Mash allah tabarak rahman Shukran sana habibty allah akujalie kila la kheir utufundishe daima Allahuma Amin yarab Allah akukinge na kila shari amin YARABI
Kwenye ladha hatuna shakka. Hujui tu umeokoa ndoa ngapi na umependezesha harusi ngapi na kujenga afya za wengi. Allah akutimizie killa unalo hitaji, Madame!
Assalaam Alaikum Warahmatullahy Wabarakatuh MashaAllah TabarakAllah Nimeipenda sana in shaa Allah nitaijaribu. MashaAllah Your cooking pot nzuri sana JazakAllah kheir Shukran
Mashallah Tabarak Allah Mimi mzazi wa Zanzibar na familia yangu yote na Alhamdullilah wazee wetu walikua wapishi sana lakini sijapata kusikia Sufiyani biriani hata siku moja toka utotoni mpaka hii leo kizee jee ndugu yangu nifahamishe huu ni upishi mpya au wazamani ulikuwa na jina linguine??? Mashallah Biriani Inaonesha nzuri sana 🙏
Mashallah Tabarak Allah Napenda sana mapishi yako na mengi yake ni asili walivyokua wakipika bibi zetu ! Alhamdullilah Siku hizi mapishi yote modified big time! Wewe endelea hivyo hivyo
Mashallah! Inakaa tamu kweli. Haswa korosho, my favorite!
Tushapata kesho kubadilisha chakula shukran habibty kwa video zako zote ni mzuri sana
MASHA ALLAH Kwa new Biryani.
Mashallah mum shukran kwa pishi vle ni mweupe kama sufi ndio ukaitwa sufiani
Masha Allah, Asante sana dada ngoja nasi tujaribu lnsha Allah
thanks aunty for this recipe, niliwapikia wageni walifurahi sana, thank you so much May Allah reward you
Mashaallah
Maashaallah tulikumic
Wow! Asantee my dear.. 👌👍😋 na mie nitaipika iyo biriani! ❤🤗
Tulikumiss 😊😊
MASHALLAH SHUQRAN
Thanks nice video
Shukran sana ❤️
Mash allah tabarak rahman Shukran sana habibty allah akujalie kila la kheir utufundishe daima Allahuma Amin yarab
Allah akukinge na kila shari amin YARABI
Shukran you have been missed ,😘
Jazaka ALLAHU khairan . Tabaraka ALLAH
Jazakallah khayran
Mashallah shukran sana
Mashallah video mzuri sana Allah akubarik
Mashallah Mashallah shukran kwa pishi
Mashallah 👌😋
Mashallah nice video
Ahsante sana
Mashallah ni zuri sana. Nitajaribu na mm
inshallah
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Mashaallah 😋😋 . Tume ku misssss sanaaa habibty 😍Allah akuhifadhi yaraab
Aleikum Musalaam, shukran habibty Amin ❤
Mashaa Allah
Mashallah pishi pambe allah akinijaalia nitalipika
Inshallah
Looks delicious
Very delicious
Maa Shaa Allah 💕 . Ntajarib kupika n Mm coz napenda kujifundishia kwako . Aroma 🥰
Shukran 😘
Thank you so much for sharing your recipes, you are a life saver
My pleasure thank you for your support
Tunaomba utuandalie recipe ya biryani masala ya aroma of Zanzibar.shukran Allah akupe Afya tuzidi kufaidika kwa mafundisho yako
Mbona nimeeleza kama niweka link hapo chini recipe ni ya zamani sana
Mashallah asante
Shukran 😘
Asaalam alykum, inshaallah you are well, happy to see you back, mashaallah shukran jazakallah
Aleikum Musalaam, shukran habibty
Hi Fathiya - am gonna try this tomorrow ! wish me luck ....
You will do well don't worry, hurry up I gotta another one on the way
Kwenye ladha hatuna shakka. Hujui tu umeokoa ndoa ngapi na umependezesha harusi ngapi na kujenga afya za wengi. Allah akutimizie killa unalo hitaji, Madame!
Alhamdulilah,,
Well done sister. Naomba utengeneze video ya vipopoo (vitobwesha) please 🙏🥰
Assalaam Alaikum Warahmatullahy Wabarakatuh
MashaAllah
TabarakAllah
Nimeipenda sana in shaa Allah nitaijaribu.
MashaAllah
Your cooking pot nzuri sana
JazakAllah kheir
Shukran
Shukran 😘
Thanks dear you add new dish for me and my family 💕
Most welcome thank you for your support 😘
Mashallah hasbiyallah Allah akuhifadh habibty 😘
Amina kwetu sote ya Rabb 😘
IF YOU WOULD LIKE TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH KINDLY FOLLOW THIS LINK ua-cam.com/video/3sxNAXqpoiA/v-deo.html
Shukraaan saana Tunakupenda sanna ❤️ Inshaallah from znz
Shukran 😘
Wa'alaykum Salaam Warahmattullah Wabarakattuh.
Maa Shaa Allah
Maa shaa Allah
Unaonesha test yummy.
Ila huo unga utautupa si ni israf?
Wekeni foil hlf cover nzr hlf afunike na lid haitotoka mvuke.
Dear haifai kutumia foil ktk kupika inaleta madhara makubwa canser bora kujiepusha kama unatumia..
Beautiful!! only if we couldn't use the flour dough to save the steam is a waste is there any other altenative? Kuleni kunyweni msisirifu😋
You can cover it with foil paper
Mashallah Tabarak Allah
Mimi mzazi wa Zanzibar na familia yangu yote na Alhamdullilah wazee wetu walikua wapishi sana lakini sijapata kusikia Sufiyani biriani hata siku moja toka utotoni mpaka hii leo kizee jee ndugu yangu nifahamishe huu ni upishi mpya au wazamani ulikuwa na jina linguine???
Mashallah Biriani Inaonesha nzuri sana 🙏
Huu ni upishi kutoka India sio asili ya ki Zanzibari, samahani nilisahau kuwaelimisha hilo
Mashallah Tabarak Allah
Napenda sana mapishi yako na mengi yake ni asili walivyokua wakipika bibi zetu !
Alhamdullilah
Siku hizi mapishi yote modified big time!
Wewe endelea hivyo hivyo
Aslm alkm hbbty mbona hatukuoni sn mashlh nzuri
Aleikum Musalam nipo majukum mengi
@@aromaofzanzibar pole sn inshlh allah akufanyie sahal
Mashaallah seems soo tasty,nauliza kama huna cream is impossible uweke maziwa kawaida kwa marination ya kuku?
Sorry not marinate but kwa kupika
Cream nimmuhimu kwa ladha na texture ukiweka maziwa itakuwa rojo jepesi sana
Shukran habibty
Ma"Sha"ALLAH Always The Best Aroma of Zanzibar Umepotea Kidogo ❤ i Love ur Recipes Saana saana From 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
My pleasure 😊
Nauliza ni lazima ueke heavy whipping cream ama yogurt pia yafaa
Kuweka cream ni kuongeza ladha kwenye pishi Mimi sijawahi kutumia bila cream
My sister , may I have the link for aroma biriani masalla 🇰🇪
it's at the bottom on the description after the ingredients
Tunakumiss Siku nyingi hatujakuona. nimesikia uko hapa Oman lkn Corona imetuzuwia kuonana
Nipo na changamoto za Omani na pirika
Missed you habbty
Me too
Thanks for the recipe, but unfortunately I don't understand the language and the writing in the description box
Thank you dear but there is a link for English pinned right on the top
@@aromaofzanzibar ahh okay dear I well watch the your eng. chanal
Ila naomba kuuliza majani ya nanaa ni yapikwajina lingine
Mint Kwa English
Bismilah Mashaallah😋😋 hujatuambia hil birianii ni la asili y wapii naomb kujuw Plz
Asili ya India