Daktari, unasema watupe number Yako lakini jakushagaza AngieB wananiitisha pesa Kwanza ndiyo wapane number Yako,ni ukora kbs.unasikia daktari anasema mupeyane number for free? Acheni ukora wakuuitisha watu pesa
Tashi pliz forgive 🙏 this man coz his innocent alikuwa ametumiwa roho ya umaraya pia roho mbaya but his brave poleni sana mfalume. Thank you so much Angie and rizy for your gd work be blessed keep it up
Polesana my brother wallah ule auntie somtu mzuri chunga asikumalize naweye daktari msaidiye uyo mfalme yani najikuta naliya 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 daktari msaidiye apate mali zawazazi wake zote naumkinge daktari.
Indeed it's true something happens for a reason and I really thank God for what's happening now,God is great see how Mfalme is reavling the truth ghai Daktari is real namwamin kabisa.
Hii yote yakumfanyia haya tashiyy ilikua ni chanzochakujua yalio fanyika wazazi wake so kilakitu kina sababu saa ukweli utajulikana Mali ya wazazi wake itapatkana pia
Nilishuku aunt mfalme kutoka siku ya kwanza wakati alikua anachapa tash alimtishia nkajua kuna kitu anajua. Kuna vitu za uganga daktari alitoa kwa huyo aunt
She will confess na utaona .ujweli tushajua .Justice for our King (mfalme)lazima chenye huyo so called aunt arudishe hadi nyota yake mfalme .No wonder !!kama ni mamako mwambie chuma kimotoni .She must confess .Na may the dead revenge on her awache wazimu milele.
Hukusikia vile daktari alikuwa anaambia mfalme ety ni yy alifanya caro Ivo anajikuna pia ni yy aliua wazazi wa mfalme hili ajukuwe mail yote, hata Kuna kitu daktari aliuliza mfalfe alikuwa anaficha Kwa nyumba Ako confused alikiweka wapi, na aunty yake people a anaendelea kukitafuta , ,ndio mfalme akajua ni ukweli daktari anamwambia
Amejua c ni dactar kasema ndo mvamie mtoto wawatu huo uwezo anao dactar n naamin hata mfalme dactar atamusaidia apate Mali yake Insha allah
Angie B ambia daktari ambie mfalme Bibi yakedo mngani
Daktari, unasema watupe number Yako lakini jakushagaza AngieB wananiitisha pesa Kwanza ndiyo wapane number Yako,ni ukora kbs.unasikia daktari anasema mupeyane number for free? Acheni ukora wakuuitisha watu pesa
𝕀 𝕗𝕖𝕖𝕝 𝕗𝕠𝕣 𝕞𝕗𝕒𝕝𝕞𝕖 😢😢😢𝕒𝕜𝕚
Ata hiii mambo ya umaraya si kawaida weee
Upto this far if you believe that God works his way to bring the light on the table just like aa we go plz justice for Mfalme now u turn
Tashi pliz forgive 🙏 this man coz his innocent alikuwa ametumiwa roho ya umaraya pia roho mbaya but his brave poleni sana mfalume. Thank you so much Angie and rizy for your gd work be blessed keep it up
Polesana my brother wallah ule auntie somtu mzuri chunga asikumalize naweye daktari msaidiye uyo mfalme yani najikuta naliya 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 daktari msaidiye apate mali zawazazi wake zote naumkinge daktari.
Mfalme pole sana 😢 😢😢kkikulacho kiguoni mwako Aunt huyo mchawi mkubwa afaa akufe huko
Indeed it's true something happens for a reason and I really thank God for what's happening now,God is great see how Mfalme is reavling the truth ghai Daktari is real namwamin kabisa.
Hii yote yakumfanyia haya tashiyy ilikua ni chanzochakujua yalio fanyika wazazi wake so kilakitu kina sababu saa ukweli utajulikana Mali ya wazazi wake itapatkana pia
Painful story 😢😢 ...I feel your pain pole bro
Dakitari saidia mfarume, waja uongo number ya Dakitari ampeani niliasa kuomba tangu kesi ya mr ongiri hadi sai sijapewa please
Mlipofikia kwa huyo mama first day nlisema tu huyo lazima amevuruga mfalme na wanawake asijisaidie
Na hawa ma aunty are never good people .Be careful around them or even associate with them kuambia ur plans.
Nipitiane 🎉lets grow together
Mfalme u should thanks Tashy for that kma siyeye hungejua chochote kuhusu wazazi wako
This man is very handsome 😅😅😅Uchawi ya watu wa kwao ndo inamsumbua
Mfalme arudishewe mali zake then arudiane na Tashy
You will get your inheritance but live right mfalme,God loves so much bro
Sasa nitakutafuta angle unisaidie kidogo 2
Mfalme you will get justice 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💯
Ukisikia Kila kitu kinamwisho ndio hii mfalme shukuru MUNGU umepata sababu ya vifo vya wazazi wako pia kumjuwa shangazi Yako ni mtu wa namna gani
G ,,hilo wingi hali banduki kichwani 😂
Angie b nakupenda Babe your very Nice iam from burundi my name alicia
We i feel very painful 😢😢
Ntaka no ya daktar
Plz i need No. Ya Dactari plz Aggie
Sasa amekua mkubwa aendee wasazi wake awabeleke nyumbani watulie
Painful..walai
Tash forgive this man his innocent alikuwa anatumiwa
One GB naona no ya dakitri plz
Aki its painfull I'm so sorry, mfalme
Acheni makasiriko kuna kitu inaitangwa prophect but ina depend who is prophesies to you and how you will take it
Wah mambo inaendelea kuchemka sasa Daktari plz saidia Mfalme mpaka huyo aunt yake a confess
Guys please tupitianeni pia sisi tugrow channels zetu
Weee nahitaji huyu daktari anisaidie mahali😢
Kwani mchawi na mganga sio kitu kimoja
I feel for mfalme😢
ℙ𝕠𝕝𝕖 𝕒𝕜𝕚 𝕓𝕣𝕠
Aki mimi nawesa taka daktari aniambie babangu ako wapi natamani sanaaaaa mama alikataa kabisa kutuambie🥺🥺🥺🥺🥺
Eeeh same here sijui ni wapi
Talk to Angie B aku connect
@@estherbaraka3035 hiyo numbet kupewa ni ngumu nimewai jaribu
🙉🙉😭😭😭woiyee
Aki usiseme hivo akikupeleka kotini utajibu nn😢😢
Problem is that in the constitution of Kenya cases za spiritual huwa hazitatuliwi kotini hiyo ni according to constitution of Kenya
@@MelvineKimetto-fn1ww but ni kama kumtusi ambapo pia anaweza shikwa kutusi mtu
Wuee ghai
Angie b tafadhali nipe namba ya dactari
Waah uyo mumama ni evil ..
Sorry but utapata mali yako ujipange utoke kwa anti yako😢😢😢
C labda ata huko ni Mali ya wazazi wa mfalme
@@sarahngige1589 yaani mchawi ni mbaya mpaka anatoa watu uhai aki sipoa ndio maana ako na mashida ukimtazama
Mumy mambo naomba namba ya daktar please nakuomba nipo Tanzania 🇹🇿
Nakitumia number nipostie ndugu yangu nipo TANZANIA.nisadie yangu
Nitumie ndugu yangu
Nikipata nitakutumie
Nilishuku aunt mfalme kutoka siku ya kwanza wakati alikua anachapa tash alimtishia nkajua kuna kitu anajua. Kuna vitu za uganga daktari alitoa kwa huyo aunt
Mufalme mpaka na huruma pole kaka
Hiyo mdomo yako ni chafu ulijua aje ni yeye wewe utaenda kotini
She will confess na utaona .ujweli tushajua .Justice for our King (mfalme)lazima chenye huyo so called aunt arudishe hadi nyota yake mfalme .No wonder !!kama ni mamako mwambie chuma kimotoni .She must confess .Na may the dead revenge on her awache wazimu milele.
Hukusikia vile daktari alikuwa anaambia mfalme ety ni yy alifanya caro Ivo anajikuna pia ni yy aliua wazazi wa mfalme hili ajukuwe mail yote, hata Kuna kitu daktari aliuliza mfalfe alikuwa anaficha Kwa nyumba Ako confused alikiweka wapi, na aunty yake people a anaendelea kukitafuta , ,ndio mfalme akajua ni ukweli daktari anamwambia
@@marylopeyok8234huyu anasikia vibaya mbona aue watu yule anti ni mpuuzi
wew unatetea nini daktari hawez kusema uongo kila kitu ameona
Wewe n matako sana mbna unamtetea maybe pia wewe uko kimoja na aunty yake tutakuchunguza pia wewe
Anawauwa apore nali toka mfalme awe mdogo adi sahi huyo ataakikufa akuna kulaumi
Woiyee may hata hixi vyu anafanya sio kupeda
Maybe amefanya ivo huyo mbuzi anti yake@@aplokimo405
Number ya daktari mlisema hakuna kupeana
Enda wtpp ya pl atakuoea
@@shiroliz8627 uko nayo wewe
Shida yake akina kiburi