VIJANA ACT WAZALENDO WATUPIA LAWAMA JESHI LA POLISI KUTEKWA NA KUUMIZWA ABDUL NONDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 5 годин тому +3

    Nawakumbusha!!! Mliyaponda maandamano ya chadema na kutoyaunga mkono, mkafikiri mpo salama.

  • @danielkanso
    @danielkanso 4 години тому +1

    Naam naona baadhi vyama vilivyo kuwa hawa elewi sasa wanaanza kuelewa na bado kilichobaki ni tectic tu wanao tawala kwa nguvu kuja kupigana wenyewe kwa sababu mwisho wa uongo umekaribia maarifa ime zimwa kwa nguvu na ujinga na upumbavu umepewa nafasi professor hauna maana tena kama yule wa pale ubungo

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 49 хвилин тому

    Kumbukeni mliwapinga chadema ili muonekane wazuri kwa ccm, tulie pamoja

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 3 години тому

    Eti ametekwa 😂😂😂😂alafu Mnyika ndio anajua mapema😂😂

    • @askarikanzu1054
      @askarikanzu1054 22 хвилини тому

      Hawa jamaa wanapenda sana kufanya propaganda za kitoto.

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 4 години тому

    Wanasema ukiona fimbo iliyompiga mama yako wa kambo itupe mbali, ninyi mliona utekaji ni wa wapinzani wengine siyo nyie. sasa hata nyie mmeonja joto ninaamini hata wale wanaotuma watekaji, ipo siku watatekwa na wao.

  • @OswardAbdalla
    @OswardAbdalla 4 години тому

    Mnaachama Nini nyie sii ndo mlisema hamtaki maandamano yakuhusu utekaji njooni tulie pamoja

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 4 години тому

    Mliwazarau chadema

  • @chikizamifupa5786
    @chikizamifupa5786 3 години тому

    Kujiteka ni kutamu Mnyika kila tukio la kutekwa kwa watu ni kwa nini anakuwa wa kwanza kufahamu? Tutafakari sana.

  • @EdwardLutema-ez7yq
    @EdwardLutema-ez7yq 4 години тому

    Hako kazoefu ka kujiteka