Lazima Alikiba ujengewe sanamu ap Tanzania kiukwl wew nifundi wamziki kabisa wew ninyao za umeme haukamatiki kimziki bug up fundi felicitation. Mama kazaa mtoto ,,,,,
BOSS wangu ndie na mba Moja mama tunaee na tuna tamba naee wakulia na waliee kwani kulia shingap huyo ndo king mwenye mziki wake upo haabari mnayo💪💪💪💪💪💪
Daah mimi sio ccm,ila hongera ALIKIBA nyimbo nzuri sana sana,na hongera ziende kwa walotengeza hii beat,na huyo alopiga kinanda...kauwa,kazidi kuifanya ngoma kuwa kali na kubwa.
Apewe maua yake king 👑 kiba
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪
Huyu king kiukweli kashindikana sasa hadi Taarabu🙌🙌🙌 acheni like zenu hapa
Kwani kidogo uyu jamaa kashindikana kabisa.
Unexpected kabsa mzee huyu ni fundi
Ahhaaa mwaka huu nimeanza nahiikaz
Nakukubali sana brother
Maua yako king kiba🎉🎉🎉🎉
Ila King Ameshindikan Kbs Yan Kokote Anapita Tu Bila Xhaka Kihukweli King Is Only Oone🎉❤🎉✅✅✅✅✅✅🔥🔥🔥🔥🔑
sijawah fikisha like mia❤ naombeni bas leo
King 👑
Kumbe huyu kaka hata mziki wa taraabu anaujua bx huyu jamaa ni jini kabisa🎉🎉🎉
King kiba Huyu ndie Star wa Muziki wa bongo flavor
The King tunatamba nae...🔥🔥
Katoa kibao hit kiba Cha mama subiri uoone watoto wakiiga baba ssa
King 🤴 👑 Kiba 2025 fire 🔥 to fire 🔥 🔥🔥🔥🫡🫡🫡🫡🫡
Kidumu chama Cha Mapinduzi 👍🏾
Kwani style zote umepiga wewe nomaa kbs
King 👑👑 KAMA 👑👑.
Wewe ninoma mzee
🎉🎉
Nice one my king
👑🥺❤️🔥🙌
King unatishaaaaaaaaa
🔥🔥🔥
Kwajili ya king nyimbo zuri
We jamaa ni fundi sana
Hilii jamaaa jinii duh
Kwanza ulifanya tuupende wimbo wa simba japo wengine ni yanga, sasa utawafanya hata wapinzani waburudike na hili goma 😅😅😅😅😅😅😅 Wewe King wewe 🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
Full Package king Wa Mziki kaka Mkubwa Kama Una Mkubali Only One King Mfalme Wa Mzk Tz like Comment
❤🎉
Yebabaaaaaaaa
🤴 👑
King
Asante sana king kiba kumuimbiya mama wa Africa kweli wewe ni mfalme 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🎉🎉🎉🎉
AAAAAAAAAH TULIA 🥴🥴🥴🥴 NYIMBO AMEKUANDIKIA MZEE RAMBO YUNO 🥴🥴🥴🥴 AYA LESIGO 🕺🕺🕺
💯💯
Iam from mozambique 🇲🇿🇲🇿
jini la music duniani anaepinga aje na msanii wake apa
King kiba we mutu mubad🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 yako hongera kwwa Kaz nzur😊
King mwenyewe
Uyu king hatar xn
Wa kwanza king kibaaaa🔥🔥🔥🔥
Fundi sana huyu Kiba
First comment is from a Mozambican. Alikiba best singer ever
Ila Kiba ameshindikana
ME SIJATAKA ALIEIMBWA ILA MEPENDA MIONDOKO YA TARABU KING WE NI NYOKO✨️
watasubiri sana mpaka watashoka hatuta wai shindwa kamwe nakufa kutoka Congo DRC
Kig❤❤❤❤❤❤
King 🤴 kiba🎉
M'falme king kibaa 🇹🇿-🇰🇲 ngoma kali sana
safi sana king kiba ❤
Wakwanza mimi leo kutoka 🇧🇮 🇨🇩
Wakwnza leo🎉🎉❤
Uyu King amechindika mpaka natarabu. Ameweza kuhimba alafu uyu ni king
Hii ya motooooo hii kingkibakingkiba
The only one King kiba❤😊
Hili goma sio poa weka itikadi pembeni tuburudike wote hii ni fahari yetu watanznia
Kaza mzr akuna km mama kiba na mama oyeeeee
💚💚💚💛💛💛🙏❤
Mfalme Kiba ❤❤❤❤
Wa kwanzaaaaa
alywes kiba will be the King 👑 of Bongo
Lazima Alikiba ujengewe sanamu ap Tanzania kiukwl wew nifundi wamziki kabisa wew ninyao za umeme haukamatiki kimziki bug up fundi felicitation. Mama kazaa mtoto ,,,,,
Nice song
Uyu jamaa anajua mziki iyo naijua kbisa king sio Jina yakujipa Bali kapewa♥️♥️♥️♥️
King km king kimura from pembaaaaaaaaaaaaa
🔥
Woooooooooooooyoooo halllooooooooooo tarabu ya kufunga mwaakaaa
King of kings👑👑 tunakupenda Ali❤from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Yebaaabaaaa mama tunae na tunatamba naeee❤🎉🎉 the king 👑
Kingkiba
Wapiliiiiiii
King kiba Forever 🎉🎉🎉
Ewaaah
huyuuuuuu msengeeeeeee anajuaaaaaaaa daaahhh
😂😂😂😂😂😂😂
Sasa kila mtu wa kwanza
Hili goma kali sanaa🎉🎉😊
Wa kwanza hapa
Like zangu jamani mm wa kwanza .❤❤❤❤king kama king kamuimbia mama
Niamini mimi hii ngoma kipindi cha uchanguzi kiba atauza sana
Me Leo wa kwanza naomben like tu
Mfalme wa mziki tanzania nzima mwenye uwezo wa kuufanya atakavyo daah umeshindikan team kiba oe oe 🎉🎉🎉🎉🎉
BOSS wangu ndie na mba Moja mama tunaee na tuna tamba naee wakulia na waliee kwani kulia shingap huyo ndo king mwenye mziki wake upo haabari mnayo💪💪💪💪💪💪
#kingkiba
umetisha
Sawa bwana❤
Itoe karaoke nasisi upcoming tuimbe😅
Hii goma Kali naomba like zenu watanzania mm shabiki wa king damu damu kutoka kenya
Maujuzi juu ya maujuzi
🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mpaka taarabu jameni😂😂
noma hii, njoo umuimbie babu owino huku kenya 2027
A king always remaining a king i appriciate it🙏 #Samiamitanotena🧘♂️
Daah mimi sio ccm,ila hongera ALIKIBA nyimbo nzuri sana sana,na hongera ziende kwa walotengeza hii beat,na huyo alopiga kinanda...kauwa,kazidi kuifanya ngoma kuwa kali na kubwa.
Kazini kwangu leo kuna kazi na hapa na kule pia kuna kazi haya pale pia kuna kazi
Moyonii nimekuweka Alikiba My brother
Aya mazeee wa chukua chako mapema mmeanza kampen
King Kam king
King 👑 mie mdogo wako nakukubali sana kaka
taarabu tena hahahha ,noma saana
Wakwanza leo jamani like zenu wananzengo😂😂