Unapoamka Asubuhi unastahili Haya Yafuatayo, Chukua hii Kutoka Kwa Mtume BUldoza Mwamposa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • #ApostleBuldoza #dijacsonloyal #GodisGoodAlltheTme
    Catch up with Dijacson Loyal on Social Media
    / dijacsonloyalmusics
    / dijacsonloyal
    / @i.ftvonline
    / dijacsonloyal
    Catch Arise & Shine Ministries across the social Networks
    www.google.com...
    / arise-and-shine-minist...
    / ariseandshinetanzania
    / @ariseandshinetanzania...

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @stetualois8069
    @stetualois8069 3 роки тому +5

    Amina--Naamini NENO Kwa IMANI-SIOGOPI-Blessed Apostle

  • @HappyMwaja
    @HappyMwaja Місяць тому +1

    Amen naamin mwanangu yupo salama shulen na ninpotoka kwenda kazin nina ushind na ninaamin maisha yangu yakaongezeke na kuwa na wateja weng zaidi nikaongezeke na kuzidishwa kwa jina la yesu amen

  • @atanito1327
    @atanito1327 3 роки тому +4

    aleluyaaa mwamposa tupe neno amen naomba uniondolee hofu ninachohitaji ni heshima kwa kila mtu na mafanikio amen naomba nisaidie baraka zimiminike

    • @sabramau
      @sabramau Рік тому

      Asante bwana ntk leo napokea kufunguliwa leo kibiasha kipesa kikazi napokea ndoa 🙏

    • @marydimoso3055
      @marydimoso3055 Рік тому

      Amen

    • @gahungusilas9639
      @gahungusilas9639 Рік тому

      28/5/2023 sante mungu nimeona muwujiza🙏🙏🇧🇮🇧🇮

  • @florakagaruki6172
    @florakagaruki6172 2 роки тому +2

    Nataka nistawi Kwa jina la Yesu. Amina

  • @aminakiboma8537
    @aminakiboma8537 3 роки тому +6

    Amen
    Nabarikiwa sana na hii Clip ya maombi ya Asubuhi naanza siku vizuri sana na Amani

    • @leahfuti2249
      @leahfuti2249 3 роки тому

      Amena nimepokea upako

    • @leahfuti2249
      @leahfuti2249 3 роки тому

      Nimebalikiwa sana amena🙏🙏🙏

    • @leilamakenya5522
      @leilamakenya5522 3 роки тому

      Napokea Kibali dabo

    • @leilamakenya5522
      @leilamakenya5522 3 роки тому

      My son Imu ufaulu mitihan wake wa form six apate dvs one ya kwanza

    • @ashurarashidi4962
      @ashurarashidi4962 10 місяців тому

      Emungu naomb umuombee mwanangu aache kujikojolea shuleni naunip kibali cha kuzidiwa na wateja dukani kwangu

  • @himidiramadhanimziba1779
    @himidiramadhanimziba1779 Рік тому

    Asante Mungu kwa kuyajibu maombi yangu, niliomba watu wanao nidai zambia nitakapo ongea nao wanielewe, namshukuru Mungu kwakuwa wamenielewa,

  • @ednayona4255
    @ednayona4255 4 роки тому +6

    Mungu akubaliki babaangu

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 Місяць тому

    Arise and shine mungu leo natangaza mafanikio zaindi kwenye bihashara yangu amen

  • @gracesamson924
    @gracesamson924 2 роки тому +27

    Asante MUNGU niliomba binti yangu ajifungue mtoto wa kiume,amejifungua mtoto wa kiume tena kwa njia rahisi kwa jina la YESU nimepata mjukuu wa kiume anaitwa william Ameeeen

    • @anusiathandunguru7527
      @anusiathandunguru7527 2 роки тому +5

      Asante yesu kwaniamsha salama

    • @chaohappy6328
      @chaohappy6328 2 роки тому

      Mungu wa mtume mwamposa asubuhi yng owe ya ushindi kiafya, kiuchumi, kibiashara uzao wangu uwe wa ushindi niwe kichwa na so mkia Mungu nibariki Kila mahali

    • @manajomaahmed6826
      @manajomaahmed6826 2 роки тому

      Asante mungu nmwema mwenya baraka naamini Leo umenigusa na watoto wangu katika jina la yesus ameni

    • @yvonnentawigirira7697
      @yvonnentawigirira7697 Рік тому

      Chalon naitaji maombi ninashida yagukosa pesa ndani yanyumba chuma ulete unaniteza naomba muniombeye

    • @stelasambala
      @stelasambala Рік тому

      Asante MUNGU kwa kuniamsha salama ameen

  • @Joyceruben-x6s
    @Joyceruben-x6s Місяць тому

    Mungu wa madhabahu ya rise and shine bariki tumbo langu nipokee ujauzito kiurahis

  • @marymary8313
    @marymary8313 3 роки тому +7

    Amen, naomba watoto wangu wakue wasima wako mbali na mimi na mmoja mgonjwa apone katika jina la yesu

    • @salamaseif4183
      @salamaseif4183 2 роки тому

      Nimepokea ninaimani nitafanikiwa

    • @brandinayusuph8397
      @brandinayusuph8397 2 роки тому

      Mungu nisimamie kwa kira jambo inayokuja mbele yngu maadui zangu wte washuhudie mafanikio yangu ninapoenda kazini nyota angu ikaangae maadui washuuduie wafubae wte maadui zanguu ameni

    • @brandinayusuph8397
      @brandinayusuph8397 2 роки тому

      Nakuomba mungu nipe mme alie bora na mwenye upendo wa dhti mwanaume yyte yule alieumiaza moyo asipate mwanamke akipata mwanamke wagombnage kira cku nakuachanaa

    • @RachelSamso
      @RachelSamso Рік тому

      Mungu naomba nikazidiwe na wateja kwenye biashara yngu

    • @RachelSamso
      @RachelSamso Рік тому

      Mungu naomba unipe mme mwema nakwamini wewe katika jina la yesu

  • @zsdhalhinai3367
    @zsdhalhinai3367 Місяць тому

    Nawaunganisha na mazabau yako ya maombi ya Asubuhi ii Zaid Saleh AAkawe zaid kama jina lake na khairat jokha najima Wote pamoja na watoto wangu nyumban popote walipo wakapokee baraka za mungu Asubuhi hii Amina

  • @therezaraphael9852
    @therezaraphael9852 3 роки тому +8

    Amina baba naomba nipate mtaji wangu nimechoka kuwajiliwa🙏🙏🙏

  • @senorinamuhindi4726
    @senorinamuhindi4726 Рік тому

    Asante mungu kwabarakazako zaAsubuhi najua nimefunguliwa nanime pata kibali marambili ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nyalerose1828
    @nyalerose1828 4 роки тому +7

    Amen mtumishi

    • @lovenesscharles
      @lovenesscharles Рік тому

      Amina mtumishi maombi yamenipa faraja Jana usiku nilikuwa naumwa jjicho nyama ilikuwa inacheza ya chini.ila nimepokea asubuhi ya Leo na nimefunguliwa Kwa uponysji

  • @consolataanyambilile-mr5ph
    @consolataanyambilile-mr5ph 3 місяці тому

    AMEENI ee mwenyezi Mungu naomba nifungulie milango ya baraka cku yangu iwe ya mafanikio

  • @emmanuelmwasyoge2053
    @emmanuelmwasyoge2053 3 роки тому +3

    Amen,Mungu wangu asinzii naomba bariki familia yangu pamoja na uzao wangu

  • @omukashopping9152
    @omukashopping9152 2 роки тому

    nasegea kazini naomba balaka telee Asubui yareo nipate wateja wajumla wengi kuanzia sasa ivi Amina napokea tsh.290000 nizipate kilaisi sana kwa jina la yesu kiristo Amina napokea

  • @bernadetamuzyenge9174
    @bernadetamuzyenge9174 3 роки тому +4

    God bless you man of God

  • @colletminanago3240
    @colletminanago3240 3 роки тому

    Tumsifu Yesu Kristo
    Naomba kwa waumini wa Arusha kupitia arise and shine Mimi nahitaji mafuta naweza kupata wapi. Mbarikiwe sana kupitia mtumishi wa Mungu Apostle Bonifasi Bulldozer.

  • @mamaflorah9035
    @mamaflorah9035 3 роки тому +6

    Napokea maisha ya furaha na mahusiano yangu yawe yenye nguvu za Upendo wa ajabu ee Mungu napokea ndoa na mafanikio yangu katika Jina la yesu

    • @salamakazi3767
      @salamakazi3767 2 роки тому

      Amen

    • @richardlugaye7899
      @richardlugaye7899 Рік тому

      Napokea kupata kazi napokeakupata nguvu za mafanikio napokea kupata mfadhila kuanzia muda napokea mume mwema kuanzia muda huu katika jina la yesu

    • @shakirayohana3936
      @shakirayohana3936 Рік тому

      Mungu nipe kibali chaushindi nignguliwe Mimi na familia yangu mwanangu awe salama anitafte aludi nyumbani

    • @shakirayohana3936
      @shakirayohana3936 Рік тому

      Amina amia

    • @muhongamalieric1412
      @muhongamalieric1412 Рік тому

      Amina Mungu atufungue kwa jina la Yesu kristo 🙏🙏🙏

  • @marthastanley3928
    @marthastanley3928 5 місяців тому

    Mungu naomba biashala yangu ikue na nipate wateja waongezeke akanizidie katika jina la YESU Amina naomba ukanitendee

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 4 роки тому +6

    I'm blessed🙏🙏🙏🙏

  • @shakirayohana3936
    @shakirayohana3936 Рік тому

    Niasibui yakibali kwajina la yesu mungu nisaidie iwe ski ya tofauti kilio ski zote zilizopita yaleo nafnguliwa kifamilia kiuchumi kiafya kimafanikio sula yangu inapona Joni mahaba anatoweka niusku yangu yaushindi Amina nafnguliwa uzazi wangu nafnguliwa kutaftwa na mwanangu amina

  • @AsimweAnthonylukazaAsimweAntho

    Mungu wa madhabahu hii naomba anifungue kiuchumi niweze kupata mwanaume sahihi wakunioa na anifungue nyota yangu iweze kungaa na kuonekana na namuonba mungu aweze kupatanisha baba angu kumusamehe kaka angu waweze kuelewana kama zamani amina

  • @senorinamuhindi4726
    @senorinamuhindi4726 10 місяців тому

    Ebwana yesu Nina amini mjukuu wangu chirstian chambulilo atafaulu mtiani wake darasa lane mungu umbariki naafaulu vizr kupita maombi yako ameeeeeen I🙏🙏🧑‍🤝‍🧑

  • @nusurahassani4760
    @nusurahassani4760 6 місяців тому

    Mungu naomba kibari kazini kwangu n atak wanipende wote na kunikubali kwajina la yesu madamu mama madamu baba madamu wanikubali na kunipenda kwajina la yesu

  • @abdisuleiman6815
    @abdisuleiman6815 2 роки тому

    Ameen napokea naomba baraka zako kwa watoto wangu ondoa maradhi juu yao yatoke kwajina la YESU

    • @estaamos7419
      @estaamos7419 2 роки тому

      Napokea mibaraka ya uponyaji juu afya yang u,mama yangu,Dada a ngu pamoja binti angu napokea ushindi kwenye mtihani Wangu unaoanza kesho As ante yesu kW akin is hind ania Amen

  • @omukashopping9152
    @omukashopping9152 2 роки тому

    Naomba mungu uniinue kiuchumi nisimame imala naomba kibali nipate wateja wajumla nareja kuanzia sasa ivi Amina na bomba nipate wepesi wakulipa mkopo wangu ninao daiwa kwa wepesi Amina

  • @aisharamadhan422
    @aisharamadhan422 2 роки тому +2

    Amin napokea mchumba wangu leonard mbeta arudi natufunge ndoa katika jina la yesu

    • @LilianiBandari
      @LilianiBandari Рік тому

      Mungu. Natakahamis. Anipende. Sanatenasana. Nawemme. Mwemasanakwangu. Nazd. Kunipenda. Anipendesana. Yeyekulikoninavyompenda. Mimi. Naanijari. Sana

    • @ElizabethMbaula
      @ElizabethMbaula 4 місяці тому

      Siogopi kamwe kwenye maisha naanza na ushindi naofu hiondoke,kujiamini,mashaka yaondoke kabisa

  • @mberwasevelian7406
    @mberwasevelian7406 Рік тому

    Mungu wa madhabau ya rise and shine bariki kazi ya mikono yangu inuke na kuangaza Kila niendako nikubalike

  • @marrykyara6247
    @marrykyara6247 Рік тому

    Asatee mungu naomba unifungulie biashara yangu imekuwa na vikwazoo vingi maadui wanazidi kuniandama naomba nisimamie Amina mery kyaraa

  • @EsterPaulo-in5cq
    @EsterPaulo-in5cq Рік тому

    Bwana yesu asifiwe mtume naomba. Asubh yangu yaleo ikawe yabaraka nikafanikwe Kila ninachokiomba nikalipe maden yote nikasimameimala katk mafanikio amina

  • @SaleheKinanga
    @SaleheKinanga 2 місяці тому

    Amina baba. Ntaitwa kazin Leo kw sababu Mungu ataenda na mm Kila hatua.❤️🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kenedytibaijuka8680
    @kenedytibaijuka8680 2 роки тому

    Ahsante yesu kristo kupitia mtumishi wako mwamposa nashine Kila mahali na nimefunguliwa sifa na utukufu nakurudishia ewe baba muumba wa mbingu na nchi

  • @victoriashelutete
    @victoriashelutete Рік тому

    Asante Mungu wa mwamposa tumeamka asubuhi salama ila tuko kwa vita tuna jirani msaaada baba na Amini baba maana nilikotoka ni mbali baba nisaidie Amina

  • @estermlonganile1604
    @estermlonganile1604 3 роки тому

    Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana hatuogopi imeshindwae kwa Damu ya Yesu Amina

  • @webirosalumu162
    @webirosalumu162 Рік тому

    Asante yesu,niliomba mwanangu achaguliwe ktk shule bora ,na sasa shule ya vipaji maalum,Eee mungu zid kuwafungua na wadogo zake.

  • @victoriangailo5909
    @victoriangailo5909 Рік тому

    Mtume nisaidie kwenye biashala yangu naomba maombi yako amen

  • @queenabel5993
    @queenabel5993 5 місяців тому

    Ameen napokea kwa jina la yesu nakwenda kufanikiwa kila mahala

  • @modestermaganga234
    @modestermaganga234 10 місяців тому

    Asante mungu Kwa ulinzi wako mkuu naomba unilinde siku ya Leo naomba riziki yangu naomba afya uchumi kazi familia yangu nikutanishe na watu sahihi Leo Aminaa

  • @siliviamaneno2905
    @siliviamaneno2905 5 місяців тому

    Mungu umutangurie mwanangu joanesi safarini afike sarama katika jina ra yesu ameeni

  • @mrsmwakalinga2245
    @mrsmwakalinga2245 2 роки тому

    Amina napokea ujasili ktka biashara yangu nakataa roho ya uoga kwa jina la Yesu

  • @nicholausjoseph3391
    @nicholausjoseph3391 3 роки тому

    Asante mtumishi naomba niombee nipate kumjua mungu katika roho na kweli

  • @nusurahassani4760
    @nusurahassani4760 6 місяців тому

    Asante mungu nimeamka salama mungu naomba kibari cha kukubalika kazini hapa nataka wanipende wote nakujali wanikubati kwa jina la yesu

  • @LucyMmary-dm5vu
    @LucyMmary-dm5vu 11 місяців тому

    Asante mungu kwa zawadi ya ck mpiya iwe ckuya baraka na mafanikio

  • @VictoriaMilinga
    @VictoriaMilinga 2 місяці тому

    Nashukuru sana maubili yako ingawa nachangamoto nyingi sana natumaini ipo siku nitawekewa mkono wako aminna

  • @marrykyara6247
    @marrykyara6247 9 місяців тому

    Asateee mungu kwa kuniamusha salama na familia yangu mungu tangulia mbele yangu biashara yangu naikabizi mikononi mwako amen amen

  • @user-sq1km2zx6t
    @user-sq1km2zx6t 9 місяців тому

    Mungu naomba uniponye namarazi aniondolee rohobyakukataliwa kwa mzazi mwenzangu naomba unisaidie nijiajir Nmechoka kuajiriw naomba kupata kaz kubwaa mikoan naomba watejaaaa naomb unikutanishe nawatu sahihi wakunisaidiaa

  • @nusurahassani4760
    @nusurahassani4760 6 місяців тому

    Mungu naomba unikutanishe na mabosi sahihi wanipende na kunisamini wanijali kwa mtu uwezo wake mungu

  • @estherlazaro6765
    @estherlazaro6765 2 роки тому

    Asante sana kwa maombi yako barikiwa baba nimepokea ,Mungu mwema

  • @dorcusnsajigwa7499
    @dorcusnsajigwa7499 5 місяців тому

    M naomba mungu anitendee nipate mtoto tu katika jina la yesu amen 🙏

  • @kyusa7002
    @kyusa7002 2 роки тому

    Amina barikiwa sana mtumishi naenda kubariiiwa kwa Jina la yesu kristo

  • @modestermaganga234
    @modestermaganga234 10 місяців тому

    Asante mungu Kwa ulinzi wako mkuu naomba ee mungu nkutanishe watu sahihi nipokee taarifa nzuri afya uchumi kazi yangu

  • @kamakiamollel1728
    @kamakiamollel1728 10 місяців тому

    Mungu wangu asubh ya leo naomba ubadilish maisha ya kirahis kwa damu ya yesu krsto

  • @zsdhalhinai3367
    @zsdhalhinai3367 Місяць тому

    Najiungamanisha mazabauni kwako asububi hii kupokea baraka za bwana mungu wangu kwa imani kuniokoa na maadui wote

  • @rosekomba8324
    @rosekomba8324 2 роки тому

    Aminaaa naomba baba nibadirsheee kimaishaaa kiafyaa kiuchumi mm na familia yanguuuu leoo

  • @brandinayusuph8397
    @brandinayusuph8397 2 роки тому

    Naomba mungu wa mwamposa nirudishie mchumba angu Benjamin charles mhare kwanzia sasa anitfte tumalize tofauti zetu zote

  • @nusurahassani4760
    @nusurahassani4760 6 місяців тому

    Mungu Asante kwa kuamka salama mungu naomba umponye mwanangu nasoro tumbo

  • @tumasechambo3040
    @tumasechambo3040 5 місяців тому

    Amina napokea kibali Cha kuiona siku hii ya Leo sitaogopa maadui🙏🙏

  • @mgasaglory2262
    @mgasaglory2262 Рік тому +1

    Asante yesu wangu kwakufungua maisha yangu nimeona mkono wako, Asante yesu 🙏 🙏🙏 kwakutuletea mtumishi wako Apostle Boniface Mwamposa yesu Asante kwani kupitia yeye maisha yangu yamebadirika nilikua mfuasi wawaganga lakini kupitia yeye nimebadirika naishi maisha yakukuabudu yesu wangu nakukuheshimu nakukutukuza jina lako lihimidiwe siku zote🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-hk6nc7zp9j
    @user-hk6nc7zp9j 2 місяці тому

    Naomba Mungu utimize Ndoto yangu yesu isiishiye kwenye Ndoto Ila ivae Mwili
    Yesu Naomba

  • @SuzyThomson
    @SuzyThomson Рік тому

    Namuombea mungu nisipate hasara katika kazi za watu changu kitabaku kuwa changu

  • @agathakatumba4736
    @agathakatumba4736 3 роки тому

    Mungu naomba ukamponye bibi yangu anaesumbulia na ugonjwa WA sukari kwa jina la YESU naamin.

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 роки тому

      Kwani Dada yangu huyo Mungu hana jina mpaka ulitegemee la Yesu? majina yake Yaweh na Allah. Yesu siyo Mungu ni Mwanadamu mwenzetu. Cheo chake Nabii aliyetumwa na Mungu. Yohana 17:3) Zaburi 68:20)

  • @innocentcazorla5938
    @innocentcazorla5938 2 роки тому +1

    Amen amen naomb mungu unibaliki niweze kuwa na watot katik jina la yesu

  • @FurahaCute
    @FurahaCute 11 місяців тому

    Amen mtume utuombeeh kiwango cha Imani kizidi naiman napokea nam leo ntapat mume sahihi

  • @asintaevaristmalungu8609
    @asintaevaristmalungu8609 2 місяці тому

    Aksante mungu kwa asubuhi hii mungu naomba umri mrefu mimi na mwanangu bensoni

  • @rosemhina6114
    @rosemhina6114 8 місяців тому

    Ahsante sana mtumishi. Mungu ni mwema . Amen !

  • @gracesamson924
    @gracesamson924 2 роки тому

    Nataka nipokee malipo yangu wiki hii katka jina la YESU Ameen

  • @asintaevaristmalungu8609
    @asintaevaristmalungu8609 3 місяці тому

    Aksante mungu kwakutuamsha salama Mimi na familia yangu tunaomba uponyaji na ulinzi wako

  • @anithaherman7260
    @anithaherman7260 3 роки тому

    Ameni mchungaji umenipa falaja leo niko huru sasa asante mwenyezi mungu akubariki

  • @SekilongeMishelli
    @SekilongeMishelli 29 днів тому

    Mungu naomba unipe nguvu niinuke nakuangaza Amen🙏🏿

  • @nusurahassani4760
    @nusurahassani4760 6 місяців тому

    Asante mungu nimeamka salama mungu naomba ulizi mimi na watoto wangu😊

  • @hervekapumba3866
    @hervekapumba3866 2 роки тому

    Amina n'a pokea kwa djina la yesu sitaogopa naenda mbele

  • @miriummbisse2278
    @miriummbisse2278 3 місяці тому

    Mungu naomba unisaidie nnapoibgia kazini siku hii ikawe ya kibali pia ulinzi Kwa familia yangu

  • @AsimweAnthonylukazaAsimweAntho

    Arise and shine mi namshukuru mungu nahisi kufunguliwa maana nahisi nikipata mushara natamani kufanya mambo makubwa na mungu amenipa nguvu yakuwapa habari wenzangu ambao awajamjua mtumishi mwamposa ili wamfatilie watapona mgonjwa yao nawengine wameanza kumfatilia mtumishi

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 7 місяців тому

    Napokeya Kwa jina la YESU kristo amen

  • @elinamadadi6737
    @elinamadadi6737 3 роки тому

    Namshukuru.Mungu.kwa.ulinzi.wake.Nawaungamanisha..ndugu.zangu.wore.mahali.popote.walipo.Bilakumsahau.mama.yangu.mzazi.bwana.aseme.nao.asubuhi.hii.Mungu.akuinue.mtumishi.was.Mungu.Akutendee.zaidi

  • @FloraAtanasy
    @FloraAtanasy 7 днів тому

    Namuomba MUNGU aniponye maumivu ya ziwa langu la upande wa kushoto . Na piha mtoto wangu akuwe vizuri na afya njema . Na piha mme Wangu apate kazi.

  • @rehemajuma7222
    @rehemajuma7222 2 роки тому

    Eee Mungunaoma umrudishe mchumba wangu tuwe kama zamani kabadilika baba naiomba unitendee tupendane kama mwanzo tulivyoanza tuweze kufikia malengo yetu Baba

  • @victoriashelutete
    @victoriashelutete Рік тому

    Amina mtume napokea kwa jina la ysu 🙏🙏🙏

  • @Latifa-ck9hi
    @Latifa-ck9hi 4 місяці тому

    Ahsante mungu nimepokea ktk jina la yesu kristo ameeeeen

  • @user-qp4ur2cj7c
    @user-qp4ur2cj7c Рік тому

    Eeh mwenyezi mungu ninajikabidhi mikononi mwa mtumishi wako uliye mchagua ninaomba kujifungua salama mimi pamoja na mtoto aliyetumboni mwangu utujalie afya njema sote tuwe salama ninajua mm ni mkosaji mbele zako mwenyezi mungu ila nina kili yesu ninakupenda wew ni msaada katika maisha yangu tadhama mfalme wa amani hatuna fedha yoyote kwa ajiri ya kukidhi mahitaji yetu fungua baraka na milango iliyofungwa kwetu

  • @modestermaganga234
    @modestermaganga234 Рік тому

    Asante mungu Kwa ulinzi wako wa usiku wa leo

  • @miriummbisse2278
    @miriummbisse2278 3 місяці тому

    Nakushukur mungu nliomba kazi na nimepata Kwa jina la yesu

  • @christinadominic980
    @christinadominic980 Рік тому

    Asante yesu kwa kuniponya sukari na sasa naendelea vizuri

  • @julietm5375
    @julietm5375 2 роки тому

    Niponyeshe uvimbe kwenye kifua changu. Amen.

  • @marrykyara6247
    @marrykyara6247 9 місяців тому

    Asatee mungu kwa kuniamusha salama mungu nitangulie tangulia biashara yangu na watoto wangu

  • @IreneShayo-oi5lp
    @IreneShayo-oi5lp 3 місяці тому

    Naomba mungu unitetee maisha yangu yakawe na furaha na amani daima ameen

  • @SayiJaccobo
    @SayiJaccobo 10 місяців тому

    Asante mungu kwa kuni amsha salama simama na mm katika biashara yangu naomba nikapate pesa

  • @teddymustapha1232
    @teddymustapha1232 2 роки тому

    Asante mwenyezi mungu najiweka Mbele zako baba naamini Leo nafunguliwa nazidiwa n wateja

  • @EsterSeleman-hd1es
    @EsterSeleman-hd1es 8 місяців тому

    Eee mungu fungua familia yangu mme wangu mashamba yangu naamin mungu napokea kirahis kwenye kazi yangu amina

  • @alifusamwely3627
    @alifusamwely3627 Рік тому

    Nami naomba niondoke na muujiza wa kupata mtoto kwa jina la yesu Ameeen 2:44

  • @user-jd1fd2dc7v
    @user-jd1fd2dc7v 21 день тому

    Baba katika jina la yesu naomba wote wanaodaiwa madeni na wazazi wangu waludishe kuanzia leo hiii

  • @nusurahassani4760
    @nusurahassani4760 6 місяців тому

    Asante mungu kwakunilinda mimi na watoto wangu na ma

  • @neemandilla9803
    @neemandilla9803 Рік тому

    Naomba mungu anifungue kiuchumi kupitia ibada hii nikafanikiwe nikazindiwe na wateja kwenye biashara Yangu 🙏

  • @Mohamed-qo3bg
    @Mohamed-qo3bg Рік тому

    Amisi kulwa naomba uombee ahache pombe nam unilind mimba yang wa2 wabay wakae mbal nam pia na familia yang amen

  • @sophiamogitu558
    @sophiamogitu558 3 роки тому

    Amina napokea kazi, nzuri na biashara nzuri,na ndoa nzuri.

  • @brandinayusuph8397
    @brandinayusuph8397 2 роки тому

    Mungu wa mwamposa naomba uisafishe nyota angu ingae naomba nirudishie mchumba angu tuelewane ameni

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 Рік тому

    Siogopi tena asante baba kwa mafundisho yako yameniinua