NAMIBIA GOVERMENT FREE THE KING RONALD MUWENDA MUTEBI OF BUGANDA KINGDOM ,WHICH IS FOUND IN CENTRAL UGANDA. THE KING IS MISSING, AND HE WAS TRAFFICKED TO NAMIBIA BY THE GOVERNMENT OF UGANDA 😢
Waouh, kiukweli ni nzuri sana dada Farida. Hapa swali langu ni ili: Hapo mulitumiya uzi ya Brazilian ngapi vidongi vingapi? Niko BURUNDI, nawapenda. Natamani Siku moja niwe nanyi hapo. Iyo namba yenu kwangu ndani ya WhatsApp naikosa sijui ni tatizo gani!
Kwa ukweli nimejifunza somo jipya....zaidi nakuombea afya n uzima uzidi kuwa na sisi wanafunzi kutupa ujuzi...ubarikiweee maana hakuna ubora kama kazi Yako binafsi
Ubarikiwe mpaka ushangae Mama, nmekuwa msusi maarufu kutokana na wewe madam, stay blessed ever, I wish one day nikuone live nkupee maua Yako ❤
Amina kipenzi Nashukuru sanaa
I’m ready to learn more of your skills in this hairstyle you are doing amazing working ❤❤❤
Nimeipenda hiyo dada mi nzuri na mimejifunza vema natamani ningefika darasani
Walahi iwas enjoying,,very amazing napenda san wew kwamafunzo yko farida naona kma iko rahis haitonishinda
Farida othumani 2:34 2:36
amazing sijawahi kusuka ila natumaini nitajua kupitia wwda Farida❤❤❤❤❤❤
Habari Yako dada! Mimi ni Grace Akoth kutota, kisumu Kenya. Ningependa kujuwa zaidi jinsi ya kutengenesa, girl guess braids.
Duuh wee dada jaman unaelekeza vizur sana yaan unapambana💪
Love from Namibia 🇳🇦 , I always watch your videos even if I don’t understand Swahili. I learn techniques from your videos
Thanks dear we appreciate
I like it❤❤
NAMIBIA GOVERMENT FREE THE KING RONALD MUWENDA MUTEBI OF BUGANDA KINGDOM ,WHICH IS FOUND IN CENTRAL UGANDA. THE KING IS MISSING, AND HE WAS TRAFFICKED TO NAMIBIA BY THE GOVERNMENT OF UGANDA 😢
Niceee🎉🎉please show clearly kungawa uzi yakushuka na ya kuvuta kindly
Ni model nzuri sanaaa nayipenda mimi ninashida yakujuwa nywele yakulala
Bunda ngapi za Uzi madam style Kali coboco style ❤
Mafunzo ni mazuri dada nakupenda kipenz
Nashukuru sana dada napenda kunuwa mengi zaidi namimi nafanya iyo kazi ila nafura kujuwa zaidi ma modèle
Unafundisha vizur dada hongera sana
Wooow nakupenda sanaa me n student queens college but napenda sanaa kukufuatilia
Ningependa kujifunza Abuja rastas
Hi love the hair, do you wrap untill hair is over then you start the twist.wondering if you have long hair
Dada mafundisho mazuri kweli ,,Nina swali Unatumia Brazilian wool size Gani ,,urefu na Kwa number?
Napenda sana nijuwe piya ❤
Nice sasa mmi nko Mombasa nitafanyaje nikitaka kujiunga na darasa
Hapo ni sawa kabisa nami niko haka Kigali Rwanda nafanya kazi ya kusuka nayipata iyo asante sana kwa iuo mafunzo
Nywele nzuri Sana Safi Sana dada Farida
Hongera Sana Dada mungu akutunze
Hapo tu naelewa sijui nikifika darasan itakuwaje maana Kila ufundishacho nishawasuka wateja wangu nashukuru sana mwalimu wangu
Ukija live utaenjoy 😂😂😂 Wanatuletega zawadi sanaaaaaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤
@@faridaothmankwahiyo kujifunza bei gani
Asante kwa mafunzo. Mazuri nimeelewa sanaaa❤
Napenda kujifunza kuazia nywele ya mkono, napenda kujifuza kusuka kwasababu napenda toka moyoni
Nywele ya mkono ni gani
Oooh wow nzuri sana nmeelewa asanta daa
Hi farida pokea salamu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
Nimependa sana kazi yako jmn nataman uwe mwalimu wng🎉
Waoooo jaman nzur sanaa nimepata hiyo❤️❤️❤️
Asante ila sisi kwetu nishida sana kwetu congo
Nakupenda Bure dada faridaaa mungu akupe maisha marefuu
Ahsante sana dada Mungu akbrk nimeelewa ni bunda ngap
Da farida nywele ni nzur kweli
Ni nzuri ❤ ni bei gani na unatumia bunda ngapi kwa Rasta ya kawaida!
Napenda sana kuja kujifunza kweny chuo chenu
I like the hair ❤ it's cool... Ni bunda ngapi hapo za Brazilian plz
daaah! ni nzuri sanaaaaa je, ya rasta inakaaje
Nyele ni nzuri je unaweza kuanzia kusuka kwamkona Wa kuume
Naomba kujifunza hii nywele nimeipenda💯
Yan ni tam sana hii nywele ❤asante my forever darling
Asante Santa nimeipenda hiyo nywele😅
Absolutely beautiful. Where can I purchase the wool?
Amazon Brazilian wool
Unafundisha vizuri sana
Wooow ni nzuri nzuri tena ❤ ...
Asante kwa darasa jaman kwa wenye idea ya kusuka hii ni fursaaaa❤
Santee
Nzuri xanaa,ni bunda ngapi katumia mpenz
Merciii beaucoup pour la vidéo j'ai toujours voulu faire ces tresses mais je ne savais pas comment on procédais
napenda sana kusuka nimeshaelewa hadi raha❤
Naelewa sana dada hongera
Asante da Farida kwa somo zuri ubarikiwe sana
I want to try it on my daughter what do u use is that gel ? Watching from Zambia 🇿🇲
Hakuna sehem nyengine ambayo mnafanya Mafunzo ya live tofaut na Tegeta?
Ni nzur mependa naomba kujifunza Kila nywele
Nimelewa na mnafunza staili Kwa Siku 🎉❤
Hongera sana dada unafundisha vizur
Wow wewe unajuwa vitu vingi sana ❤❤
Asante kwa ku share na sisi ujuz God bless you dear
Thanks very much but sijaelewa hiyo ya kuvuta inatoka wapi please?
Asante Kwa mafunzo, nikihitaji kuingia darasani ada Bei gani?
wao nimependa pia nimependa kipind chako dad
Nimeelew nzur sana inapendeza unajuah kufundisha
Me naspring kulia unakaa vzr pia asante sana
Mafunz yako vzur sana❤❤❤
Hello me Nina swali,ukishakata wool unaehasabu utajua unaweka kama pices kama ngapi?
Ninapenda sana ufundishaji wenu mana wengine atuelewi engrleshi
Nafurahishwa sana namafundisho
Waouh, kiukweli ni nzuri sana dada Farida. Hapa swali langu ni ili: Hapo mulitumiya uzi ya Brazilian ngapi vidongi vingapi?
Niko BURUNDI, nawapenda. Natamani Siku moja niwe nanyi hapo.
Iyo namba yenu kwangu ndani ya WhatsApp naikosa sijui ni tatizo gani!
❤ amazing job I'm learning
Nakuelewa sana napat wateja sana
wow 😘😘👌👌ni rahisi san hii nywele jaman
Can I do this on my natural locs?
Masha'Allah nzuri kweli ila naomba kuuliza unapo vuta unazuia nywenye nyembamba ama nene?
Samahan dada sijaelewa vizuri
Asante San dada na kama unataka kutumia rasta uyakawaida na urefu itakuwaje
Nathaniel kujuwa hyo style..bt nko kenya❤
Nataman jaman I like it and I like the way you are teaching I wish niwe mwanafunzi wako ata Kama n online
Ni nzuri sana kwakweli
Beautiful. I had to subscribe and love this video.
How long did it take you to do her hair?
Thanks 1 hour
Thenk you so much for teaching dear
Nafurahia sana kwa mafunzo mazuri kama haya natamani kuja kujifunza karibu kabisa .ok na je hiii inatumia brazili ngapi
YATEGEMEA na ujazo wa nywele za mteja wako
Kama hizi zimetumia ngapi..love
Where are you located?
Hi aina ya nywele inasukwa kwenye nywele ndefu tu au na fupi?
So cute
Unaeza songa hii kwa dreadie?
Asante sana dr tunaelewa
Hasante sana dada yetu tuko tunajua vitu kilais sana
Na ukitwist to the right hand side itakuwa aje?
Me nahtaj kujifunz Kwa vtendo Sasa cjajua huo mdor unauzwaje????
Yaan jmn we dada MUNGU akubariki sana yaan me najifunza vitu vingi sana kwako kwakweli
Kwa ukweli nimejifunza somo jipya....zaidi nakuombea afya n uzima uzidi kuwa na sisi wanafunzi kutupa ujuzi...ubarikiweee maana hakuna ubora kama kazi Yako binafsi
❤
Dada Asante sana unanisaidia huku Kenya Mombasa
Mimi ndio nime jiunga nawewe Dear but kaz zako bomba sana ❤
How many Brazilian wool one is suppose to have to finish the whole head
Hi ,mi napenda iyi nyweri kbsa.naninakupenda sana.miye niko Rwanda.
I just wish mgekua na branch Nairobi😢
Ni nzuri mno asante sana❤❤❤❤
Nimeipenda
Nimekupata dada Farida from Tanzania geita katoro
Nielekeze jinsi ya kulipia ili niweze kujifunza zaidi
Kweli ni nzuri