KIRUMBA HYMNS FESTIVAL SEASON 3 - 2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024
  • IBADA YA SABATO

КОМЕНТАРІ • 30

  • @gospelmatemba2696
    @gospelmatemba2696 15 днів тому

    Kazi yenu ni Njema Sana kulitukuza Jina la BWANA kwa Njia hii ya Uimbaji.
    Hongera Mno Ndugu na Dada zetu katika Kristo Yesu.

  • @thomasakite8333
    @thomasakite8333 2 місяці тому +1

    Listening from Nairobi Kenya. Thanks Kirumba for a very organized singing.

  • @josephngwale6251
    @josephngwale6251 8 годин тому

    Hakika nazidi kubarikiwa kila Uchaoo na Uimbaji huu

  • @alexmogusu4131
    @alexmogusu4131 3 місяці тому +1

    Kutoka Kenya,nabarikiwa sana na nyimbo zenyu

  • @DaudiNyamajeje-vc1ik
    @DaudiNyamajeje-vc1ik 7 місяців тому +1

    My God bless you

  • @Fabulousmom509
    @Fabulousmom509 9 місяців тому +1

    My all time favorite church and choir, blessed.

  • @smithmoms7002
    @smithmoms7002 9 місяців тому +2

    To God be the glory, May you all be blessed as you usher new year with full blessings of Our Saviour Jesus Christ.

  • @tunucafe5476
    @tunucafe5476 8 місяців тому +1

    Tulibarikiwa sana kuwepo katika siku hiyo ya pekee hakika tuliuona mkono na uwepo wa BWABA

  • @lydiahongera2020
    @lydiahongera2020 9 місяців тому +1

    This is such a blessing.May God bless you Kirumba Choir for your Ministry

  • @joshuamue3830
    @joshuamue3830 4 місяці тому +2

    nice service blessings

  • @felistersamwely7139
    @felistersamwely7139 9 місяців тому +3

    Much blessed today live in kirumba SDA Church❤❤

  • @NeemaNdago-cb9er
    @NeemaNdago-cb9er 7 місяців тому

    Mungu ni mkuu saaaaana ameeeeeiin kirumbaa mungu awe nanyi sana ❤

  • @danielsambu6776
    @danielsambu6776 9 місяців тому +1

    Heavenly, season 4 sitakosa Mimi! Mungu anisaidie!

  • @actormtewele2260
    @actormtewele2260 8 місяців тому +2

    Bwana awabariki sana. Huo ndiye uimbaji wa wabeba nuru. Jina la Bwana litukuzwe sana.

  • @gospelmatemba2696
    @gospelmatemba2696 15 днів тому

    Hii Injili Tamu Hivi kwa Uimbaji naamini lugha ya alama mtatutafsiria pia maana ni dawa/ uponyaji tosha kwa nafsi.

  • @shuaboe
    @shuaboe 9 місяців тому

    I'm very excited ,may God bless you, KAC

  • @beatricenangale5795
    @beatricenangale5795 9 місяців тому +1

    Mniombee session ijayo nisikose

  • @josephngwale6251
    @josephngwale6251 2 місяці тому +1

    Huyu mch.alie Huduma hapa anaitwa mch nanii???
    Amehudumu kama Main character

  • @AdvelaKakuba
    @AdvelaKakuba 9 місяців тому

    Yesu nimwema saut❤ iko sawa

  • @frankisack5779
    @frankisack5779 9 місяців тому

    Mungu awabariki sana na mkazidi kuboresha saut season 3 imekua na changamoto sana

  • @fobasjohn8818
    @fobasjohn8818 9 місяців тому

    Mungu awabariki sana kwa maono yenu

  • @Zakayochota
    @Zakayochota 8 місяців тому

    Nice

  • @Naturelightens
    @Naturelightens 9 місяців тому

    God bless kirumba Adventist Church choir mnafanya kazi nzuri...

  • @dr.alexmagufwa9131
    @dr.alexmagufwa9131 9 місяців тому

    Wonderful as usual. Mbarikiwe sana.

  • @PhineMasinde
    @PhineMasinde 8 місяців тому

    Kirumba sda live

  • @TindiganiChildrenchoir
    @TindiganiChildrenchoir 9 місяців тому

    Very blessed. Mbarikiwe Sanaa ❤🎉

  • @maurinenyakundi3917
    @maurinenyakundi3917 9 місяців тому +1

    I'm feeling blessed 🎉

  • @peninahokinyi6827
    @peninahokinyi6827 9 місяців тому +2

    link for afternoon session

  • @steveombui1836
    @steveombui1836 9 місяців тому

    This time round i see you had some technical itches with your PA system!