Mtoto wa Kizungu wa Miaka 13 ashitaki Wazazi wake kisa kumpeleka kusoma Afrika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @NimrodiBenjamin
    @NimrodiBenjamin День тому +9

    Bora Africa uje dogo uko ungekuwa shoga tuu shukuru umeletwa uku Africa

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 День тому +5

    Yaani wakulete usome Africa Bora umewashitaki

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 10 годин тому

    Haya kuna mwafrica anae weza kwenda kushtaki kwa kupelekwa kusoma ulaya hiyo ni ishara ya kuonesha kwamba ujinga tulionao waafrica wa kuona ulaya ni bora kuliko africa yetu ni upumbavu ambao tumerithishwa na hao wazungu

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 9 годин тому +1

    Ulaya haina maadili mazuri ya kumlea mtoto sas wanaona bora africa kuna maadili ila dogo haelewi😅

  • @enocmsafi2023
    @enocmsafi2023 8 годин тому

    Kasongo wewo 😂😂😂😂

  • @hopechidera
    @hopechidera День тому +4

    Mbona waalifu wanajaa na Afrika,hao wazazi watakua ni wa kiafrika tu...

  • @user-nd3sc6lk2n
    @user-nd3sc6lk2n День тому +1

    Ulikuwa unasaidiwa uxipadwe

  • @maase2023
    @maase2023 День тому +2

    Wanamleta dogo asome nn afrika zaidi ya fitina na majungu tu

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 12 годин тому

      Mbona haikubali bara lako jamani?

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 11 годин тому

      ​@@humbleshoalMnaibiana kura, mnaua wapinzani mtoto wa watu angejifunza nini sasa?

    • @estellasimon2771
      @estellasimon2771 11 годин тому

      Utaongea hvyo kama hujui watoto wa ulaya wanayopitia, yaan uhuru umepitiliza to the point wanaamua wanachotaka hata hyo elimu kwao syo muhim tena coz they have everything, hii inawaathiri watoto jawana elimu ya maisha kabisa they don’t care about other people’s feelings,
      So kumleta Africa wamemaanisha afundwe kivingne coz tuna sheria kali na viboko pia, hv unafikiri kuna mtu anayempenda mtoto kuliko mzazi?? Hakuna

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 11 годин тому

      @estellasimon2771
      Wangeweza kumuadhibu wao wenyewe unataka kusema kua mtoto kawashinda kabsa?

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 9 годин тому

      ​@@rumdeesonsoa1811Kwan kaletwa kwaajr ya siasa.

  • @HusnahMaulid-wi8dl
    @HusnahMaulid-wi8dl 14 годин тому +1

    Wakat anakua mlifundisha sisi ni manyani mmeona madhar yake😂 dog hatik kukaa na nyani😊

  • @maase2023
    @maase2023 День тому +3

    Huyu dogo sawa kabisa utamletaje afrika eti asome wakati afrika yote elimu wanakwenda marekani na ulaya na china sawa kabisa dogo maana afrika hamna masomo ya maana

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 12 годин тому

      Jamani kwa hio Afrika ni bure!?

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 10 годин тому

      Hapa sidhani Kama aliletwe kusoma Bali aliletwe kwaajili ya kujifunza tabia nzuri

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh День тому

    Bora mwnangu komaa wanakuletaje huku ss wenyewe tutamani kuja huko kwenu

  • @HawaBakari-u6q
    @HawaBakari-u6q День тому

    Dogo lia kabisa kama unawadai figo mana huku afrika ni nyan na ccm tu hakuna jipya😂😂

  • @hopechidera
    @hopechidera День тому +1

    Bahati nasikia sauti yako unaanza ifanyia kazi...

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b День тому +1

    Koma dogo unahakri nzuli sana utasomaje nanyan

    • @kelvinMakene
      @kelvinMakene День тому

      Wewe ndonyani

    • @DaudFataki
      @DaudFataki День тому

      Mbona mungu karuumba vizuli sana af sisi tunajifananisha na nyani aisee yan mmtu akithubutu kuniita nyani kisu cha koromelo hata kituo cha polisi

    • @khalfanothuman9988
      @khalfanothuman9988 12 годин тому

      Wewe utakuwa mzungu na unaubaguzi wa hali ya juu sana

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 12 годин тому

      ​@@DaudFataki
      Achana nae hajielewi huyo ndio maana anajitweza mwenyewe

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 11 годин тому

      ​@@humbleshoalAnajielewa sana tu. Mnaibiana kura, mnaua wapinzani mtoto wa watu angejifunza nini sasa?