@@KelvinEmersonSteven yes just came back the same different #AIM HIGHER is the Album coming up #Reggae #Dancehall and so,alafu stay tuned for #Hiphop Album after.
Mzee Yokoi, umerap kama underground wakati we ni legend. Hii kuiga hip-hop ya kibishoo ni ufala sana. Mzee you are better than this shit. Ngoma mbaya sana. 😢😢 una track zenye verse za kibabe sana sio hii style ya kichoko. Kumbuka ngoma kama style tatu, Ile michano Yako yote pale ni ya kipekee sana. Sio hii , achana na haya mastyle ya mabishoo
huwezi kuishi unafanya jambo lile lile vile vile kila ukaona matokeo, ina maana nauza nyanya naona kabisa hazitoki hadi zinaoza unaniambia nisijaribu kuuza vitunguu, lazima usome alama za nyakati na muda uliopita, uliopo na unaokuja...things change bro na inatakiwa ukue na uende na muda
ila iyo beat ya nyuma so ya kuichukulia poa.. if i was an artist id never record on a wack beat.. music is just easy n there una fly jus kua na beat la dunia.. mziki umetulia.. tuondoleeni mapiano ushuzi
Ngoma Kali sana Tisha stopa
Hatari sana hii combination ya beat John b umeiweka sawa sana kaka hongereni homeboys
@@zawadimaftah1986 shukran
Oyaaa hii ngoma ichapwe video moja kali sanaaaa🔥🔥🔥 ni hit
@@aminmohammed4249 done did ma men Mungu mkubwa sooner kwa TV and all
Nice tune selekta on replay right now.. tunapoanda nayo leo saturday tutashuka nayo sun day fayaaaaaa
Well done mmetisha sana watu wangu
ngoma la kwenda ili
ila huyu Joh ni wa moto sana aisee
💚💚💚🎤wakali mme tulia kiutu uzima. Lazma akubali tototoooo🎉
@@kingbidder Hachomoi lazima atupe tamuu
Juu Napanda Saturday Chini Nashuka Sunday
K Tmk nakamua mpaka mashuduu
😂😂
@@rugengamusic nomaa
Goma la kwenda Meeeen
Chuma hichii mwanangu........kiendeee mbaaaali God Bless you Ma Niggaa Stoppa🔥🔥✊🏿
Mwamba ni mwambaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
yokoi msani wangu wa dunia nimependa una badilika kama kinyonga
Cha mtema kuni ukione cha moto🙌❤❤❤🤸
John makini...... Yokoi.......... Pure chuganian...
Ngoma kali 🔥
Yokoi 🎉💥💥💥💥
Real legendary but wewe stopa game aliko fear
Ayeeeee …. Love from 🇰🇪
@@niledawta Love you Sistah 👏🏾
ooooi Yokoi its a big one 🔥🔥🔥, Thank you kutulisha mziki mzuri my Brother.... Nakuskiza from Uk @Gdax🔥🔥🔥
Traki kaliii bro Stopa...
Flows kaliii
@@Tanganyika-w5p Thanks Ninja
@@stopatherhymecca8996 Sawasawa Bro
Hit song 🔥🔥🔥💣💣
Noma sana hii STOPA LEGENDARY
Yes mikatoto tufanye bato
Tutoe katoto
what a beautiful song , ujuzi wa kiwango cha juu kabisa YOKOI
Noma xnaa brh 🔥 🔥
Tototo stopa & mwambaaaa
Bad news ... 🔥
Stoooooooopaa yanii paaaaaaaaaaah!❤🎉
Big up
Hii kubwa sana
2:13 Kwisha
Nomaaaa sanaa
Humu mtu kama DIZ AFRICANA amekosekanaje Yokoi #TOTOTO 🎉🎉🎉
Noma Sana
Jiwe la kazikasin🎉
🔥🔥🔥hatari mno 🙌🙌🙌🙌
Yokoi ungetia ma tantwista apo mwisho ingekua yechu sanaaaa
@@FredKiraya Sometimes ni ku relax kidogo pia...hayo mambo yana project yake usijali inakuja sooner Inshaa Allah Amin
Me nachinja vya kunyonga nikibudu🔥🔥🔥🙌🏽
Mziki mzuri kazi Safi kabisa
The real Artist is back. Shiiiiiiiiiii😂
Yokoiii🎉🎉
🎉🎉🎉nomaaaa
Ujawah kosea my biggest man
Huyu ni Stopa??ebu ngoja nikasikilize kwanza Styles tatu ndio nirudi Tena kusikiliza huku
@@KelvinEmersonSteven yes just came back the same different #AIM HIGHER is the Album coming up #Reggae #Dancehall and so,alafu stay tuned for #Hiphop Album after.
Ok noted brother, am waiting for Hip Hop Albam, and welcome back BAD NEWS 🔥🔥🔥
@@KelvinEmersonSteven Ipo tayari ni mpishano tu wa kutoka...twende na hili kwanza Ninja wangu
@@KelvinEmersonSteven ndieeeee
Hapa stopa hajatutendea haki. Hii sio style yake kabisa.
Yokoi🙌🙌🙌
🔥🔥🔥🔥
🔥
Yokooooiii safi sana
Ngoma kali sana master 🔥🔥🔥🙌🏽
Goma kali sana..
Respect brada
Nice song
Tototoo 🔥🔥
Mgosiii umeuaaaa
Tototo
🔥🔥✨💪
Wayaaaaaaaa
Yokoi heko kwako sasa fyatua mangoma kama 6 hivi na weusi......bado muziki haujakulipa unavyo stahili........
SIJAWAHI MCHUKIA STOPA!
🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤❤❤ nice
Mzee Yokoi, umerap kama underground wakati we ni legend. Hii kuiga hip-hop ya kibishoo ni ufala sana. Mzee you are better than this shit. Ngoma mbaya sana. 😢😢 una track zenye verse za kibabe sana sio hii style ya kichoko. Kumbuka ngoma kama style tatu, Ile michano Yako yote pale ni ya kipekee sana. Sio hii , achana na haya mastyle ya mabishoo
@@hubertbango1428 soma comments chini na juu,Christmas zako chache bado huwezi elewa pole
huwezi kuishi unafanya jambo lile lile vile vile kila ukaona matokeo, ina maana nauza nyanya naona kabisa hazitoki hadi zinaoza unaniambia nisijaribu kuuza vitunguu, lazima usome alama za nyakati na muda uliopita, uliopo na unaokuja...things change bro na inatakiwa ukue na uende na muda
Stoppa style 3
✍️🏿💥💥💣
Yokoi hatari
Yokoi
🇹🇿🔥🔥🔥💥
Huyu ni stopa ninaemfahamu?
A heavyweight track
💯✔️🏁👊
Grandmaster Recs
ila iyo beat ya nyuma so ya kuichukulia poa.. if i was an artist id never record on a wack beat.. music is just easy n there una fly jus kua na beat la dunia.. mziki umetulia.. tuondoleeni mapiano ushuzi
🎉🎉🎉🎉
Org
❤
Stoppa wa Style 3 ni u replaceable
Yokoi🫡
🔥
Yokoi
❤❤