Hahaaaaaa mmejitahidi saana ila inatakiwa mtafute mtaalamu wa kupanga mtiririko wa history ya wimbo wote. Yaani wimbo unaanza una KIINI,, (SUBJECT) NA MWISHO wake,, Pia mngepata anaewasaidia arrangement ya sauti. Pia na kwenye jina LA wimbo uliandika SAFARI NINDEFU,, ungetenganisha ikawa hivi SAFARI NI NDEFU. Ila mengine vizuri kabisa Mungu awatangulie kwa hii kitu iko salama
Imana igukomez
Imana igokomeze kibondo
Hahaaaaaa mmejitahidi saana ila inatakiwa mtafute mtaalamu wa kupanga mtiririko wa history ya wimbo wote.
Yaani wimbo unaanza una KIINI,, (SUBJECT) NA MWISHO wake,,
Pia mngepata anaewasaidia arrangement ya sauti.
Pia na kwenye jina LA wimbo uliandika SAFARI NINDEFU,, ungetenganisha ikawa hivi SAFARI NI NDEFU.
Ila mengine vizuri kabisa Mungu awatangulie kwa hii kitu iko salama
Muravuze nezaaa cane bazobikora
Amen 🙏
Amen.
Amen amen
Nimukomeze ntimusubire inyumaaa by Rubin
wow...be brave guys