KIBANZI Mnafiki wewe mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho langu huingalii boriti ndani ya jicho lako, haiwezekani kamwe kipofu kuongoza kipofu mwenziye kwenye njia, kwa kuwa hukumu ile muhukumuyo ndiyo mtakayo hukumiwa Je wadhani ya kwamba uta utajiepusha na hukumu ya mungu unahukumu mwenzio bila kutafakari kwamba wewe si malaika,itowe kwanza boriti katika jicho lako ndipo utakapoona kibanzi katika jicho langu kipimo kile mpimiacho ndicho mtakacho pimiwa Mwanga wa vipofu kumbe wewe kipofu,unajipiga kifua ya kwamba wewe ndiwe mwanga wao wote walio kwenye giza mbona mnajidanganya unaficha vya siri wanipiga jiwe kuni hukumu akika viongozi vipofu mtendayo kwa siri yatafichuliwa
Tangu kikundi kingine kijitenge , nyimbo nyingi mpya zimebuniwa. Huenda walimuwa vizuizi. Kazi ya mungu ni lazima iendelee . Waliojitenga nawadedicate wimbo wa mterehemezi
Mwanga wa vipofu kumbe wewe kipofu unajipiga kifua ya kwamba wewe ndiwe mwanga wao walio kwenye Giza mbona mnajidaganya............❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Wanipiga jiwe Kuni hukumu aaaaaaiiiii yawa miiit mar hatari
Hellow heavenly echoes Mungu awabariki sana kwa nyimbo zenu nazipenda Sana sana Ila Kuna nyimbo nyingi boom play sijaziona UA-cam.......mziweke hata kwa lyrics.. example mfinyanzi nitabarikiwa Sana nwapenda sana nipo Tanzania
wuauuu que bom.... ecos celestiais... meu grupo favorito... ja estou a tentar cantar em vossa língua... parabéns parabéns parabéns pelo grupo. que a graça emanente vosmantenha na divina providência ininterruptamente em toda a vossa Vida e a cada um em sua Digníssima Família na mais alta e especial consideração servos do Senhor nosso Deus
Your songs shift the mood to worship and praise...are uplifting...have depth....please consider having an introductory video for your members...we would like to know you...God bless you all.
KIBANZI
Mnafiki wewe mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho langu huingalii boriti ndani ya jicho lako, haiwezekani kamwe kipofu kuongoza kipofu mwenziye kwenye njia, kwa kuwa hukumu ile muhukumuyo ndiyo mtakayo hukumiwa
Je wadhani ya kwamba uta utajiepusha na hukumu ya mungu unahukumu mwenzio bila kutafakari kwamba wewe si malaika,itowe kwanza boriti katika jicho lako ndipo utakapoona kibanzi katika jicho langu kipimo kile mpimiacho ndicho mtakacho pimiwa
Mwanga wa vipofu kumbe wewe kipofu,unajipiga kifua ya kwamba wewe ndiwe mwanga wao wote walio kwenye giza mbona mnajidanganya unaficha vya siri wanipiga jiwe kuni hukumu akika viongozi vipofu mtendayo kwa siri yatafichuliwa
Blessed ❤
I love the message🙏. God bless you choir as you soar greater heights in ministering to God's flock through singing 🙏 🙌
Amen
@@victorcheprot5017 this song was dedicated to you, listen to the message first
Good song indeed
Jesus is coming again
I just love you all and the way you are sharing the message is so inspiring ❤🎉 Keep it up and may you be all blessed 😊
Be blessed always
Punguza wanjaa Kidogo tu nanii..lakini song is lit👍faya
6.6k na one day🤗🤗🤗
I love the song may God bless u 🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤️
My favorite ministers, glory be to God
kile kipimo hakitabadilishwa swala ni kipimo kipi ninachotumia......very powerful message
Amen 🙏
This is one of the best gospel song that I've ever heard in my lifetime
The message.......alaf baada ya kuskiza hii ..uskize ...ndoto ya mfalme .......kama huokoki...sioni kama kuna kitu ingine tunaeza fanya 🤲🤲🤲
Tangu kikundi kingine kijitenge , nyimbo nyingi mpya zimebuniwa. Huenda walimuwa vizuizi. Kazi ya mungu ni lazima iendelee . Waliojitenga nawadedicate wimbo wa mterehemezi
I like it so much ths song ten nawapend sna wa2mish w Mungu u bless me sna n nymbo zenu
my favorite right now, message tick ,video great, voice perfect mixed, everything tick...i miss singing now, favourite part 'kipimo kile mupimiacho ndicho mtapimiwa
Kipimo kile mpimiacho ndicho mtakayo pimiwa🙏🙏👌.Happy Sabbath ❤❤
Wanadamu wanapenda sana kuhukumu sana wezao wanajiona wenyew ni malaika mko vizuri menigusa mubarikie sana umefikisha ujumbe mzuri sana
Asante saana kwa wimbo
From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 DRC
Mbarikiwe n'a mungu.
Nawangoja saturday for yambre ..sondu waritou
Hello,good work,My team can see you,Alvina,Blackie,Jakom,Boss, Atito,Elly,alex be Blessed allllll,Amen
Amen Amen❤
Moto faya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kipimo kile mpimiacho ndicho mtakacho pimiwa….Amina🙏🏽
Naomba kuimba na nyinyi. Please reply 🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️
I'm really blessed brethrens 🙏🙏 keep it up
Mwanga wa vipofu kumbe wewe kipofu unajipiga kifua ya kwamba wewe ndiwe mwanga wao walio kwenye Giza mbona mnajidaganya............❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Wanipiga jiwe Kuni hukumu aaaaaaiiiii yawa miiit mar hatari
I wish I meet u in person ur a true fan❤
@@bettygagah2866 we have met before
Manze mko na sauti tamu tunawakaribisha kanga school migori county tunapenda song zen
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
👌👌🙏🙏🇿🇦happy Sabbath
Nyasaye omed ritonau yawa,,,🙏🏻🙏🏻 blessings
Congratulations Echoes.Mungu awalinde.Hiyo mixing Iko from another level
Waimbaji wazuli nawapenda
Wonderful you have just made my day
❤️❤️ good job
Itoe boriti kwa jicho lako mwenza🫵
Hellow heavenly echoes Mungu awabariki sana kwa nyimbo zenu nazipenda Sana sana Ila Kuna nyimbo nyingi boom play sijaziona UA-cam.......mziweke hata kwa lyrics.. example mfinyanzi nitabarikiwa Sana nwapenda sana nipo Tanzania
Mi huwa napenda instrumental ya heavenly echos. .....huwa yanipaisha mawinguni.😊😊😊 Nawapenda especially pianist....good job
Thank you
Amen tutendayo kwa siri yatafichuluwa, powerful message,love you my people,sisi si malaika, napenda ujumbe
Amina
Nawapenda nyinyi wasabato
Amen....God bless you so much..
Nimebarikiwa na wimbo huu
Yeah another strong message to those who are quick in judging others
Hiyo alto iko tamu mno...I love it
Mungu atukuzwe
Mungu na awape nguvu na awaondolee udhaifu mzidi kumtumikia milele na milele. You people are a blessing to many
Amina
likewise. come up guys we are just blessed for your songs!! tunawakubali guys kwa bahati nzuri inaonesha mtunzi wenu anasoma sana Bible!!
Though I can't understand the language but you're really amazing you never disappointed,who is with me???❤❤❤2023
Twaingojea Kwa hamu na ghamu
Had missed this song sooooooo muuuuch😢
🔥🔥🔥🔥🔥🔥The love and fear of God that the team has is always evident through the excellence with which they sing. I truly love you guys
Your songs are arranged very well
continue praising God forever
as of now, HEM is the best choir in Kenya
we love you so much ladies and gentlemen.
My favourite kibanzi..na mbona mnaendelea kuwa wachache my choir
@chelcyheryn5053 baas
Finally 🥳🥳on point. Am blessed 🤗.
Omaizing amina
Powerful message, beautiful voices... 💐💐 flowers to our all time choir. God bless you for us 🙏
I love your every music team,be blessed alot
the composer is inspired ..
Woow really powerful......keep going ❤❤
Nawapenda sana 🎉🎉
My all time favourite
Wana wamungu❤❤❤
Every song is a hit! And rich in lessons. Barikiweni
I can't how many times i play this song
Feeling blessed😊😊
God bless your ministry too
Aminaaa.
Am blessed
Aminaaa
Nice 👍
May you go far
Kazi safi......🔥🔥🔥
Once again from Tanzania, be blessed 🙏🙏🙏🙏
Well composed song and educative song, may our God continue guiding you people
Amen
Powerful Group with powerful music❤🙏🇿🇲
This is good good sermon,thank you heavenly echoes
On point the HEM... happy Sabbath
Were is the group based
Wonderful guys i love this barikiwa sana heavenly echoes
The composition 👌...this is the music we always want to hear.
Good work Dir. Muree
i have listened to this song a million times and i cant have enough, what a performance
I have listened to this song multiple times and must say that it is truly a blessing. May God bless you in your ministry.
Kindly assist with the composer's contacts with person is a blessing to everyone...........never be quick in judging others
I also need the Composer's contact
My favorite choir from 2019 to now when I listen to your song it touches my soul
Amen!! Am always blessing with the song from this group
I love the song
Halleluyah🙌
And happy Sabbath ❤😊
My People God bless you ❤❤
Heavenly Echoes is goated🎉❤
So powerful message my all time team,though ups oland down they still stand still to preach the word of the most high
wuauuu que bom.... ecos celestiais... meu grupo favorito... ja estou a tentar cantar em vossa língua...
parabéns parabéns parabéns pelo grupo.
que a graça emanente vosmantenha na divina providência ininterruptamente em toda a vossa Vida e a cada um em sua Digníssima Família na mais alta e especial consideração servos do Senhor nosso Deus
Thanks 🙏 and really appreciate for your prayers
You never disappoint..... the message is pregnant
Blessed 🙏. Keep up the good work HEM👏
God bless you my favorite group 🥰❤️🥰🙏@HEM❤️
❤❤❤ AMEN 🙏🙏🙏🙏
No benefit of doubt as usual on point 💯
Thank you
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Your songs shift the mood to worship and praise...are uplifting...have depth....please consider having an introductory video for your members...we would like to know you...God bless you all.
This is well in.
Blessings be your portion 🙏
Am so blessed
Amina
Ukristo gharama🙏
Can’t wait 😊 I really support this team
you are always delivering thank you
Waiting
Wow where are you from 😊