FUMBO |4|

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 477

  • @davidmiracle807
    @davidmiracle807 Рік тому +237

    Nimekuwa wakwanja kutoka Congo nipeni like zangu

  • @anlifaqueasamo6494
    @anlifaqueasamo6494 Рік тому +30

    Wewe ni namba moja nakukubali sana ebu gonga hapa clam 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @emanuelyoram8287
    @emanuelyoram8287 Рік тому +6

    Oya Clam eeeeh we ni hatariii🙌🙌

  • @monjimonjitaiyai
    @monjimonjitaiyai Рік тому +21

    Jamaa anajua anajua tena 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zekelly_025
    @zekelly_025 Рік тому +2

    Kim naye nikiherehere amefanya mpaka had iishie hapo😁😁😁😁😂😂

  • @LameckJoachim-ex6mv
    @LameckJoachim-ex6mv Рік тому +85

    baada tu kumuona clam nimeinjoy sana kila anayemkubali gonga like ♥️♥️

  • @mtuariziki388
    @mtuariziki388 Рік тому +2

    Bt ubaya yachelewa sna😢😢😢lkn naipenda sna fumbo❤❤

  • @bintykigan7309
    @bintykigan7309 Рік тому +16

    CLAM VEVO unajua Sana big up bro❤❤❤

  • @nadiasamwel8709
    @nadiasamwel8709 Рік тому +1

    Unazingua Sana wew muendlezo unachelewa sana unaboa unakaa miez looh😏😏

  • @samog2840
    @samog2840 Рік тому +11

    Vizuri sana jamaa angu sema unachelewa sana kutoa mwendelezo bro

  • @JohnLovely-y4c
    @JohnLovely-y4c Рік тому +6

    ❤❤❤ clam nakuufata nikiwa kenya

  • @Iamnia871
    @Iamnia871 Рік тому +2

    Jmn Yan ckujua kabisa kama itakuwa ivyo😊❤❤❤❤ nimeipenda xn❤❤

  • @wawinasuzan
    @wawinasuzan Рік тому +1

    Mmhh iyo ongea bila mdomo😂😂😂atary mpk mlango umefunguliwa😅😅

  • @Miss_Zia95
    @Miss_Zia95 Рік тому +17

    Such a creative man. Eish hadi nashtuka pamoja na kim 😂😂 love from Kenya

  • @desirengabo730
    @desirengabo730 Рік тому +17

    Depuis le Congo j'aimes Clam, ebu nipe likes zangu

  • @prospermwale3154
    @prospermwale3154 Рік тому +6

    Very simple song Clam naenda nyumbani kulya Tchat na marangi

  • @aymamally9505
    @aymamally9505 Рік тому +5

    wa kwanza from zanzibar❤😊

  • @Amikeyplayan
    @Amikeyplayan Рік тому +5

    Iyi kali zaidi yazote kabisa 😊

  • @eljonasvikumba8709
    @eljonasvikumba8709 Рік тому +3

    Nami naombeni like zangu clam asee we noma sana jembe la kazi✌️✌️

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 Рік тому +7

    Aisee umenichekesha sana hii episode 4,,#ClamVevo,till nimehisahahu jamanii 🙆,,usituganyie hiv bhana 😢,, but kazi nzur ❤️❤️

  • @geofreyukason
    @geofreyukason Рік тому +12

    mastermind.... Content creator! CLAM ⚡💣💣

  • @collinselamwenya8028
    @collinselamwenya8028 Рік тому +17

    Hii Clam vevo u nailed it bro❤❤❤❤❤

  • @komlaakomlaa7465
    @komlaakomlaa7465 Рік тому +5

    Natetemeka jamani🤣🤣🤣🤣

  • @giftsway8102
    @giftsway8102 Рік тому +2

    Clam hii ni motoooo nasubiri nyingn fasster

  • @abubakarmohd4822
    @abubakarmohd4822 Рік тому +21

    Very creative man💪🏻💪🏻👊👊

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 Рік тому

    Apo Mwisho ulivo mdabua Kama picha la Mbele Aseee Noma sanaaaa🔥🔥🔥🔥💞💞💞💞💞

  • @musapengo12
    @musapengo12 Рік тому +2

    Mgeni alikua kavaa pensi hilo gauni kweny mlango lenye damu limetoka wap 😂😂

  • @bashirumkopi2638
    @bashirumkopi2638 Рік тому +9

    Kumbe nikiulzwa"unaweza kuongea bila kutumia mdomo" natakiwa nianze kujisachi 😂😂😂😂

    • @Mwanzogospelmusic
      @Mwanzogospelmusic Рік тому +1

      DALALI MAPENZI👉👉 ua-cam.com/video/tzYBXlcb2Jg/v-deo.html

  • @geraldndosi2083
    @geraldndosi2083 Рік тому +4

    Kazi nzuri sana kaka ila sema unatuweka sana

  • @hashimmac4032
    @hashimmac4032 Рік тому +17

    Big talent from clam ubunifu wahali yajuu keep going mablooody am here to support good work ✍️🔥🔥🔥🔥

  • @Bonvivant_Richard_Mayila
    @Bonvivant_Richard_Mayila Рік тому +13

    Licha ya kazi flani ivi Amazing❤Your Videos are so Smart ni HD wakuu napenda moto wenu

  • @tsumiduwe1406
    @tsumiduwe1406 Рік тому +2

    clam huu uhondo ni mtamu tunahitaji mwedelezo mwema bro
    salute sana

  • @RaphaeljMdimi
    @RaphaeljMdimi Рік тому +2

    😂😂😂😂😂Hatari na nusu...kuongea bila kutumia mdomo imemponza gal

  • @salomeblack0
    @salomeblack0 Рік тому +18

    Gonga like watu wabadi toka mbeya ❤️🔥💥

  • @ramadhanisaranga6979
    @ramadhanisaranga6979 Рік тому +3

    Clam wewe ni noma sana kama unamkubali clam like tano kwangu

  • @Jonathankaghese
    @Jonathankaghese Рік тому +2

    Napendanga kula chapati na marangi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @stevenmnyema281
    @stevenmnyema281 Рік тому +5

    kazii nzuri claim kanumba mpya

  • @KIB-JSANLEY
    @KIB-JSANLEY Рік тому +1

    Clam WW njo kanumba kwa sasa❤❤

  • @rolandycharles7724
    @rolandycharles7724 Рік тому +1

    Keep pull up bro unaweza sanaa utafika mbali

  • @jeanberchmas5452
    @jeanberchmas5452 Рік тому

    Kanumba karudi aise huuyu kaka ataishia kujiunga na wale wa see we ni Mnoma Sana clam

  • @elinapetro7136
    @elinapetro7136 Рік тому +4

    Du😢😢part 5 Jamani usichelewe kutoa nimeshtuka uwiiii

  • @wangumsanii254
    @wangumsanii254 Рік тому +5

    Mkenya wa kwanza nipeni likes na mimi

    • @Mwanzogospelmusic
      @Mwanzogospelmusic Рік тому +2

      DALALI MAPENZI👉👉 ua-cam.com/video/tzYBXlcb2Jg/v-deo.html

    • @wangumsanii254
      @wangumsanii254 Рік тому

      ua-cam.com/video/483dDQqEv78/v-deo.html

  • @juniversal.onlinetv4163
    @juniversal.onlinetv4163 Рік тому

    Afu uyo dogo nmekuona kwenye uigizaji wa juu saaaana akika nawaambia uyu ndo mrithi wa kanumba after 5 years Yuko mbali sana

  • @karamasalim7330
    @karamasalim7330 Рік тому +1

    Kazi nzuri Clam .....nami nna kuku wangu

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Рік тому +3

    Nakubali Sana Clam vevo never disappoint. Lakin usituwekee Sana kwa part 5

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂wanaume jifunzeni kuongea bila kutumia mdomo na wanawake tamaa mbele mauti nyuma

  • @giftyjohn3852
    @giftyjohn3852 Рік тому +4

    Wa kwanza Leo We boya Cram like 😅😂😂😂

  • @roi2554
    @roi2554 Рік тому +8

    Clam leo katuonyesha jinsi ya kuongea bila kutumia mdomo😂😅

  • @kevoosteam254
    @kevoosteam254 Рік тому +2

    Nifwatilia toka kenya 🇰🇪. Kazi safi kweli. Chek mine also

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un Рік тому +1

    Clam vevo tumefika kenya shaka hola😂😂😂😂😂😂😂

  • @ronaldomwaijumba8299
    @ronaldomwaijumba8299 Рік тому +3

    ahaha mzee wa mazoezi clam vevo 😂😂😂

  • @pasikalimwaniungu
    @pasikalimwaniungu Рік тому +7

    Clam noma kwer 😍

  • @MrMona_TZ
    @MrMona_TZ Рік тому

    Sema clam unatugandish na hii kitu..... Kk si tumeimiss sna....!!!!!!

  • @shericktv509
    @shericktv509 Рік тому

    Clam uwe unaangalia wa kutoa kafara,,Sasa adi warembo Ivo,,Huwaonei huruma

  • @33days
    @33days Рік тому +1

    Nimekuwa wa kwanza kutoka Kenya nipeni like

  • @josephrutherford3292
    @josephrutherford3292 Рік тому +2

    Mbona ivo clam kwanini usitowe yote tunabaki na hamu sana ya kumalizia fumbo 😮

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 Рік тому +3

    Clam aki ww nkupende tu mm 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰🥰🥰♥️♥️♥️

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Рік тому +9

    Kazi safi🎉

  • @nancykatana7202
    @nancykatana7202 Рік тому

    Iko sawa ❤❤❤ mmeweza but mlichelewa

  • @ghanimaali1279
    @ghanimaali1279 Рік тому

    Uo jamani nimecherewa basi naombeni hâta liké biri From burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲 épisode 5. Ninayingoja kwahamu Clamvevo

  • @princereaganofficial
    @princereaganofficial Рік тому +9

    Much love kaka❤

  • @asantechota8974
    @asantechota8974 Рік тому

    Oyaaaaa Clam leta mzigo bwanaaa picha tamu sana hili

  • @peterndale3274
    @peterndale3274 Рік тому +3

    Nimeisubiri saana,kutoka Kenya ❤

  • @nelsonoscar8837
    @nelsonoscar8837 Рік тому +1

    Nakukubal sana wimbo WA Nani uwo

  • @ruttagodfrey2514
    @ruttagodfrey2514 Рік тому +13

    Nomaa🔥🔥🔥

  • @popinobabylon1725
    @popinobabylon1725 Рік тому +1

    Oya huyu Clam anajua sana

  • @isihakamteruka8961
    @isihakamteruka8961 Рік тому

    Naongea na wew naongea na uyu 😁😁

  • @DaousClam
    @DaousClam Рік тому +10

    ❤❤❤❤❤ from 🇧🇮

  • @AliCasumar-jf4mt
    @AliCasumar-jf4mt Рік тому +8

    Unakipagi sanaaa clam🙌🙌💥

  • @ismaelissaismaelpro
    @ismaelissaismaelpro Рік тому +8

    Umetisha sana bro big up from 258 😂

  • @Thelouismalekan
    @Thelouismalekan Рік тому

    Louis kutoka tanzania clam wewe nihatar unaweza sasa kuigiza sirias❤

  • @cleverboy2427
    @cleverboy2427 Рік тому

    Afande gani anachekacheka, huyo jamaa ajitahidi kuwa serious

  • @yasinhussen-2881
    @yasinhussen-2881 Рік тому +1

    alafu masuala yakuwa unatupa muda kumamae unazingua fala nn😂😏

  • @rajasosy4322
    @rajasosy4322 Рік тому +3

    Mwamba Niko apa wa1 jmn like ata1

  • @honoremigos8209
    @honoremigos8209 Рік тому +23

    Rdc toujours🎉😂

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Рік тому +1

    Yani hapakuwa mapenzi nikuuwa tu😂

  • @franklineongeri969
    @franklineongeri969 Рік тому +9

    Wakwanza tokea kenya,,,shabiki wa Clam wapi like zangu wakuu

  • @zekelly_025
    @zekelly_025 Рік тому +3

    Nilisubiri sana hii

  • @brianntahena4216
    @brianntahena4216 Рік тому +8

    Lit sana😂😂🎉

  • @matombotv1507
    @matombotv1507 Рік тому +1

    🎉🎉🎉🎉 mpeni mauwa yake

  • @Zeyu-06
    @Zeyu-06 Рік тому +3

    Mambo vipi bro napenda kazi yako

  • @ruttagodfrey2514
    @ruttagodfrey2514 Рік тому +3

    Wakwanza kabisa kwa fasi

  • @biabiancaa
    @biabiancaa Рік тому

    We nae unachelewesha vitu mwisho tukusahau mbwaaaa 😜

  • @alvincharles1563
    @alvincharles1563 Рік тому

    kweli fumbo. akili nyingi broo👋👋👋

  • @RonaldCheses
    @RonaldCheses Рік тому +5

    Very creative #clam

  • @BCryptosWorldwide
    @BCryptosWorldwide Рік тому

    Hii ni kali,,,, from south Africa

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 Рік тому +7

    vipande vifupi sanaa 😋😋😋🔥

  • @rehemaobukosia7295
    @rehemaobukosia7295 Рік тому

    Aky part five isichelewe,,,,,,,,imefika penye huwezi faulu kusita kuziunganisha haraka 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @NkurunzizaAmani-hh6ki
    @NkurunzizaAmani-hh6ki Рік тому +4

    Nakubalo Vevooooo

  • @Nody_official
    @Nody_official Рік тому +4

    Safi sana vevo

  • @isihakajuma7725
    @isihakajuma7725 Рік тому +4

    Mimi ndo wakwanza Leo kama unamkubali Clam gonga like

  • @zephaniamwangu9857
    @zephaniamwangu9857 Рік тому +1

    Kaka unajua sana ila unachelewa sana kutoa muendelezo

  • @arsenebuzima9146
    @arsenebuzima9146 Рік тому +2

    BURUNDI tunakubali sana clam 💪

  • @victormbugobola802
    @victormbugobola802 Рік тому

    Kumb kuongea bila kutumia mdomo ni pesa 😂😂😂 aiseee tupo mbali Sana clam ww Ni one 1 Tz sema sifa za mashabiki

  • @bwalohtz
    @bwalohtz Рік тому +2

    Kazi nzuri Clam,.. support mimi

  • @munasaid1429
    @munasaid1429 Рік тому +1

    Wadada tuwe makini tunapotongozwa hili ni funzo

  • @aswaneliphas2271
    @aswaneliphas2271 Рік тому +1

    OG nembo wa mtaa 😂👍

  • @AmiBoy-vs2td
    @AmiBoy-vs2td Рік тому +1

    Ila clam yaonesha Yuko vzr sna kujibu kimaddhharau

  • @HekimaMalike-df6ye
    @HekimaMalike-df6ye Рік тому +3

    Nakukubali sana bro

  • @lilyiminza79
    @lilyiminza79 Рік тому

    Calm unatili na majini ama nn naona we haya n manguu Sana anyway good movie