Nyinyi wa Tanzania muko majirani wetu halisi, Sisi tutawa Saidia kuji qualifier Sasa muta enda Éthiopie mujikaze sana mupige ile team kule! Sisi tutawa pigia Guinée Sasa musipo piga Ethiopie muta Aribisha mambo yoooote! Kisha mukuye toka ata 0-0 Na Guinée kwenu, Na muta pita nyuma yetu! Mujikaze
Watanzania tuwasapoti wachezaji na makocha wetu, wameeleza vizuri kuwa timu ya Taifa ni timu ya wote, tuache tabia ya kuzama Nani kaitwa Simba au Yanga huo ni ulemavu wa kifikra
Mungu Itangulie timu yetu ya taifa, taifa stars
Kwakeri hapo kocha umechemka mzize unamtema❤
All the best taifa stars mungu atutangulie🎉🎉
Mzize mumemuacha mmepugi sana! Msiangalie makosa yaliyo pita
Mzize ameitwa bhn hajaachwa
Sikiliza vizuri mzize yupo sanaa
Bilashaka Jamhiuri Kiwelu kajipeleka stars kama ilivyo ada yake😂😂
Nyinyi wa Tanzania muko majirani wetu halisi, Sisi tutawa Saidia kuji qualifier Sasa muta enda Éthiopie mujikaze sana mupige ile team kule! Sisi tutawa pigia Guinée Sasa musipo piga Ethiopie muta Aribisha mambo yoooote! Kisha mukuye toka ata 0-0 Na Guinée kwenu, Na muta pita nyuma yetu! Mujikaze
Daaa ulivoongea vizuri kaka washauri bc naaikina mayere wajitahidi kabisa Ili waifunge kabisa hiyo timu😂😂
Kila lakheri star's 😂😂😂🎉🎉
Shida yetu sisi mashabiki Kila mtu ni kocha! 😂
Sijaona beki mzuri kama haji mnoga.harafu wanamuacha
Kocha manula anaendakutuua na metacha
Haji mnoga mbona wanamuacha jamani
Watanzania tuwasapoti wachezaji na makocha wetu, wameeleza vizuri kuwa timu ya Taifa ni timu ya wote, tuache tabia ya kuzama Nani kaitwa Simba au Yanga huo ni ulemavu wa kifikra
Nawaona guine wakija kushinda hapa hapa.
Yewezekan majeruhi
Ginne wako fit sanaa
@@johnkiganga6014 wewe mpira unajua kweli kabisa guine wako vizuri! Wengi WANAFIKILI kwa sababu tumewafunga kwao tutaokota point bongo
Hata katoro alifungwa kwa uzembe wa beki mwanyeto katoro n mzuri sana
PLEASE KAMA MNATAKA KUVUKA.ITA HAJI MNOGA.NDIO BEKI WA KUTUVUSHA
Na WATANZANIA WOTE TUNAJUA UWEZO WAKE DUUU SHIDA BADO IKO KWENYE KUCHAGUA
Kipa no one Tanzania katoro
Kocha apo kwenye makipa kabugi
Saaduni wa Azam wa nini wakati anayo kadi nyekundu ?!!!
Kocha huyu nasor saaduni umechemka....hana sifa hata moja ya kucheza timu ya taifa.hakuna striker apo....
Hamna timu hapo.
Nenda ukacheze mwenyew tuone Kam utaweza😮😮
Duh Manula tena!juzi kaenda sokoni penalty zote 6!
Haji mnoga please
Si sababu binafsi tu baina ya club yake ndio maana wameachwa.Hata wakina Charles Mombwa ni wazuri lakin wameachwa
Mim nataka michezo yote mfungwe
Hiv unafikir ukisem hiv Ni sifa au 😢😢😢 kutokujielew uko
Ikifungwa utapata faida gani? Nakushauri Bora ungekaa kimya uwaombee mkuu!