TANDI SERIES .EP.. 128 STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 170

  • @HawaHussein-hq1lj
    @HawaHussein-hq1lj Рік тому +9

    Hongera san jordan na tandi nawengineo imefikia patam san ❤❤❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @DayanaMwangoka
    @DayanaMwangoka Рік тому +10

    Nampenda Sana dereva bajaji

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b Рік тому +12

    Wa south Africa Durban tunawapata vizuri team ray like zina utamu wake 😂😂😂😂dondoka apo

  • @Zahara-l3l
    @Zahara-l3l Рік тому +11

    Daaah bajaji Leo ushauri moto 🎉🎉🎉

  • @SufyanahAomabdalazez-dk9pw
    @SufyanahAomabdalazez-dk9pw 3 місяці тому

    Lkn Tandi afanana n Jordan wallah❤❤

  • @AlainMapesa
    @AlainMapesa Рік тому +12

    Nime miss sana abgaeeel🎉🇨🇩🇨🇩

  • @NancyShoo-ce2wx
    @NancyShoo-ce2wx Рік тому +8

    Wanaume wakikosea alafu wanawake wafanye vitendo km vya mama Renee wanachanganyikiwa 😂😂😂😂😂😂

  • @Peterblessings-gg3rq
    @Peterblessings-gg3rq Рік тому +11

    Sooooh nice Kenyans inatunice 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @NelsonbernardoDaleli-jn6ly
    @NelsonbernardoDaleli-jn6ly Рік тому +17

    Bom trabalho RAY aprendi muintas coisas pela essa história Deus te abençoe, from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿, "TANDI" mas força .

  • @HawaSaid-u7o
    @HawaSaid-u7o Рік тому +6

    Jordan majanga yote hayo lakini sijaona ukitoa chozi kwenye macho yako inaokenana kipaji cha kulia kwa machozi huna kaka, ila hongera kazi nzuri

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 Рік тому +8

    Mr kigosi wachilia kitu banaa tandio motooo Jane hataki kuongea😅😅😅😅😅

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 11 місяців тому +1

    Chsande ameshika nafas ya wanaume wote dunian😂😂 maua yako ndio wako hivy

  • @nasraabdallah8566
    @nasraabdallah8566 Рік тому +9

    Ila dereva bajaji ni mgombanishi daaah 😂😂😂

  • @fatma-jh2lf
    @fatma-jh2lf Рік тому +7

    Ata wa mwisho sitoki

  • @reginaIssa-m2j
    @reginaIssa-m2j Рік тому +3

    ❤❤❤ duhuuu huyu hakimu kiboko 🔥 Jen umeyakanyaga😢

  • @MugishoBaliho
    @MugishoBaliho 7 місяців тому

    Ndungu zetu tuna itaji tandi aendeleye mbele, sababu uku Congo tuna ililiya sana Jordan

  • @EstellaMuteramyi-ho2lf
    @EstellaMuteramyi-ho2lf Рік тому +39

    Namimi Leo wakwanza naomba like zangu jamani ata 5🎉

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 Рік тому +1

    Duu bwana Chande we nakukubali sana yani king'ang'anizi wapenzi kweli kweli duu❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @worldofstars-ex1ok
    @worldofstars-ex1ok Рік тому +20

    Wanaume wanaodanganywa kila wakati katika mapenzi kama Jordan wanipe likes zangu.

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r Місяць тому

    Jordan,Tandi,Kibajaji hav maintained bng scene in ths movie,frm A - Z

  • @MaryAmaiza-th2fo
    @MaryAmaiza-th2fo Рік тому +6

    Niko hapa wa nane🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Peterblessings-gg3rq
      @Peterblessings-gg3rq Рік тому

      Kumbe wakenya tupo

    • @MaryAmaiza-th2fo
      @MaryAmaiza-th2fo Рік тому

      @@Peterblessings-gg3rq yeah tuko ndani bila pingamizi

    • @NeemaStephen-oe4ww
      @NeemaStephen-oe4ww Рік тому

      @@Peterblessings-gg3rq Kila Kona sisi tuko...tukitoka apa tunaenda Single mamas tukitoka apo tunaenda Jua kali 😂😂

  • @MASUDIJOSHUA
    @MASUDIJOSHUA Рік тому +4

    Wapili🇺🇲🇺🇲🎉💖

  • @elizabethmwafongo7829
    @elizabethmwafongo7829 Рік тому +1

    Mume wa enea ni 🔥🔥🔥

  • @akimanamariam4451
    @akimanamariam4451 Рік тому +1

    Uyuu kibajaji namupenda kweri😂😂😂😂😂kugombanishana sasa

  • @elizabethmwafongo7829
    @elizabethmwafongo7829 Рік тому +2

    Nainjoy baba renee anavoteseka

  • @TegemeaMasawe
    @TegemeaMasawe 4 місяці тому

    Kibajaji unanifurahisha sana umecheza vizuri sana hutumii nguvu nyingi sana kama hiyo dalali tapeli

  • @TahilaRamadhan-hz3pd
    @TahilaRamadhan-hz3pd Рік тому +3

    I'm here🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LydiaStephano
    @LydiaStephano Рік тому +3

    Mr kibajaji shikamooooo😂😂😂😂

  • @Lela-l7g
    @Lela-l7g Рік тому +3

    S watu mnarauka waaah haya mm wamwisho bsi

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Рік тому +3

    Mama Sharon uwaja 😢 Sharon uko wapi jamani😢 Linda round hii kimekuramba😂 Jane Una roho ya kikatili😢

  • @JohnJoaquimkapembeKapembe
    @JohnJoaquimkapembeKapembe Рік тому +3

    🎉🎉vós desejo sempre o bom trabalho team ray the greatest🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

    • @RukiaSalehe-t1r
      @RukiaSalehe-t1r Рік тому

      Episode ya 130 na kuendelea bado sijaiona au ndio mwisho kaka Jordan maan sio poa

  • @BarakabalumeJean
    @BarakabalumeJean 3 місяці тому

    Kabisa ni 🎉

  • @godwineliya5434
    @godwineliya5434 9 місяців тому

    Huo mwondoko wa Silvia 😂😂 umenikumbusha professor jay

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 Рік тому

    Duu mzee kibajaji we unamaneno wewe heeeeeee unanifurahisha sana mie jamani mbavu zangu mie jamani❤🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🤣🤣🤣🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️Much love u

  • @Fbmovie254
    @Fbmovie254 Рік тому +2

    Kibajaji kaaa🎉🎉🎉mauwa Yako mana sio kwakutafuta ela ivi Yani unashawishi mtu abadili maamuz 😂😂😂 pambania sintia wako

  • @challsmazagazaga3958
    @challsmazagazaga3958 Рік тому

    Jaman uu moto ni noma embu twenden sawa kwa like zenu

  • @malkiamommy293
    @malkiamommy293 Рік тому +1

    🎉🎉🎉 tuko pamoj ❤❤❤ 😊😊

  • @kokugonzaalfred8640
    @kokugonzaalfred8640 Рік тому +3

    Huyu Baba Renee anashida kweli 😢😂😂😂

  • @RahmaRamsha-b3f
    @RahmaRamsha-b3f 9 місяців тому

    Mashaallah well done

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 11 місяців тому

    Nawapenda sanaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Juma-u4z
    @Juma-u4z 11 місяців тому

    Nakukubali mr kibabaji😅😅😅😅

  • @FaithChivatsi
    @FaithChivatsi Рік тому +2

    Jamani n huyu Tandi kafanana n Jordan aky 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @prettyney3812
    @prettyney3812 Рік тому +4

    Dakika 51 coment 29 mmelala sana 😂😂😂😂😂

  • @RebekaAkram
    @RebekaAkram 11 місяців тому

    Mr kibajaji umeongea point sana❤

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 Рік тому +1

    Kee,kibajaji nae moto 🔥 w kuotea mbali😂😂😂

  • @josephbirya8789
    @josephbirya8789 Рік тому

    Kibajaji 😂😂👏👏 Nakkubali sana😂😂

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 Рік тому +2

    Wakwaza1 ❤❤❤🇧🇮

  • @SarahConstatine
    @SarahConstatine Рік тому +3

    Mbona hawaifungui jamani

  • @mosestrueboy1922
    @mosestrueboy1922 10 місяців тому

    Wakongo tujuanee🇨🇩

  • @NghongaTherese
    @NghongaTherese 5 місяців тому

    Ila uyu Mr kibajaji ni mumbea kweli Adi ana musha wishi mudada wawatu tena Yani kwa umbea wake ananichekesha mno😂😂

  • @MussaMwalim-w5m
    @MussaMwalim-w5m Рік тому

    Hii move mwisho ngapi

  • @FaisalAlrefai-u2y
    @FaisalAlrefai-u2y Рік тому +3

    Mbona mmetupeleka mbali wa 2

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 Рік тому

    Mtoto wa nyoka ni nyoka tu #Tandi#❤❤❤

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 10 місяців тому

    Jaman mimi Naona watu wakiteseka kuombaga like sasa mimi 😂😂😂 naombaga zangu 100 😂😂😂😂😂

  • @kadijaa7771
    @kadijaa7771 11 місяців тому

    Labda ray niulize hivi juice na hayo matunda ni chakula gani😅😅😅

  • @mwanaidabeid8720
    @mwanaidabeid8720 Рік тому

    Duh 😂😂😂❤❤❤❤yani ubea kumbe unalipa 😆😆😂

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 Рік тому

    Kibajaji jmn shikamooooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @EstherBoniphace-iw1lo
    @EstherBoniphace-iw1lo Рік тому

    😂😂😂
    Chande king'ang'anizi wa mapenzi kama mbung'o
    🤣🤣,
    Hongera broh Mungu akuinue ufike mbali zaid🙏

  • @richardsalm7734
    @richardsalm7734 Рік тому +1

    Dahhh

  • @patricketyang3740
    @patricketyang3740 6 місяців тому

    Dereva bajaji n mmoto sana kwa ukora

  • @mirfatmahanga6321
    @mirfatmahanga6321 Рік тому +2

    Wa nne Leo

  • @SamuelBandikayaa-m6l
    @SamuelBandikayaa-m6l Рік тому +2

    From 🇰🇪🇰🇪♥️

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Рік тому +2

    Tandi ongea niwapi aliko chalon unataka baba yako ahangaike juu yako pol sana Jordan 😢😢😢

  • @mwanaidabeid8720
    @mwanaidabeid8720 Рік тому +7

    🔥🔥🔥🥰

  • @NarcisoMandhate
    @NarcisoMandhate 9 місяців тому

    Uyu Mutoto WA docte Afanana Na Shalon

  • @edastinaelias3866
    @edastinaelias3866 Рік тому

    Hii movie hadi raha❤

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 10 місяців тому

    Like ziko na nini kwani sioni mtu skitajya kisa ni Like kua yeye amekua wa kwanza 😂😂

  • @SashaOscar
    @SashaOscar Рік тому

    Aaaii 😏😏😏😏 nachoka xx na tabia za bajaji mpk nachoka kuangalia movie

  • @queensiku
    @queensiku Рік тому +2

    Saa zimefika 😂

  • @alainbeyard1735
    @alainbeyard1735 5 місяців тому

    Hello guys Bujumbura-Burundi Jamani Bado nafatilia Tandi Like zangu mbiri Ray Kigozi is the Best

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 Рік тому +1

    Mvinje hutaki kuona mvinje mwenzako akiwa nanghari 😂😂😂

  • @preciousndossy2169
    @preciousndossy2169 10 місяців тому

    Kibajaji acha uchonganishi ww

  • @JoyTrizzah
    @JoyTrizzah Рік тому +1

    Sharon naye alienda wapi jameni,,,am missing her already

  • @JulianaSakatete
    @JulianaSakatete Рік тому

    Jordani Kwa muvi hii amekua jefu kwenye ze game of love

  • @Anna-f5w9j
    @Anna-f5w9j 11 місяців тому

    jua kali lime hamia huku

  • @MohamedyJux
    @MohamedyJux 10 місяців тому

    Mi kabla sijaoa aisee ntachunguza had sisimiz

  • @DianaMuyoka
    @DianaMuyoka 5 місяців тому

    Huyu baba ranee baba renee anaboa yani anaforce kujua kila kitu

  • @NancyShoo-ce2wx
    @NancyShoo-ce2wx Рік тому +2

    Mume wa Renee mmmm cyo Poa

  • @babyrasta9685
    @babyrasta9685 Рік тому

    Mume wa lenee ovyo mie Baba Mkwe uniambie upuuzi huo ovyo

  • @BrianMakori-v2e
    @BrianMakori-v2e Рік тому

    Kali hiyo

  • @lekokojulius6339
    @lekokojulius6339 11 місяців тому

    Wanaopenda likes kujieni kwangu nazigawa😂😂😂

  • @ReaganGT-ww4vu
    @ReaganGT-ww4vu Рік тому +7

    ❤ hi my best family, mwenzenu ni mwimbaji wa nyimbo za injili, nawaomba supports zenu plz, follow Reagan Enzi ili uwe wa kwanza Ku pata Ngoma Zetu 🥰🥰 Asante sana

  • @mariamabdallah8782
    @mariamabdallah8782 Рік тому +3

    ❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @Ester-De2lo5v5e
    @Ester-De2lo5v5e Рік тому

    Hv mnaoomba like huwa mnazipeleka wap..

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому +1

    Chande anajua kubembeleza

  • @akimanamariam4451
    @akimanamariam4451 Рік тому

    Huyu chande haeleweki

  • @mwanaidabeid8720
    @mwanaidabeid8720 Рік тому +4

    Like jamani 😊❤❤❤

  • @najmaawadh510
    @najmaawadh510 Рік тому +1

    Hey🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @LatifaMkwewa
    @LatifaMkwewa Рік тому

    Wamwisho jamani namimi naombeni like zangu. 😂😂😂

  • @SelemaniNtobi-y2p
    @SelemaniNtobi-y2p Рік тому

    Saf san🎉

  • @joelmnangat6699
    @joelmnangat6699 7 місяців тому

    Tuongee kiuwanaume

  • @AishaAbdara-oj2xu
    @AishaAbdara-oj2xu Рік тому

    Ndo tumeishia EP hii mbona hamna muendelezo

  • @ellahakizimana4995
    @ellahakizimana4995 Рік тому

    Namumiss Abigal naitaji nimuone

  • @JulianaSakatete
    @JulianaSakatete Рік тому

    Chande Kati ya watatu hao nani unampenda kweli duu

  • @neemakarisa6117
    @neemakarisa6117 Рік тому +2

    ❤❤❤❤

  • @ndogolofadhila6203
    @ndogolofadhila6203 Рік тому +2

    Yani nyie hata kufunguka bado lakini mshajaa

  • @radhiabilanga
    @radhiabilanga Рік тому

    Jamani mbona Mimi sijaipata ya 30

  • @ValentineWanyama-l1m
    @ValentineWanyama-l1m Рік тому

    Ntamuask Tandi aki

  • @AtuAtu-k8m
    @AtuAtu-k8m Рік тому

    Kibajaji umezdi na umbea duh

  • @purityneema-gh6jc
    @purityneema-gh6jc Рік тому

    Mr kibajaji ww hii uli somea sio bure 😂