Mimi cpendi magic, wanatumia uchawi, nimewaidate mwanaume aliyekuwa akifanya magic na hakuniambia kama anafanya magic, aliniambia anauza serials na enyewe anauza vyakula, lakini swala la kufanya magic hakuniambia, kidogo nikamkuta akifanya magic kama amesimama karibu metre kumi ananyoosha mkono kwa chupa za bear zinaruka zinakuja kwake, na hakuna ata moja iliopasuka, he was a kikuyu guy, tuliachana hiyo cku, siamini watu wa magic, yaani cpendi ushirikina kabisa 🙅♀️🙅♀️, magic ni ushirikina mtupu wasitudanganye, how🤔? yaani umesimama umbali wa metre kumi unanyoosha mkono kupokea chupa na umezipanga chini inaamka moja moja inakuja kwenye uko bila kurushwa na yeyote Wallae mimi ckumsikiza nilimuacha cku hiyo, niliogopa anaweza nifanyia kitu kibaya cha kishirikina.
Hakuna hiyo 50bob ametoa kwa mfuko just replay backwards and see how the guy removes the phone the pocket and switch’s the money to the other hand been keen utaoa 😂😂😂HAPO AMETUBEBA NDOGO
For the pole or pipe inauzwa at magic stores. Iko Hadi na ka Uzi attached to spring the pine is so small ameficha na mkono Iko na handkerchief akiwachilia inakuwa refu haraka ikivuta kitambaa ndani na ka kamba imefungiwa
Watu wangu wa nguvu! Support chell de magician here ua-cam.com/video/_unB7-51P18/v-deo.html
ua-cam.com/video/NFPUfkDw9HQ/v-deo.html
Tafuta uyu msee anaitwa Musau the mentalityst
@@codedmicpod #justice ua-cam.com/video/nMUK2eKxu6A/v-deo.html
Thanks for the support
Kabisa maze
Alaaah hata naogopa kusema kitui guy woii nisamehee😂😂😂🙆♂️🙆♂️
Siezi Shangaa ju amesema niwa Kitui😂😂😂😂
Wueh 😂 Leo Ali umetumaliza 😂😂
Huyu jamaa anaogopesha mbaya Sana 😂
Amazing magician....... Am from TZ
00:39 nmeona hiyo 50bob ikisukumwa nyuma ya simu
one of the best manzee
Big up sana wahome may God continue blessing your talent...
Kazi safi sana my entertainment P.A mezee naomba interview pia
Awesome talent Mr Magician 🔥🔥🔥🔥
Omg anafaa afanye magical hii kenya irudi ok 😂😂😂anyways I love you presenter Ali keep it up
Aki he's like your brother... you look alike..♥️ love your show
I thought they are twin
Haki hamko serious 😂😂😂
I love it🎉🎉
manze joh this is a real magician mkali kama moto
5:50 uyu ninja bado hudunga ka Y 😂😂😂noma
Chell hio magic ya doh imekuwa lit 2 sana 🔥🔥🔥
Sky be the limit Ali you are Amazing
😂😂😂😂😂😂😂😂 amazing Ali bana nikutanishe na hyu msee bana
How do your do that 🎉
Mimi cpendi magic, wanatumia uchawi, nimewaidate mwanaume aliyekuwa akifanya magic na hakuniambia kama anafanya magic, aliniambia anauza serials na enyewe anauza vyakula, lakini swala la kufanya magic hakuniambia, kidogo nikamkuta akifanya magic kama amesimama karibu metre kumi ananyoosha mkono kwa chupa za bear zinaruka zinakuja kwake, na hakuna ata moja iliopasuka, he was a kikuyu guy, tuliachana hiyo cku, siamini watu wa magic, yaani cpendi ushirikina kabisa 🙅♀️🙅♀️, magic ni ushirikina mtupu wasitudanganye, how🤔? yaani umesimama umbali wa metre kumi unanyoosha mkono kupokea chupa na umezipanga chini inaamka moja moja inakuja kwenye uko bila kurushwa na yeyote Wallae mimi ckumsikiza nilimuacha cku hiyo, niliogopa anaweza nifanyia kitu kibaya cha kishirikina.
This magic is amazing funny... Do go to American got talent🤣🤣🤣🤣
50 bob yakaa ilkuwa chini ya simu .na box ya mbao mbona ana hold Hadi ndani na vidole 😁 haikai really magic
Wow keep it up brother
Wow!! This was amazing 👍👏👏👏😄
Kituii😂😂🙌🙌🙌
hiyo ya macho karibu nikufe, from 15th august nimefungua macho leo.
Uyu n wa Kitui 🔥🔥🔥🔥🔥
Ukweli kbsa kitui county haisurport talents
Mko na ujinga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hio part ya nani ako na nguvu
🤣🤣🤣🤣imenibambaaa
Hahahaha
Ali chunga hapo🤔🤔
Lakini hapo kwa ngota Joo am done🤣🤣🤣
Huyo mwarabu anazungumzia sheng😍
Bro that great wish you the best
Wueehh!! Ali si unakuanga m handsome aki😋😋😋
Zetech iyee☺️☺️
Huyu magician ni mkenya kweli,mbona anakaa mwarabu ivi
Kwani wakenya wanakaa vipi?
He is my friend from kitui/Mwingi
Kitui pia kuna warabu
Team Ali naomba mkimaliza ku view mfike kwangu mcheki songs zangu🙏🙏pia msisahau ku sub tufike 2k🙏🙏team ali nipe like kama utafika
👇👇
Iyo 5o bob ameishikilia kwa simu...watch carefully from 0:32 as he slides under the phone...
Huyu ningemshika,😂😂...hiyo ni trick ya zamani
Na nyoka pia ameweka apo ndani ama
Wow! Exciting content Ali 👍🏼
We want to c that at American got talent bro...it's so hilarious
I think we should call it "Kenyan got"
Nenda America
Ati samidoh anapenda wanyama, karen nyamu,
😂😂😂hapo kwa nguvu
Ogopa kitui
Amazing
Wah kweli watu wa kitui...
Kenyan upcoming DAVID BLAINE
Next time I want to be near there!!!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 amenibamba kabum
Ushirikina period!
u ave made me lough mpaka mbavu zimeanza kuniuma
Woow good talent.presenta Ali baraka sana,America got talent apply.wee watu wamepotea kuona something like snake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ngodhare 😂😂😂😂😂 very funny
Amazing school mate🎉
You will go far bro
😂😂😂Io ngotha ilikuw ndani ya msee
😄😄😄😄😄😄Leo presenter Ali mumenimaliza
Mwingi finest
Wah! Nimetoroka nikaacha simu🤭🤣🤣🤣
Tonoe Mchinku here always tuned in broooo
Good one......
Noma sana watu wangu wa nguvu
Uyu mse ni mnoma wish I was part of the audience
Good for your talent
Trick zote Alizo tumia nazijuwa
Yaani hamuoni Hiyo bag iko na staff before Mweke kitambaa😂😂😂😂😂
Waaau this Guy 🙌🙌🙌🙌💯
Great one
😂😂😂😂😂Ave laughed the whole of this video
Great stuff man. Keep going. Heko
I see you bud
Keep going Ali 🔥🔥💪
This magician..daah
Keep going br
Waah tricky sana 🤔🤔🤔
Best chanell
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka the whole video
Noma next time afanye bila hiyo pete kwa mkono.
Kitui county issa wreck, wanatuudhi sana
Weh, hii ni uchawi
Hahahahaa really
0:32 hamuini akiwekwa 50 Bob nyuma ya simu to b hnst🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
awosome 🔥🔥🔥
Hakuna hiyo 50bob ametoa kwa mfuko just replay backwards and see how the guy removes the phone the pocket and switch’s the money to the other hand been keen utaoa 😂😂😂HAPO AMETUBEBA NDOGO
😂😂😂nmeona pia
Bora amefanywa magic😂
Stop lying
That's magic bana😂😂.
Halafu ikaenda wapi?
Bro leta mwngne bana.weeeeh bro hiyo nayo imeweza
🔥🔥🔥🔥✌road to 100k
How do I subscribe twice to this channel Ali?
Subhaanallah bro Ali really 😂😂
Ali, all the best.
Sawa presenter Ali content yasisismua kinyama wrmbe ni uleuoe kakaa yaaani mia mia
Waaahhh.. Nyinyi bna
Not me trying to close my eyes n angalia mwewe😂😂😂
For the pole or pipe inauzwa at magic stores. Iko Hadi na ka Uzi attached to spring the pine is so small ameficha na mkono Iko na handkerchief akiwachilia inakuwa refu haraka ikivuta kitambaa ndani na ka kamba imefungiwa
Ngotha 😂😂😂😂😂
hiyo ya 5+3 ameflip the board aka gonga iyo black board ya ndani ikachange side ikona answer then akaweka chalk. am keen my presenter
Mbona huo hawa secrets zao hio kitu hunichanganya mm huona nikama hukua na kauchawi kiasi na kashetani kiasi...inaogopesha bt nmecheka😂😂😂😂
Next time just do this wear your clothes inside out autaona magic yoyote ata kama ni panties ama ka thong itakuwa ni kama pwaga na pwaguzi.
Why is it that before someone removes it ,camera inamuficha alafu ndio inakurudisha
Waaahhh... We bna
Are kidding us😂😂this is fun
❤️❤️❤️
WOW 😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲
I need to meet this guys.
Magician Moto huyu
he's so amazing 🔥🔥
ua-cam.com/video/NFPUfkDw9HQ/v-deo.html
Thanks alot bro
@@ChellDeMagician you're doing great things