndieki-ce4jv
    @RuthOndieki-ce4jv 4 дні тому

    Yaaan kazi ya abagusii n kuzimaa taa yaani mungu afanye jambo tu kwa hii familia ujungu sana😭😭😭😭

  • @ruthogega5910
    @ruthogega5910 10 днів тому +1

    Poleni sana familia ya akina Brian Mungu awatie nguvu vumilieni

  • @HannahMbaka
    @HannahMbaka 10 днів тому +1

    Poleni sana dada jitie nguvu mungu mwenye alimuumba anajua sababu so painful. But tunamshukuru mungu Kwa lolote

  • @OliphaMonyangi
    @OliphaMonyangi 10 днів тому +1

    Mungu wazaidie ak wachawi mbna hamtaki kuona watu wakisonga mbele may God protect the famili😭😭😭

  • @jemilahfaith1060
    @jemilahfaith1060 9 днів тому +1

    So painful walai, poleni Sana mungu awatie nguvu wakati huu mgumu rip young soul

  • @TeresaNunda-z6t
    @TeresaNunda-z6t 5 днів тому

    So sorry for the family lkn wakisii noborogi, endamwamu neribero waaa. Mungu shuka Gusii uwaokoe

  • @Perisooko
    @Perisooko 8 днів тому

    Poleni sana,may our almighty God above all protect you in all ways.

  • @nathanfrancisondieki6586
    @nathanfrancisondieki6586 10 днів тому +2

    Mungu ndio anajua every thing

  • @monicamose1710
    @monicamose1710 9 днів тому +1

    My dear sister i feel the pain the family is going through.only God knows.

  • @PeninahMwangi-n4m
    @PeninahMwangi-n4m 7 днів тому

    Hii imeniguza... Mungu wa huruma shuka utende kwa hii familia

  • @MaldrnA
    @MaldrnA 10 днів тому +3

    Mi nashangaa na watu wengine,Sasa mwenye amemua amefaidika na Nini,watu wenye mko na Tabia ya kuangamiza watoto wa watu mgomo,na mkumbuke mungu anawaone

  • @jecintawanjiruwainaina
    @jecintawanjiruwainaina 9 днів тому +2

    Wooi mungu why this 🤦🤦🤦

  • @marrieimmaculate
    @marrieimmaculate 9 днів тому

    Poleni jameni. Huu ni uchungu mkali mkali sana.
    ABAGUSII TIGA OBOROGI

  • @roseobegi
    @roseobegi 10 днів тому +1

    Poleni sana kwa familia,mungu ako nanyi msijali 😢😢😢

  • @NanseMo
    @NanseMo 10 днів тому +1

    Poleni Sana kwa familia mungu awatie nguvu ni uchungu Sana 😭😭😭😭😭

  • @ruthmonene3944
    @ruthmonene3944 7 днів тому

    😭😭😭😭😭😭God why.......let them follow Brian one after the other😭😭😭😭😭😭😭

  • @elizabethoriffa8194
    @elizabethoriffa8194 8 днів тому

    Ohhh... lm crying with her,may our good LORD give you peace

  • @gracebonna5815
    @gracebonna5815 9 днів тому

    Take heart Mungu hufungua njiaa pasipo

  • @rindkin1856
    @rindkin1856 9 днів тому +1

    Mungu wapee uvumilifu tafadhali

  • @nyarongilydiah3860
    @nyarongilydiah3860 6 днів тому

    May God comfort you gaki gusii yaito ni mbaya.pray pray

  • @rhodaamuramwa619
    @rhodaamuramwa619 9 днів тому +1

    😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭tunalia pia,so hurting

  • @EuniceMoraa-x3q
    @EuniceMoraa-x3q 9 днів тому

    Aki pole,wacha mungu awatie nguvu.inauma jameni

  • @saragichana2768
    @saragichana2768 7 днів тому

    Poleni Sana may God give you strength to overcome it

  • @Kerubos
    @Kerubos 9 днів тому +2

    Wachawi wa kisii hawananga huruma 😢😢😢😢😢

    • @fridahmugambi-n1d
      @fridahmugambi-n1d 9 днів тому +1

      @kerubos umefika meru,my nephew died immediately after reporting to his work station

    • @Kerubos
      @Kerubos 9 днів тому

      @fridahmugambi-n1d haki pole

  • @Kerubos
    @Kerubos 9 днів тому +1

    Lakini kwa nini wanafanya hivyio Yesu wasamehe kabisa😭😭😭😭😭

  • @Beliers
    @Beliers 10 днів тому +2

    Kama ni kwa mpango wa God hatuwezi fanya chochote but kama ni kwa mpango ya binadamu God onekana,rip

  • @brigitnduku6817
    @brigitnduku6817 9 днів тому +1

    yani mtu anaronga mtoto wamtu n akona watoto.aliona2 atafauru 😢😢😢 mum roho wa mungu akutangulie

  • @BensonMakari
    @BensonMakari 10 днів тому +1

    Yeyote aliyemuua radhi yah Yesu impige

  • @jecintawanjiruwainaina
    @jecintawanjiruwainaina 9 днів тому

    Trust in God my sister, God will open the door of bressing 🙏🙏

  • @Trizah-254-e
    @Trizah-254-e 7 днів тому

    Mwenye amefanya haya MUNGU amemwona😢😢

  • @evelynesabina8168
    @evelynesabina8168 10 днів тому

    Polenta sana to the family.. gaki gusii yaito mwabeire bobe

  • @evansrioba6874
    @evansrioba6874 4 дні тому

    Pole sis yote achia mungu

  • @DianaOngoro-f9w
    @DianaOngoro-f9w 9 днів тому

    😭😭😭😭ghaii yee mungu awatie nguvu aki this is so sad ,kisii n home but waogope weeh

  • @MorachaElizabeth
    @MorachaElizabeth 8 днів тому

    Mungu asipatie waliofanya hivyo amani

  • @patodindoagapeloveministri2445
    @patodindoagapeloveministri2445 9 днів тому

    Uchawi imesambaa kote kote,watu waombe kabisa.Most people no longer have good will.Mungu asaidie watu wake jameni.

  • @josiahkinaro6901
    @josiahkinaro6901 9 днів тому +1

    pole sana I come also from kisii but only God knows

  • @ZinabAlzinab
    @ZinabAlzinab 8 днів тому

    Inauma sana ila mama ucjali uko na mungu pole 😭😭

  • @gakyjaklin450
    @gakyjaklin450 10 днів тому

    Pole sana kwa family, mungu awafarì sana jitie nguvu our sisters and all parents

  • @Ireneatieno-p5r
    @Ireneatieno-p5r 9 днів тому

    wakisii wacheni uchawi na tabia mbaya, kifo na laana iwafuate kabisa, mshindwe katika jina la yesu.. so 😭😭 sad

  • @JaneNyabs
    @JaneNyabs 5 днів тому

    😢😢😢why am crying 😢😢

  • @Lyn254-e9x
    @Lyn254-e9x 8 днів тому

    Sorry sister mungu awape nguvu

  • @hedrickimbuji
    @hedrickimbuji 9 днів тому +1

    Machozi mungu anaona

  • @leilangala9304
    @leilangala9304 9 днів тому

    Mungu wa Rehema awatie nguvu Jamanii 😭😭😭😭

  • @ApakaNaomey
    @ApakaNaomey 8 днів тому

    Poleni sana for the loss gakii.

  • @lydiahbosibori2189
    @lydiahbosibori2189 10 днів тому

    Makiwa kwa family ,yaani nmelia this morning 😢😢😢😢hata sina comment

  • @beavonnyaboga7816
    @beavonnyaboga7816 10 днів тому +1

    So unfortunate,may his soul rest in eternal peace 🙏

  • @roseyhoney478
    @roseyhoney478 7 днів тому

    Gaki gusii na uchawi aki nipate hii family niwajukue Nairobi kwa nabii wetu apostle peter manyuru hao wachawi watakufa wote immediately

  • @oppoopportunity7046
    @oppoopportunity7046 8 днів тому

    😭😭😭😭😭 mwenye amefanyahivi amezimaa taa ya hiii boma alaniwe mpaka vitukuuu inauma sana

  • @loisekimuyu2514
    @loisekimuyu2514 8 днів тому

    This is soo sad I lost my son some few moths after graduation this year July 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @JanetGacheru
    @JanetGacheru 9 днів тому

    Pole sana God will provide everything

  • @JESCAHMokera
    @JESCAHMokera 10 днів тому

    Poleni sana kwa family it so painful 😭😭😭😭😭😭😭

  • @Rebecca-w2m9q
    @Rebecca-w2m9q 8 днів тому

    Kisii nayo mmezidi aki si mngehurumia hii familia jameni😭😭😭

  • @Millicentoricho
    @Millicentoricho 10 днів тому +1

    Why God why, there are somethings you should not allow to happen ,so painful.

  • @janewayua6412
    @janewayua6412 9 днів тому

    Pole sana.mungu awape nguvu

  • @racheloroo6585
    @racheloroo6585 8 днів тому

    So painful and heartbreaking 💔

  • @CarolineNyanchama-k5y
    @CarolineNyanchama-k5y 10 днів тому

    Take heart abana Baminto 😢😢😢

  • @angelelinah8657
    @angelelinah8657 6 днів тому

    My condolences to the family 😭😭

  • @anneanji4818
    @anneanji4818 10 днів тому

    Ooh God revive & strengthen this family 😢😢

  • @keruboirene8538
    @keruboirene8538 9 днів тому

    really sad and painful,Rip.may God comfort you in Jesus Name.

  • @OnsomuThadeus-w7x
    @OnsomuThadeus-w7x 10 днів тому

    Pole sana let Our God take care to the entire family

  • @NancySawe
    @NancySawe 9 днів тому

    Pole sana familia,take heart sisy God has a reason why it happened at this time

  • @20daily23tasks
    @20daily23tasks 5 днів тому

    Wah pole

  • @EstherOyaro-x2u
    @EstherOyaro-x2u 9 днів тому

    So sad😢😢😢😢,Pole sana

  • @JacklineAmisi
    @JacklineAmisi 8 днів тому

    😢May he rest in peace 🙏

  • @mueni4690
    @mueni4690 10 днів тому

    God please protect this family and their children. Have mercy please Father God.

  • @faithpius6401
    @faithpius6401 9 днів тому

    🙊🙊🙊🙊🙊😭😭😭😭😭😭😭😭😭mungu yote tunakuachia...poleni sana ...imeniuma sana🤔

  • @رحابالشمري-ذ9ح
    @رحابالشمري-ذ9ح 9 днів тому

    So painful 😢😢😢 aki kisii

  • @phylismarube
    @phylismarube 10 днів тому +1

    Pole sana kwa family 😢😢😢😢😢

  • @AdelideMakokha-i8y
    @AdelideMakokha-i8y 8 днів тому

    Mungu yupo😭😭

  • @ZinabAlzinab
    @ZinabAlzinab 8 днів тому

    Pole mamy utapta usaidizi

  • @Eddy_wamishey1
    @Eddy_wamishey1 9 днів тому

    Very painful story ,God comfort this family they are surrounded by horrible people with black heart ,take heart sister 😢

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri 9 днів тому

    Gaky yeeee pole Sana, mware korora amabera gaky 😭😭😭

  • @clintonobegi8458
    @clintonobegi8458 9 днів тому

    Thats why am saying always mkipata mchawi choma bila huruma ju hawananga huruma ata yaaani how now hii ni uchawi wa mjana 😢😢😢😢😢😢😢

  • @DOROTHYKemnto
    @DOROTHYKemnto 10 днів тому

    Pole haki endamwamu ya gusii embe nyasae tokonye

  • @elvismakori139
    @elvismakori139 10 днів тому +2

    Abarogi bare Nyamware gaki

  • @Ferricks
    @Ferricks 9 днів тому +1

    Hug's momma 😢😢😢😢😢

  • @DelphineNyaboke-v6i
    @DelphineNyaboke-v6i 9 днів тому

    So painful 😭 take heart

  • @bethbandika
    @bethbandika 9 днів тому

    Poleni sana familia inauma

  • @eugeneobegi6434
    @eugeneobegi6434 10 днів тому

    So so painful 😢 namba yenye amesema inaleta jina tofauti

  • @heinrichschnitzel7032
    @heinrichschnitzel7032 9 днів тому

    May the soul for this young man rest in peace and mchwawi asipate amani for the rest of his or her life. Poleni sana family

  • @Tamarrind97
    @Tamarrind97 9 днів тому

    😢😢😢😢😢 Poleni sana.

  • @Sarah-r6u3i
    @Sarah-r6u3i 8 днів тому

    Haki wakazima taa yenye ilikuwa imeanza kuwaka kwa boma 😭😭Gaki uuuiii !!

  • @elizabethmwalo8424
    @elizabethmwalo8424 10 днів тому

    Yaani watu wauze mashamba yao Kisii, wanunue mahali pengine kwa sababu ya wachawi au? Hii inauma sana. Na hawa wachawi tunaomba mungu awaone wasiwahi ona amani maishani yao!

  • @nyangaresionchiri20
    @nyangaresionchiri20 10 днів тому

    Mungu alimjukua pole

  • @fridahesau4314
    @fridahesau4314 10 днів тому +1

    Gaki gusii yaito gaki😭😭😭😭💔

  • @Purity-j5j
    @Purity-j5j 10 днів тому +6

    Walimroga aki. Na nilikam kunotice thats kwa family akosi mtu mbaya mwenye wivu

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 9 днів тому

      kwetu ni watu wabaya hata si mmoja,weh uncles na auntie's mimi pana tambua hao watu..they smile with you but deep down wana wivu kama nini

    • @Purity-j5j
      @Purity-j5j 9 днів тому

      @carendeborah5687 na Mimi nataka kujua wivu na uchawi ni kitu same juu mostly sionangi kisii tukiwaa wachawi sanaaa wivu ndio iko juu sana than uchawi

  • @kevinnyamora
    @kevinnyamora 10 днів тому

    Pole sana Harriet na familia yote.