kiukweli young killer hii beat hajaitendea haki beat kali anaimba ka mpoto mdunfo kama huu angeupata j moe country boy ingekuwa🔥🔥sana na kama anabisha afanye rimix na hau watu kama haijawa otimbi na timbiliyoo
Video Qaaali.. Beat Qaali.. Chorus Qali.. Verses Chaali.. Flows Chaaali.. *Fanya unachokiweza au unachokipenda* #IgaUfeSystem #RudishwaNyuma ama #JirudisheNyumbani. ¢ Lots of Love (lol!)
Kama umenotice vile young killer amechenji mtindo wake waku Rap nipeni Likes🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ndio kaishiwa hivyo sio km yule wa 2017 kurudi nyuma
Hiyo staili ya kurap kunaa jamaa anaitwa dax
Ngoja nimcheki huyo dax
Mkal since day one... ua-cam.com/video/E2A0KSC--Mw/v-deo.html
Dax Gusa APA... ua-cam.com/video/E2A0KSC--Mw/v-deo.html
Gonga like kama umejua kuna watu wamejibiwa kwa style yao .... Damn like hizi mambo zinawenyewe mazee na wenyewe ndo sisi 🙌 🔥 🔥
This song is more than fire 💪💪💪don't be heartless guys let us support # Young Killer Msodoki together 👌👌✊✊✌✌✌👏👏
Umebugi man!
Real tumsupport kafanya kaz nzuri
New level Young Rapper anaweza kshenz i salute him
Video Ime kaa kiUlaya is so fire 🔥
Killer is killer
Ngoma Kali sanaa
young king siamin kwa ichi ulichokifanya nomaaa asieee akina lunya,country,young dee na wote wanao jarib trup unawachora km katuni za kipanya mamaeee
Dogo uwezo unao.....BADO 🇰🇪 KENYA tunakuskiza sana.congrats🎉
Usipo muelewa huyu ujue wewe hueleweki,
Ila kumsoma ndo kazi hata kwa wasomi hasomeki,, cozi young killer msodoooookiiii💪
Kama umegundua kuwa young lunya kajibiwa nipe like
Tuliorudi 2024 tujuane hapa😂
The Most creative artist in East and Central Africa from his Stage Perfomance to music videos...Thanks Killer.
N
Young killer ni zaidi ya moto maana unajua saana😎😎
Nkumbalii mzee baba kama na we unamukumbali gongs like wana mwanzaa👏
Mwanza UP
UNYAMA MWINGII
BEAT NDO HATAREEEE
JAMN EEEH
KILLER IS KILLING🤸🤸🤸🤸🤸.
Young Killer ni most underrated artist bongo amini nawaambien
Wao nipo pale pale young killer atali sana nan kama mm watoto kalalen maaana watoto bwana
One yenyewe
killer video imepishana na saut kidg yan ukitazama unavyorap na music kama mmepishana sekunde ivi ila bonge la kazi nakubal sana🔥🔥🔥🔥
Ndo style ,sio kwamba wamekosea kuproduce
beat kidogo imemshinda kwenda na flow zake, Ila kazi nzuri
Kweli bhana beat kama imempa mtihani but sio mbaya ndiyo kwa mara ya kwaza ila gigy ameua sana chorus
The producer messed, messed up big time yaaani makosa makubwaa, hakufanya mastering ya beat ,audio na video,duuuh ningemtia dolee
New version of y/killer trap---gigy -chorus on point--------director -ya creativity is on another level i salute u.
young killer the best rappa in tz
THIS IS THE BEST MUSIC VIDEO FOR 2019 IN TANZANIA.. HANDS DOWN
Daaah young killer nishabiki wangu na pia ni lolimodo wangu bt daaah nahis hii ngoma kaalibu simuelew
Mwamba namkubali sali
Daah,hi ngoma kali sana sikutegemea km killer utfnya kitu kzur kma hchi salute🔥🔥🔥
Nakubali hii ngoma...young killer big up manze love from inchi jirani KE💕💕💕
BANGO KUBWA BABAAKOO BABAAKOO kizazi sana imeisha iyou hbunifu kama wote
kiukweli young killer hii beat hajaitendea haki beat kali anaimba ka mpoto mdunfo kama huu angeupata j moe country boy ingekuwa🔥🔥sana na kama anabisha afanye rimix na hau watu kama haijawa otimbi na timbiliyoo
Congratulations msodoki,,, creativity 👌👌
Nooma sana young killer ✌✌
Brother ubunifu wako kwa hii video uko levo zingine🔥🔥🔥🔥🔥Hongeraaa💯💯
Wanakosea sana kumlinganisha young killer na hawa watoto wadogo kina lunya Msodoki anajua acheni masihala 😁
dah mzee hii kama ya anga za mbali ....!!!ni moto..!!
Izi mambo zinawenyewe wazeeee👑🔥🔥🔥na maskio yote kweny spika🔥🔥
Jamaa umeuwaaaa........🏃♂️😊
Unexpected combo. Looks and sounds simple but the track says you still grow, keep going
My best Rapper of All the Time⚡️⚡️🔥💫
This man has got hip hop▄︻̷̿┻̿═━一❤
Aaaaah Gigy amekiwashaaa hataree mambo ni fireeeee
"Kuchochea Kuni Na Hamjui Kupika".
Eeeeehe bhn eehe bonge moja la Ngoma na Video ndo Kali kabisaaa yan Msodoki umeua aseee ni 🔥🔥🔥🔥 sio kitoto
Fan no.1 tokea Kenya hii ñi tamu sana
Jamani mbonna sielewi hii ngoma ingekua kwenye top trending
Hapo mwisho young killer amecheka kama kawaida sema kasahau kusema i know you miss me, i miss you too
Ndiyooo youngkiller nayemjuaaa huyuuuuu wnguuh
Nikimtoa Fid niwewe kwa mwanza tunavchwa hatuwez kushindana nawenye nyimbo zachumban cc like zote froam mji wa miamba hapaa 😎
Wangap wanaona kifo cha mziki wa young killer.
Aahhhh nimekubali video duniaaaaaa
Hii nyimbo cjaielewa japo n shabik Wa killer mistar mepes saana
Nakubali sana kazi zako kijana,endelea kushusha vina kama kazi kama kaWa Bro.
Duhhhh Duhhhhh ,,,,,killer kiukweli umeuwa hii vedio kamaa zilee za USA,,, Hongera sanaaa my brother
Killer umechenge sana cjakuzoea hivo mzee
Video kali ya mwaka.....💥💥💥💥
Video nzur,ngoma kiwango kidogo...
Trust me sitaki kusikia sorry ukinitia dowa nakutia dole.. nakwambia pole... young maujuziii
Sitak kusikia story ukinitia doa nakutia dole
Killer mtu mbaya nimevua kofia mzee like kwafujo kwawot wapenda hip hop
Young ila killer. Ubunifu. 100%
Umetisha mzee na Maneno yako Eti (Wapi UnaFala kwama wewe) Killer ni nomaaaa
Msodoki ngoma kali umetixhaaaaa
Hongera nyingi sana umejua kubadirika humu ndan
Amazing song young killer ujawahi kukosea lv so much kp it up💕💞😘😍😍😍😍😍😍😍😍😘
nipeni kipaza niwachanie dada zenu wana farijika, bonge la kazi brooo💪💪💪💪
Taam wasafi kama unamkubali kila nipe raiki
Director Katisha, trap flow killer bado. jifunze zaidi
Great video idea .....yeah ! Young killer mxodoki
leo leo tu kesho nyngne tena ....duh hatar song hili
Wezaa brother
Moto huu kweli uufananishe na huyo lunya kweli wamekudisrespect killer
Bonge la song mzeee na video
Ukintia, ndoa, nakutia, ndole.🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Like ata kumi kwa msodoki
Ramadhani Amada mshikaji saizi umefeli sana imba mziki wa faida
Yuko vzr kjana
Msodoki zaidi ya msanii hadi 254 wanamtambua kama muuwaji mistari eh bhanaeee Killer unatisha bro. 🔥🔥🔥🔥
Nakubalii kaz Killer mwanza mwanza
Hatari, Video Director Respect Sanaaa nimeelewa, Haya ndio mageuzi ya Video, una think nje ya Box. Tisha Sanaaa. Yote tisa, nyimbo kali.
Umebadilika broo thts good ...
Mbona Kama biti imezingua tofauti na nyimbo zako zilizo pita
Salute Killer representing +254 ngoma iko FIRE
Bonge moja la video! yani idea ni mpya kabsa sio za izi za kucopy na kupaste smh😎 BIG UP MSODOKI! sending love from +254
Biggest project ever video na Kali ajabu
My best Rapper Tz #respect broo 🔥🔥🔥🔥
Ngoma Kali killer ngoma iko motooooo
Mikono mvururu young killer wamekaaa ngoma iko poa🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥 nakubal mwamba
Kqk piga matrap unakill kinyama❤
Vizuri ..bonge la ngoma
Kichupaaaaa kikaliiiii
bro this is yo're best video ever
Much love from Germany💚💛🧡💙💜....brilliant song.🔥🔥💥🎯...me enjoy much 👩🤩😍🤩😍🤩not understanding words lol
Bongee moja LA... Song
Video kaliii kinoma nimeikubali hii EDITING KALI KINOMAAAA kama vile Hollywood..... 🔥🔥🔥🤚✌
Killer ndo rapa no 1TZ
Mtu mbayaaa young killer
naqubal 💯 Sana ngoma zako young killer
💯💯💯
Video Qaaali..
Beat Qaali..
Chorus Qali..
Verses Chaali..
Flows Chaaali..
*Fanya unachokiweza au unachokipenda* #IgaUfeSystem
#RudishwaNyuma ama #JirudisheNyumbani. ¢ Lots of Love (lol!)
Nicpo likubali iliapa ntakua siujui muzik n pin kiukwel
Yan dahh killer we ni nom bn
Kideo Cha kukopea mkopo bank hiki so kaliiiii kinoooma
Sawa killer nakukubali sanaa
Young killer fund mmoja
YOUNG LUNYA UMEJIBIWA
Umetisha boss kwanza bonge la video