BIBI HARUSI ALIYE KIMBIA NDOA YAKE, CHANZO MANYANYASO YA MAWIFI, ASIMULIA A--Z

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @bibitititv9333
    @bibitititv9333 4 дні тому +2

    Huyo binti anaweza kuwa ni mdogo kweli, anaweza kuwa na umri huo huo alioutaja, isipokua maneno yake ni mzito sana, ndio maana anaonekana kama ana umri mkubwa zaidi ya huo alioutaja, uswahili ni mwingi sana

  • @TusekelegeMwalusako
    @TusekelegeMwalusako 7 днів тому +2

    Ko ww mikiki upo vizuri😂😂😂😂

  • @hamisanalinga8585
    @hamisanalinga8585 3 дні тому +1

    Huyo MWANAUME SI muungwana kwa sababu aliyesababisha mke wake wa kwanza kutanuka moyo ni yeye kutokana na ujauzito hivyo angeendelea kuishi nae mdogo mdogo kwenye ndoa tunasema tutaishi kwa Raha na tabu

  • @kemmymbelwaa
    @kemmymbelwaa 7 днів тому +3

    Jamani huo ni mwili tu

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 7 днів тому +2

    Hii hatari jamani kuwa hutaki yarabi mtihani yarabi sisi tupo hapa nipo sijaolewa wala sina mume wala mtoto yarabi shida hiyo mimi ni mkubwa kulikoni wew nina mika hapunguwi 40 nipo oman sina wanawe wala sitaki walivyonitapeli pesa zangu ni nyingi tu nimemuwachiya mungu kwa yoyote ishaalah

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug 4 дні тому +1

    Hamuhami mkakae kwenu ya nini kuishi nyumbani mmekuwa watu wazima

  • @dab8859
    @dab8859 2 дні тому

    Usikubali kunyanyaswa n wtu w ukweni wakikujbu wjbu utadumu kwnye ndoa ukiwchekea ndoa inakushinda

  • @JudithJoshua-t2d
    @JudithJoshua-t2d 4 дні тому

    Kha! Ulipata mwanaume mwingine, jamani mtuletee story za maana hii sijaipenda uongo mwingi😢

  • @halimaali3719
    @halimaali3719 8 днів тому +1

    😮😮😮😮😮aaa wewe mamaa 😅 wewe nimtumzima

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 5 днів тому +1

    Hawa wa 2000 wakubwa kuliko SS wa 94

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 5 днів тому

    Muongo😂😂😂😂 huyo mdada ana miaka 30s, mbona anaonekana mkubwa au mwili😮😮😮😮

  • @NyotaJuma-f5k
    @NyotaJuma-f5k 17 годин тому

    mama mukwe na wifi zako wanasheria we mama kwelikweli hata aibu ahuna yakudanganya miaka eti nina 25 ww miaka yako nikati ya 40,41,42.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 8 днів тому

    Duh uswahilini aisee

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 7 днів тому

    Umedanganya myaka ila Kwaukubw sio ajabu watu mkipendana 😂😂Eti mikiki ya usiku 😂😂

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 8 днів тому +1

    Jamani 25. Aaaa😮 uwongo zambi Wemama hukosi 42-43

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 8 днів тому

      😂😂😂😂😂

    • @DM.2200
      @DM.2200 8 днів тому +1

      Huenda ni kweli sema shida zinazeesha 😂😂

    • @marrypius576
      @marrypius576 7 днів тому +1

      Naon unataj miaka yako shoga angu 😂😂😂

    • @khadijamohanani6476
      @khadijamohanani6476 7 днів тому +1

      Huyu dada bado mdogo ni mwili tu na shida za kilimwengu ndio zinazeesha

    • @AtifaIslam-t6g
      @AtifaIslam-t6g 6 днів тому

      Manshaallah wajua miaka yake kuliko mzazi wake alie mzaa ufundi sana wakujua miaka ya watu

  • @NyotaJuma-f5k
    @NyotaJuma-f5k 18 годин тому

    miaka 40 huyo

  • @AliceSelestian
    @AliceSelestian 7 днів тому

    Mwanamkee unatakiwa uongee taratibu bhana

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 7 днів тому

    Hilo ziwa jamani 😅😅😅

  • @OmanBarka-f4d
    @OmanBarka-f4d 4 дні тому

    Uyu atakua miaka yake 36 iyo 25 muongo

  • @mariedelarie873
    @mariedelarie873 18 годин тому

    Story faki,wala siyo kweli

  • @Dafetty
    @Dafetty 7 днів тому +1

    Kwa 25 uwongo uwo

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug 4 дні тому

    Mpiga picha uwe unawaamnia wafanye 360 bwana sasa demu anaonekana kifua tu na kichwa vipi?

  • @MsafiriSarawanyema
    @MsafiriSarawanyema 8 днів тому

    😂😂miaka 25

  • @GraceKija
    @GraceKija 6 днів тому

    Sio mkubwa mwil tuu

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 7 днів тому

    Mjue nyie wote niwaongo wakubwa, na nyie wanahabari mnaamini huyu huyu na umri hu ni bibi harusi? Mama kabisa miaka70 mnakuja kutumalizia bando zetu kwa story zakutunga!

  • @AliceSelestian
    @AliceSelestian 7 днів тому

    Hahaha miaka 42

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 8 днів тому

    Wewe dada fanya mazoezi

  • @InnocentHenerco
    @InnocentHenerco 8 днів тому

    Kama miaka 35 sawa ila siyo 25😅

  • @kajairolancaster7028
    @kajairolancaster7028 8 днів тому

    37 but not 25 😅

  • @Chakulachakiroho
    @Chakulachakiroho 8 днів тому

    Likes zangu please 📣