Rap kontawa na Negro Fayheroes | The Playlist
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz
Noma mzee rap up
Wakutanishwe na ayeeeeee
Iki ni kipaji
Negro noma mno
thanks my Brother. 🔥🔥🔥🔥🔥
Hilo ni jini sio mtu huyo, sio kwa kurap huko asee😂😂😂😂
Remember lost boy
An' naught by nature
Thnx times fm kwa support yenu tuko teali kuachia Ngoma mpyaa soon NEGRO akiwa amekiwasha
I miss this kind of hip-hop reminds me of 90s bars
Huyu jamaa arudi tena kwenye freestyle ninoma sana
Hizi ndio touchez ambazo nilizimiss kitambo,umetisha homeboy...! Naisubiri ngoma kwa hamu,Oooooss🥋 fay heroes my family.
👊👊👊 1Blood ommy
Hii noma tumeingiliwa jipangen anakuja huyu%
Thank you Zainab (Respect from Negro)
Jamaa kuna zile kama za faza nelly wa X plastaz
😂😂😂😂😂😂😂 Noma mzee
Ndagha fijo mbombo ngafu [hsante sana kazi ngumu]
Mkibhegheee
@@luganomwaigomole7441 Mimi negro Sasa.....
Ndagha fijho.
😂😂😂😂 Hiphop on firee
@@luganomwaigomole7441 Natoli
Hii ndio chugamacan tronic can do can mashine gun burn man
Gotcher it's Jus' a lil' shit. 😂😂😂
90s rap is back
Jr yupo kwenye nyumba!
Jini la rap😅
Uyu mbwa kammaq hatar🙌🙌🔥🔥🔥☄
Thanks Blood
Respect 💥💥
Hatari kabisa mapigo ya Father Nelly Rip
Om boi negro
Negro kwisha akuna atakae ingia apaaa 😂
Thanks itra
Rip faza nelly
kabisa asee
huyu jamaa kwa miondoko hii hana mpinzani
utwana tulinibikini syene msebho tukanison(watoto wana bikini zenyewe njiani hawana aibu
Mwamba ametisha kwakweli anachanika baraaa
Ajengewe mnala isee ametisha iga ufe
I salute.... This man is lol....!!!!!!
@@mpendwamwaihola3557 Asanteni ndugu Zangu.
Hahahahahaha naaangalia kila sku. Hii n siku ya 6
thanks Mr Jeremiah!
I like your support
Thanks Blood for your support.
Nimerudi mara 15 kumsikiliza mwamba uyu
😂😂😂😂😂😂Thank you Man So So So Much
Respect Brother Thanks alot
@@multdealerGoldenKeyNegroMtata ulikanunu gwakukajha
@@suleymankhery8975 Ndaghafijho