🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU, 12 DISEMBA, 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @PantaleoKimath-l2n
    @PantaleoKimath-l2n 20 годин тому +1

    Hiyo sawa

  • @OctavianAbraham
    @OctavianAbraham 20 годин тому

    Octavian Abraham mungu awaweke mahali pema walio faliki

  • @SAMWELTSUHHY
    @SAMWELTSUHHY 11 годин тому

    Good Morning

  • @JuliusLasisa
    @JuliusLasisa 19 годин тому

    👍👍🥰🥰🥰

  • @SoreaMsomakazi
    @SoreaMsomakazi 21 годину тому

    unanifurahishaga sana usomaji wako wa taarifa dada

  • @MrishoMussa-h6e
    @MrishoMussa-h6e 21 годину тому

    Tundu lisu anafaa

  • @AllyYusufu-l6k
    @AllyYusufu-l6k 20 годин тому

    Chadema Sasa chama kinakufa mazima

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc 20 годин тому

    Maajabu leo, habari ya chadema yakwanza, mtasubiri sana chama kufa, chama kipo moyoni watanzania, ccm mnayo ibeba ilisha kufa, leo ukiweka ccm na jiwe watanzania watachagua jiwe,mlijue ilo, ITV 😅😅😅😅😅😅😂😂😅

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 18 годин тому

    Mbowe na Mnyika wamepoza sana sijui ni kusubiri hivyo vyeo vya 4R walivyokuwa wameahidiwa kwa sasa anahitajika mtu wa aina ya Lissu kuikabili ccm.

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 18 годин тому

    Ccm bye bye 😅😅

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc 20 годин тому

    Leo ITV tahalifa ya chadema ndio ya kwanza, toka mwaka huu uwanze, tukisema vyombo vya abali vinatumika na ccm na serekali, ndio mjue, ITV inatumika kuua vyama leo mjue, kabla ya hapo habari za chadema zilikuwa azipewi nafasi ata kwenye mauji ya wanachama wake

  • @MrishoMussa-h6e
    @MrishoMussa-h6e 21 годину тому

    Ntundu

  • @RodhaLinti
    @RodhaLinti 20 годин тому

    Musoma talifa uko poa