THE BABY DISLIKES HIS FATHER DAUDI AND DISHONOURS HIM FOR INSULTING HER AND HER MUM JACKLINE💔😭

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 196

  • @LucyNdunge-yy4nb
    @LucyNdunge-yy4nb 20 днів тому +10

    Daudi dakitari ata fanya mtoto akukumbali jua damu ni nzito kuliko maji

  • @Mwasi791
    @Mwasi791 20 днів тому +12

    Apana mtoto ameambiwa na huyo mama maneno mengi

  • @hannahwanjirumwangi6438
    @hannahwanjirumwangi6438 20 днів тому +9

    Huyu mtoi hana afia kusema ukweli akii 😁😁😁

    • @Zuuh4286
      @Zuuh4286 20 днів тому +2

      Atabadilika jaman bd mdogo hata me mtoto wangu alikuwa na mwili mwembamba lkn sahii n dada huyo

    • @PriscaHumph-v6b
      @PriscaHumph-v6b 20 днів тому

      @@hannahwanjirumwangi6438 pia mazingira na Hali zamaisha msijaji mtu alijinyima kidogo chake akampa kwani alikua hajui kua si wake jamani tuewakweli uyo mama amefanya zaidi hata ya alopatauchungu

  • @Joan-j7r
    @Joan-j7r 20 днів тому +6

    Lakini mtoto mnafanana kweli

  • @yasinyasalam3713
    @yasinyasalam3713 20 днів тому +4

    Daudi inakubidi umchukue Huyu mama pamoja na mtoto wako 😂😂😂

  • @FRIDAHMBINYA-kw7oi
    @FRIDAHMBINYA-kw7oi 20 днів тому +8

    Inaonekana uyu mtoto aliambiwa amkane daudi😢

    • @dianaolianga4996
      @dianaolianga4996 20 днів тому +1

      No huyu mama alinunua mtoi wa months atjuaje daudi na haya daudi mwenyewe hajawahi muona awache mdomo mingi huyu mama alisave life yamtoi

    • @Juma-g5i
      @Juma-g5i 20 днів тому

      Hapo ni kweli kabisa na pia hyo miaka yote saba hyu daudi alikua wapi ndyo atagute mtoi saizi

    • @dianaolianga4996
      @dianaolianga4996 20 днів тому

      @@Juma-g5i yes he should be thankful to that woman

    • @Wilgister
      @Wilgister 20 днів тому

      ​@@dianaolianga4996Daudi kwanza ni mjinga,,aliacha bibi akiwa na mimba,the time anavideo call bibi mbona hakuwa anauliza mtoto Hadi afike Kenya ,,si mtu anatamani mtoto walai,ukivedio call bibi lazima uulize mtoto bwana

  • @nastehokullow2555
    @nastehokullow2555 20 днів тому +5

    The mother who adopted the girls she's true and girl will not adapt her father the first day she see her dad... let girl stay for one week with adopt mother and the next day with father....so that she will know her father slowly by slowly.

  • @jaydee4085
    @jaydee4085 20 днів тому +3

    Daudi wewe mwenyewe unavaa kama mwendawazimu ndiyo maana mtoto anasepa

    • @dianaolianga4996
      @dianaolianga4996 20 днів тому

      @@jaydee4085 🤣🤣🤣wenyewe hata dressing ya daudi ana mguka na kitambara Kwa kichwa

  • @Theonlyonlyto-rn8nc
    @Theonlyonlyto-rn8nc 20 днів тому +3

    huyu mtoto ameambiwa na huy mama asikubali sio kupenda kwake😢

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 20 днів тому +3

    Mtoto mzuri manshallah 💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗

  • @jumaraha
    @jumaraha 20 днів тому +6

    DAUDI WEE BABA SIO BABA, BABA NI ULEZI...DAUDI FRIST YATAKIKANA UMELETE MTOTO ZAWADI WEE UNASEMA HANA AFYA,RANGI YAKE SIO SAWA NA YAKO HAUNA DALILI ZA KUTOA SHUKURAN... KISHA UNA FORCE MTOT,MTOTO UNAWEZA PEWA NA HAKAKUTOROKAA UTA DO WHAT???
    Wapi Like za WAZAZI hapa

    • @KarenusNafula
      @KarenusNafula 20 днів тому +1

      Hyo nì ukweli daudi akielewi ,,,,,ukitaka kuchukua mtoto uwezi force inafaa unmpeleka polepole juu hyu mtoto angali mdogo ,,,,na akiendelea hivi tutàmpeleka mathare😂😂😂😂

    • @jumaraha
      @jumaraha 20 днів тому

      @@KarenusNafula dat's true, 🤣🤣🤣🤣 Hajui kama mjomba uitwa Baba,cuz kuletaa sweet 🧁 or ice-cream 🍦 daily.WAHENGA WALISEMA MKONO MTUPU HURAMBWI,WAKENYA WAKASEMA KITAKURAMBA 🤣🤣🤣

  • @Kenyalydiahmonayo
    @Kenyalydiahmonayo 20 днів тому +3

    Daktari awasikanize huyo mtoto na dauti tafadhali hili mtoto apende babake

  • @jescanamusi9031
    @jescanamusi9031 20 днів тому

    Na Daudi na kitambaa😢😢

  • @mkfamily0822
    @mkfamily0822 18 днів тому

    Daudi umefanya makosa… ungesgukuru uje na gift bila kucomment vile mtoto anakaa you could go buy her cloths 😭

  • @GjhBjhhj
    @GjhBjhhj 20 днів тому +2

    Daudi wewe nimuislam usikue hivyu shukuru sana huyo mama hana makosa yoyete mtoto daudi cool down pokea mtoto kwaroho safi nimependa sana huyo mama kukea mtoto mpaka mwaka saba omba msamaa Daudi kwa huyo mama mtoto lazima akuogope kwa maongezi yako

  • @Josephinelatin
    @Josephinelatin 20 днів тому +1

    Daudi kumbuka huyu mtoi akunyonya maziwa ya mama pliz

  • @TeresaAkinyiEkambi
    @TeresaAkinyiEkambi 20 днів тому +2

    Sasa hata daudi yy nae ndio anavaa vizuri kweli kitamba kwa kichwa kila saa rangi moja

  • @AliceNjeru-os1yb
    @AliceNjeru-os1yb 20 днів тому

    Saii anaenda kumuroga kabisa😢😢

  • @TehGd-gn6rk
    @TehGd-gn6rk 20 днів тому

    frola,,, Anglie zi,apana daudi chukua mtoto wacha ujinga mtoto niwako usiachilie mtoto wako

  • @JacklineOyondi
    @JacklineOyondi 20 днів тому

    Mtoto anafanana daudi.kuna kitu mama w Tanzania Alifnyia mtoi akatae bbake waah

  • @salmanignna4253
    @salmanignna4253 20 днів тому +2

    Daudi Dakitari atakusaita mtoto atakukubali

  • @PriscaHumph-v6b
    @PriscaHumph-v6b 20 днів тому +2

    Kwan daud hana wazazi wakukaa na mtoto

  • @JudyKeru
    @JudyKeru 19 днів тому

    Angel ongea na daktari afanye jambo please 🙏 huyo mtoto akae na babake hivyo tu

  • @irene3696
    @irene3696 20 днів тому +1

    Mimi naona mtoto kwanza abaki na mtanzania agrow kwanza this is tramatauzing 😢

  • @SheilaSheila-z7d
    @SheilaSheila-z7d 20 днів тому +1

    Mama achukue daudi na mtoto wawe watoto wake 😢

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 20 днів тому +1

    Angie B mwambiye Daudi achunge sana mtoto hata wakimpa aendenaye sikuizi wanaiba watoto nakupelekwa kuchinja wanabeba viwungo.mana Kenya sasa ivi imeingiliwa namashetani.

  • @JanetKenyatta
    @JanetKenyatta 20 днів тому

    Daudi unafaa kushukuru uyo mama amerea mtoi poa cz angetorewa kafara kitambo na usitake mto akue munono na ww na bb yako niwembamba na ndio murixaa mtoi apo umeongea mbaya na uuo mtoi atawai kusahau iyo tuxi 😢😢😢 me pia imeniuma

  • @GjhBjhhj
    @GjhBjhhj 19 днів тому

    Kweli kabisa huyo mtoto pole pole mtoto atakuzoea daudihajuo kuongeakwako ndio kumefanya huyo mtoto aogope

  • @SusanMardo-nl8sq
    @SusanMardo-nl8sq 20 днів тому +2

    Kwani Dubai pia wewe jifunze kuongey kaka yangu 😢😢

    • @jumaraha
      @jumaraha 20 днів тому

      HAJUI KUONGEA vizur,ATA ZAWADI HAKUNA KISHA UNALAZIMISHAA.... MTOTO ANAWEZA TOROKAA

  • @FaithNyandieka
    @FaithNyandieka 20 днів тому +1

    Huyu mama ndio aliambia mtoto ajatae wslai

  • @RichardNgunga-i7t
    @RichardNgunga-i7t 20 днів тому +1

    Mavazi ya daudi do yatetemesha mtoto amfalishe kwanza daudi

  • @JudithCherop-wf1wc
    @JudithCherop-wf1wc 20 днів тому

    Daudi unashukuran nakama bibi yako angetoa kafara ungelaumu nini?

  • @CarolineGatua
    @CarolineGatua 20 днів тому +1

    Angie huyo daudi hana kichwa mzuri,anaongea maneno mbaya mbele ya mtoto,kichwa ya daudi iko sawa kweli.

    • @jumaraha
      @jumaraha 20 днів тому

      HAJUI KUONGEA vizur.... ANAONGEA NAYE KAMA NI MTU MZIMA MWENZAKE

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 20 днів тому

    Daudy huyu mtoto atakukimbia walai 😢😢😢😢kuwa mpole kijana

  • @LydiacheropSagit
    @LydiacheropSagit 20 днів тому +1

    Hapa inabidi dr. Aingilie akuna cha kumwajia mtoto

  • @PhilisNabalayo-i6u
    @PhilisNabalayo-i6u 19 днів тому

    Karibu kenya jacky😂😂❤

  • @SuziekKaranja
    @SuziekKaranja 20 днів тому

    Nauliza c waende kotini juu ya uyu mtoi❤❤❤

  • @SaumuhamisiHamisi-w9r
    @SaumuhamisiHamisi-w9r 20 днів тому

    huyu mom amemjaza maneno mengi na ndo mana anakukataa daudi so pliz chukua mtoto daudi plix

  • @PaulineNduta-i5y
    @PaulineNduta-i5y 20 днів тому +1

    Daudi huyu mtoto ni mkubwa anaelewa kila kitu so hawezi kukubali hivi hivi

  • @SaumuhamisiHamisi-w9r
    @SaumuhamisiHamisi-w9r 20 днів тому

    wamefanana na daudi

  • @evachuwa3809
    @evachuwa3809 20 днів тому

    Mama Acha kimbelembele umemlisha mtoto mnane no mengi mno Acha ujinga achana na mtoto wa wenyewe Acha maneno mengi

  • @GfGf-s9t
    @GfGf-s9t 20 днів тому

    Daktari azaidie Daudi mtoto ampende

  • @Chris.711
    @Chris.711 19 днів тому

    Daudi ata ungekuwa babangu singekukubali na hii koti linakaa free.dress

  • @PhilisNabalayo-i6u
    @PhilisNabalayo-i6u 19 днів тому

    Ati hana afya😂😂

  • @sibiamoreka3063
    @sibiamoreka3063 20 днів тому

    Pia uyo mama ataki kupeana mtoto

  • @MERCYmercy-rl3lu
    @MERCYmercy-rl3lu 19 днів тому

    Mim actually naona huyo mtoto anateseka alafu mama amemwambia ukisema chochote nitakuchapa na ndio maana mtoto anakata but daktari afanye jambo

  • @Anamika-w1h
    @Anamika-w1h 19 днів тому

    Na amefanana na Daudi

  • @FatumaAli-xm8di
    @FatumaAli-xm8di 19 днів тому

    Daudi tumiwa daktari uyo mwanamke ni mjanja

  • @kekxjnrcommedy9059
    @kekxjnrcommedy9059 20 днів тому +3

    Sasa hata mtoto akimkataa bna avalie hivi surely

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 20 днів тому

    Kiushauri Daudi Kubaliana Na Huyo Dada Na Mumemewe Wabakie Nae Kama Alivyo Eleze Kama Anasoma Akiwa Likizo Ukuje Kwako Mpaka Atakapo Juwa Jengine Huyo Mama Alimzaa Hana Amana Hujuwi Nini Anaweza Kuja Kumfanya Mtoto...

  • @zeinabumu.hamza.1233
    @zeinabumu.hamza.1233 20 днів тому

    😢Ana fanana naa mamake. Tatiana.bia daudi

  • @dianaolianga4996
    @dianaolianga4996 20 днів тому +1

    Daudi huna heshima kweli hata tatiana si mweupe pia wewe so don't make noise this lady saved your daughter bure hungemuona so you could be thankful

    • @muhammadmuhammad5043
      @muhammadmuhammad5043 20 днів тому

      Daudi Hayuko Vizuri Hata Mama Nayeye Pia Anatatizo Lake Nayeye Angemfahamisha Mtoto..

    • @dianaolianga4996
      @dianaolianga4996 20 днів тому

      @@muhammadmuhammad5043 ni vigumu pia angeanzaje pia kumuelezea the woman is right coz mtoi ni mdogo wa kuambia maneno Kaa hayo watamchanganya akili but slowly ataelewa

  • @Theonlyonlyto-rn8nc
    @Theonlyonlyto-rn8nc 20 днів тому

    unge mletea ka zawadi hata kidog plz

  • @pamelakavochi
    @pamelakavochi 20 днів тому

    Daudi anaongea mengi mbele ya mtoto na huyo mtoto ni muku bwa anaelewa mambo.mtoto atamuka na tuu

  • @SaumuhamisiHamisi-w9r
    @SaumuhamisiHamisi-w9r 20 днів тому

    daudi pliz chukua mtoto atazoea tu pole pole usiachie huyo mom pliz daudi

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 20 днів тому

    Daudi unamdomo mingi

  • @marrieauma5807
    @marrieauma5807 19 днів тому

    Lakini huyu mtoto hayuko Sawa Kwa kweli anateseka ata mimi nimeona

  • @GjhBjhhj
    @GjhBjhhj 19 днів тому

    Daudi huyo mtoto pamoja na huyo mama nenda nae kwenu

  • @PhillarineChepkwemoi
    @PhillarineChepkwemoi 20 днів тому

    Simuoni uyu mama vizuri, na wewe daudi jifunze kuwa na ile furaha ya kùfurahisha mtoto

  • @winniemurimi8299
    @winniemurimi8299 19 днів тому

    Copy ya Daudi kabisaaa❤❤❤

  • @AliceNjeru-os1yb
    @AliceNjeru-os1yb 20 днів тому

    Uyu mtoto amewekwa maneno na uyu mama, ama amekorogwa akilia na uyu mama wa tazania

  • @azzocirty306
    @azzocirty306 19 днів тому

    Daudi Wacha mtoto,,,

  • @estherwainaina-dz3wb
    @estherwainaina-dz3wb 20 днів тому

    Ambia Daudi asipeane mtoto waende nayeye atamusoea

  • @dorothykerubo5862
    @dorothykerubo5862 19 днів тому

    Daktari afanye kazi yake ndio mtoto apakk kenya

  • @TehGd-gn6rk
    @TehGd-gn6rk 20 днів тому

    ftola,,navile mnapanana aki daudi na mtoto

  • @Anamika-w1h
    @Anamika-w1h 19 днів тому

    Huyu mama yuko na nia mbaya na huyu mtoto

  • @GladyKalekye
    @GladyKalekye 20 днів тому

    Enyewe mtoi anafanana na Daudi kabisa lakini apo kwa kupeana mtoi kwa stranger na ni mwanaume apo ngumu kwa sasa ii dunia naiogopa

  • @RMM2222
    @RMM2222 20 днів тому +1

    Daudi wewe sasa hii ni nini ulivaa hata mtoto zi atakukataa😅😅

  • @mugishomarara9526
    @mugishomarara9526 20 днів тому

    Wa fane ya Daudi, mtoto Hana affection kwa Baba yake.after 8 years,hata nyinyi.

  • @FaithNyandieka
    @FaithNyandieka 20 днів тому

    Daudi kama mtoto amekukataa achana naye utazaa mwingine juu utafanya

  • @carolinemwangi4650
    @carolinemwangi4650 20 днів тому

    Bydha uyu mum anaongea ukweli

  • @GjhBjhhj
    @GjhBjhhj 19 днів тому

    Daudi Wacha ujinga nyamaza omba msamaa kwa huyo mtoto pamoja na huyo mama piga magoti

  • @DianaMuhonja-oi9co
    @DianaMuhonja-oi9co 19 днів тому

    Nawanafanana sana na daudi

  • @dianaolianga4996
    @dianaolianga4996 20 днів тому

    Sasa daudi amevaa kaa guka na anachamba huyo mama,then hutoangi hiyo kitambaa kwa kichwa,then munaweka mtoto kwa mawazo

  • @MeMbwana
    @MeMbwana 20 днів тому

    Uyu mama alikua amuelezee uyu mtoto kilakitu mbele y daud

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m 20 днів тому

    Aki huyu mtoi ana fanana narudi kweli pie mimi naona huyu mtoto ame abiwa asi mkubali babake

  • @Suzan-ur5ss
    @Suzan-ur5ss 19 днів тому

    My brother don't accept this woman and go with your child 😢😢 maybe she was doing same thing to this girl 🙄🙄

  • @shariffamaulid
    @shariffamaulid 20 днів тому

    Climate gani hiyo yasiku ngp ataa amekonda

  • @AshaMaria-tx8qm
    @AshaMaria-tx8qm 20 днів тому +1

    Wewe Daudi wee Mjinga Sana, Mwanzo unafaa Omshuru Uyo Mama Sana, kama siuyo Mama ungewahi Ona Uyo Mtoto🥲🥲

  • @pamelakavochi
    @pamelakavochi 20 днів тому

    Daudi can you stop

  • @MaryWairimongatia
    @MaryWairimongatia 19 днів тому

    Daudi ww haunibambi unaongea aje mbele ya mtoto kw

  • @LydiacheropSagit
    @LydiacheropSagit 20 днів тому

    Ata huyu mtoto anafanana tatiana

  • @MwajumaElias
    @MwajumaElias 19 днів тому

    Hapo daudi uwe mpole sababu , hata Mimi niliacha mtoto na mama yangu akiwa na mwaka , nikaenda kufanya kazi ,nilikua miaka miwili tu nimerudi hanijui Wala Hana habari na Mimi ,Hadi leoo ana miaka nane aniita mama kama neno tu ila hata haoneshi kua Mimi na mama yake kabisaa ,mwazoni nilikua na Lia ila nikaona mtoto Hana kosa koz sikua nae ndio maana

  • @SaumuhamisiHamisi-w9r
    @SaumuhamisiHamisi-w9r 20 днів тому

    pliz daudi huyo mom atoke hapo na akuachie mtoto

  • @joycewanjiru9813
    @joycewanjiru9813 20 днів тому +1

    Kweli daudi umgevalia vizuri kweli Sasa kitambaa kichwani makabuti pia mtoto kakuongopa

  • @KamonyaSilvia
    @KamonyaSilvia 20 днів тому

    Angie saidia daudi daktari acheze kama yeye mtoto akae na babake

  • @InnocensiaMokaya
    @InnocensiaMokaya 20 днів тому

    Oana tu sasa hata km mama ni mkubwa

  • @AAs-qw7fs
    @AAs-qw7fs 20 днів тому

    Wee mama wacha ujinga peanamtoto wa daudi katafute wako wacha kujipendekeza kwa daudi

  • @DorothyNgata
    @DorothyNgata 20 днів тому

    Wee mama umeanza kiburi eti wee mama mzazi,ni kweli mtoto amedhoofika kubali

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 20 днів тому

    Mweleze mtoto vizuri ulijua auko

  • @DianaMuhonja-oi9co
    @DianaMuhonja-oi9co 19 днів тому

    Daudi jaribu uvae smart unavaa kama mwendawazimu hadi mtoto anakukataa vaa vizuri 😂😂😂😂😂😂

  • @SaumuhamisiHamisi-w9r
    @SaumuhamisiHamisi-w9r 20 днів тому

    huyu mama mkimuachilia huyo mtoto atamfanyia mbaya

  • @aishafranco1055
    @aishafranco1055 20 днів тому

    Wee daudi chukua mtoto wako usimsikilize huyo dada dakitari atamtengeneza

  • @GloriaKawira-w5u
    @GloriaKawira-w5u 20 днів тому

    Daudi toa hio kabuti ,,alfu muite tatiana tuone kama atamjua

  • @Mwasi791
    @Mwasi791 20 днів тому

    Huyo mama sio Muzuri yeye ahache mtoto tu wala msikubali aende na huyo mtoto maana ni yeye anamwambia huyo mtoto maneno mengi na mkikubali aende nayeye akuna siku atakubali Daudi mana huyo mama ataendelea kumwambia vitu vingi please

  • @MwalimuKatana-yc1cz
    @MwalimuKatana-yc1cz 20 днів тому

    Wewe daud ni mjinga juu watakikana uregeshee shukurani kwa huyo mama

  • @SaumuhamisiHamisi-w9r
    @SaumuhamisiHamisi-w9r 20 днів тому

    chukua huyo mtoto ukifika kaa naye daudi then mpee maitaji mazuri

  • @Kenyalydiahmonayo
    @Kenyalydiahmonayo 20 днів тому

    Ata Daudi afae vizuri atoe hiyo kitambaa ungogo daudi aende na mtoto.

  • @WinnieChepsergon
    @WinnieChepsergon 20 днів тому

    Mtoto anafanana huyu jamaa

  • @HarietDana-pb4iy
    @HarietDana-pb4iy 20 днів тому

    Amefundisha mtoto huyu mama Ila mtoto kwani wewe madam ulikuwa WAISHI naye hama ulikuwa umeachia MTU mbone mtoto anakaa hivo